Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

Hatuja sahau ile ccm ilifanya zanzibar and rigging of votes, a case of a of a kettle calling pot black
 
Hauna heshima kwa mzee wa Chato?., Si ungejipa ata break for a week, Kenya isikutese, omboleza pole pole.
Mkuu, tunaomboleza huku tunaendelea na mambo mengine!

Juzi tu hapa watu 3 wamekufa kutokana na mgogoro wa wafuasi wa rais na naibu wake! Na hapo rais yuko hai imagine yangetokea ya hapa tz mambo yangekuwaje
 
wakenya wanashangaa No barakoa walidhani Magufuli muongo au watanzania wanamuogopa leo wamejionea wenyewe kwamba watanzania tuko Serious Mungu katushindia Corona wanafiki wachache tu hawafiki nane ukujumlisha wote na vibaraka wapenda wazungu ndio walivaa barakoa leo siku ya kuapishwa Samia Suluhu leo

Kikao cha baraza la mawaziri hakukuwa na barakoa hata moja
 
Acha papara na maneno mengi ndugu,

Umeona jinsi demcrasia inavyopaswa kuwa?
 
Toa vizungu vyako uchwara hapa na laana za ukabila.
Mtapata tabu na hizi fikra zenu hovyo, mjakombolewa kimawazo ndio maana licha ya kazi yote ya jembe mnabaki kwa ufukara. Pole mtapona tu, hakuna laana yenye haiwezi kuvunjwa.
 
alipokufa Kenyatta snr na KANU yake naskia Moi alitoka nduki akakimbilia Uganda kabla ya Njonjo kuingilia kati na kumlinda watu wa GEMA walikuwa wamchinje! Nyie muwe na chama kimoja au vyama vingi hamna tofauti!
 
Mtapata tabu na hizi fikra zenu hovyo, mjakombolewa kimawazo ndio maana licha ya kazi yote ya jembe mnabaki kwa ufukara. Pole mtapona tu, hakuna laana yenye haiwezi kuvunjwa.
We kweli una akili kisoda kwq hiyo ukijua kingereza ndo unakuwa tajiri.Nyie shukruni sisi wasomali make ndo matajiri nairobi yote.
 
Demokrasia ni pale mnawapa watu uhuru wa kuchagua, mlichowafanya kwenye uchaguzi wa mwaka jana...hehehe yaani tu hadi kicheko.
Kwani hatujawapa watu uhuru wa kuchagua?
 
maswala ya kawaida kabisa haya.

sisi hatuwezi kuwa baba wa EAC kwasababu tumepoteza kiongozi mkubwa kwa kupuuza ushauri wa kisayansi na kukumbatia mambo ya kienyeji.
 
maswala ya kawaida kabisa haya.

sisi hatuwezi kuwa baba wa EAC kwasababu tumepoteza kiongozi mkubwa kwa kupuuza ushauri wa kisayansi na kukumbatia mambo ya kienyeji.
Tunaongelea habari ya democrasia hizo ngonjera zako peleka twitter
 
We kweli una akili kisoda kwq hiyo ukijua kingereza ndo unakuwa tajiri.Nyie shukruni sisi wasomali make ndo matajiri nairobi yote.
Ona ulivyo fukara kimawazo [emoji23][emoji23][emoji23], Nani kaongelea kujua kiingereza hapa?.., unajibu fikra zako tu, yaani ujinga ulio jaza akilini mwako, unacheza na mawazo yako tu humu. Unadhihirisha ulivyo mpuzi tu[emoji23][emoji23] Una matatizo kweli. Wacha nikucheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…