Yani ulitaka kwenye huo uzi uone kila mtu anasifia Magufuli? Democrasia ni pamoja na kukosoa au kutokukubaliana na mtu
Wewe ukifikiri kuna kiongozi anakubalika na kutenda mema tu kwa 100%?Kwa hayo yote waliyoyataja hapo ni wazi mnaishi kama misukule, halafu mlikua mumeanza jitihada za kubadilisha katiba atawale hadi siku ataacha mwenyewe....hehehe
Wewe ukifikiri kuna kiongozi anakubalika na kutenda mema tu kwa 100%?
Amekuwa Mungu?
Nenda hata kwa wakubwa zenu USA uone kama kuna kiongozi anakubalika na kila mtu.
Ndugu! Hata huko Kenya kwenye social media raia wanamuona Kenyata ni mlevi tu.Hakuna kiongozi anayekubalika 100% labda wa kulazimisha watu wake abadilishe katiba atawale milele.....yaani napitia nyuzi kwenye jukwaa lenu la siasa, kwa kweli ni kama mumepumua, watu mlikua mumekandamizwa balaa...hehehe
wakenya zaidi ya milion 1.5 kufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtapata tabu na hizi fikra zenu hovyo, mjakombolewa kimawazo ndio maana licha ya kazi yote ya jembe mnabaki kwa ufukara. Pole mtapona tu, hakuna laana yenye haiwezi kuvunjwa.
lissu pia anatoka ccm.unamfatilia hata hujui anachonga akiwa tawi gani.Hivi Tanzania kuna vyama zaidi ya kimoja hicho CCM ambacho kimewafanya muwe kama misukule....
ameiona sema anakaza fuvu tu.Umeiona democrasia hiyo ndugu?
Kuna kitu huelewi...nchi zilizo stawi huwa zinafwatilia sana matukio ya nchi zilizo nyuma kimaendeleo.Hatunaga mda wa kufuatilia mambo ya Kunyaland we are contented.
Nonsense matajiri wa wapi,Tanzania ni nchi yenye hospitali nzuri,tunatoa wasomi mpaka Marais wa nchi jirani wengine wamesomea Tanzania,nchi yenye matajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki,nchi yenye masikini wachache afrika mashariki.nchi ambayo tukikoroma nchi zote za afrika zinanyamaza.Tanzania ni nchi yenye nguvu kuliko nchi yoyote afrika mashariki na Kati tukitaka chetu lazima kiwe.Kuna kitu huelewi...nchi zilizo stawi huwa zinafwatilia sana matukio ya nchi zilizo nyuma kimaendeleo.
Kenya hapa East Africa ni nchi iliyo stawi kwa kila njia na kenya ni big brother hapa East Africa.. sisi ndio, wasomi,matajiri, uchumi mkubwa....mahospitali na madaktari tajika....kwa hivyo kama tu vile marekani huingilia maisha ya nchi zingine hafifu...vivyo hivyo ndio Kenya huingilia maswala ya nchi hafifu kama TZ hapa Africa mashariki...
Nyinyi TZ lazima Mambo mengi mfunzwe...kwa maana mnajidai mnajua lakini wapi...ona sasa mlipuuza Corona dunia nzima ikiwaonya...ona yanayo watendekea.....lazima mwelekezwe maana hamjui chochote na lazima sisi kama kenya tuwafunze enyi ndugu zetu wadogo.....We are the East and Central Africa super power
una kaujinga kamehamia kwenye makalio yako.Kuna kitu huelewi...nchi zilizo stawi huwa zinafwatilia sana matukio ya nchi zilizo nyuma kimaendeleo.
Kenya hapa East Africa ni nchi iliyo stawi kwa kila njia na kenya ni big brother hapa East Africa.. sisi ndio, wasomi,matajiri, uchumi mkubwa....mahospitali na madaktari tajika....kwa hivyo kama tu vile marekani huingilia maisha ya nchi zingine hafifu...vivyo hivyo ndio Kenya huingilia maswala ya nchi hafifu kama TZ hapa Africa mashariki...
Nyinyi TZ lazima Mambo mengi mfunzwe...kwa maana mnajidai mnajua lakini wapi...ona sasa mlipuuza Corona dunia nzima ikiwaonya...ona yanayo watendekea.....lazima mwelekezwe maana hamjui chochote na lazima sisi kama kenya tuwafunze enyi ndugu zetu wadogo.....We are the East and Central Africa super power
unamjibu kichaa huyo achana naye.Nonsense matajiri wa wapi,Tanzania ni nchi yenye hospitali nzuri,tunatoa wasomi mpaka Marais wa nchi jirani wengine wamesomea Tanzania,nchi yenye matajiri wengi kuliko nchi yoyote afrika mashariki,nchi yenye masikini wachache afrika mashariki.nchi ambayo tukikoroma nchi zote za afrika zinanyamaza.Tanzania ni nchi yenye nguvu kuliko nchi yoyote afrika mashariki na Kati tukitaka chetu lazima kiwe.
Hapa ni Katiba. Demokrasia ina onekana ktk chaguzi Serikali za mitaa na Uchaguzi Mkuu! Au hujui maana ya Demokrasia?Katika kipindi hiki kigumu kabisa kwa taifa,
Yani Rais amefariki na wakati huo huo mfanye makabidhiano ya madaraka, je mmesikia kuna hata mende au mbuzi kafa? Je, mmesikia kuna hata panya tu kajeruhiwa?
Je, mmesikia hata malumbano ya maneno?
Tukiwaambia sisi ndio baba zenu hapa EAC muwe mnaelewa. Tunawasubiri 2022.
Acha kujichekesha kimalaya malaya jibu hoja we kumbi kumbi.Ona ulivyo fukara kimawazo [emoji23][emoji23][emoji23], Nani kaongelea kujua kiingereza hapa?.., unajibu fikra zako tu, yaani ujinga ulio jaza akilini mwako, unacheza na mawazo yako tu humu. Unadhihirisha ulivyo mpuzi tu[emoji23][emoji23] Una matatizo kweli. Wacha nikucheke tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].,
Ndugu! Hata huko Kenya kwenye social media raia wanamuona Kenyata ni mlevi tu.
lissu pia anatoka ccm.unamfatilia hata hujui anachonga akiwa tawi gani.
Nani aliyekuja Kenya?magufuli hawezi kupelekwa kwenye hospitali za ovyoAaaah hata hospitali yenyewe ilibidi mje Kenya.. kumbe hamna cha kujigamba...porojo tu na kelele.. nchi iko nyuma
Ni vema.Take it easy!Mabaka wapo nchi gani?
Na kwanini uendekeze hizo ngonjera sisi tunachojua katiba imefuatwa kama inavyotakiwa basi!
unamjibu kichaa huyo achana naye.