Wakenya, mmeona sasa jinsi Demokrasia inapaswa iwe?

Lazima aseme corona inaua maana ndio sehemu anayopigia mamikopo inayowakandamiza hadi mtauzwa sasa
 
barakoa hatujaanza kuvaa leo.wala nyinyi hamuwezi kutufundisha namna ya kujilinda na corona wakati bado inawafirigisa.
 
Ingekuwa Kenya sasa hivi somalia ingeshajitwalia mombasa
 
Ahaaa,ngoja waje hapa,Wajaluo,Wakikuyu,Wakamba n,k na siasa zao za ukabila.
Kwakwel tungekua wabaguz tungelianzisha.Tena tngekuana sbabu nzuuuri kwamba "haiwezekan tanzania nzima bara na visiwan iongozwe na wanzanzibar"(wao wasingekubali).
Mungu azid kumrehemu muasis wa taifa hili Nyerer.Aliijenga tanzania yenye utu sana na misingi bora ya utawala wa kisheria.
 
Umepata idhini ya Mwigulu Nchemba Kutoa hoja hiyo? Kweli akili zako zimebebwa kubebwa. Ukumbuke kuomboleza. Serikali ishatoa nyibo za kuomboleza kule Pyongyang

Yaani wewe hata kutype hujui unakuja kupanua panua mdomo hapa. Nyibo ndio nini?

Jifunzeni kiswahili kwanza ndio muanze kubishana na Watanzania. Sisi sio saizi yenu.

Kuna walimu kibao wanakimbia huko kwenu wanakuja kuomba kazi kwenye shule za Kitanzania na mifano tunayo.
Yaani kama serikali yenu tu imeshindwa kulipa na kuajiri walimu wanakimbilia bongo kutafuta unafuu hayo maendeleo yenu mnayojitamba nayo yana faida gani?
 
U are too shallow minded.Unfortunately there's not much you can do help someone who is very bitter.Only they can help themselves
 
Are Ain't u supposed to be mourning,,
 
One cost of depression is that it prolongs ua mental and emotional pain raises stress resulting to becoming obsessed with blaming someone else for your misery which prevents you from experiencing the potential joys of living fully in the present.Pole kwa machungu Braza!!
 
Umeiona democrasia hiyo ndugu?
Ww n tumbili sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa democrasia gani inaongozwa na Chama Kimoja bungen mbunge wa upinzan n WA kuhesbau na kidole kama chawa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ww n tumbili sana [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Sasa democrasia gani inaongozwa na Chama Kimoja bungen mbunge wa upinzan n WA kuhesbau na kidole kama chawa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwa akili yako demcrasia ni kuwa na wabunge wengi wa upinzani?
 
Bro ni hasira plus depression inatesa hawa Mataga.Nani atakua anawalipa buku saba [emoji23][emoji23].Hao kwisha
Reasoning na several ya Tanzanians humu inachosha akili, wako dumb deadly! Utatumia nguvu nyingi kuelimisha mshamba, wachana nao wajitekenye wakicheka, hovyo kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], better ku wapuuza. Wanafiki, roho ngumu ata mkulu hajazikwa wameanza kukurupuka, serikali yao inajua ujinga wao sasa imetoa ilani, hakuna sherehe yeyote for the next 21 days, idiots wangekula bata. Wajinga kweli.
 
Hiyo hospitali unayoita ovyo, jamii yako yote hamna hata mmoja aliye na uwezo wa kuhudumiwa kwa hospitali ya hiyo hadhi.
Tuna hospitali nzuri alafu za umma huduma nzuri zingine hamna hata Kenya lakini Watanzania wote wanahudumiwa.
 
Tuna hospitali nzuri alafu za umma huduma nzuri zingine hamna hata Kenya lakini Watanzania wote wanahudumiwa.
Nimekuambia hiyo hospitali unayoita ovyo, jamii yako yote hamna hata mmoja aliye na uwezo wa kuhudumiwa kwa hospitali ya hiyo hadhi.
 
what the hell is this?people are very idle...hili nalo lishakua jambo la kujigamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…