Kilimbatz
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 4,331
- 5,865
AhahahTulizoea CCM wakiiba kura kwenye kila uchaguzi ila awamu hii wamelawiti uchaguzi badala ya kuiba kura
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AhahahTulizoea CCM wakiiba kura kwenye kila uchaguzi ila awamu hii wamelawiti uchaguzi badala ya kuiba kura
Hamwezi kwasababu moja tu ... Ukabila.Kwanza nakubali Kenya kuna ukabila na ukabila ni mbaya. Lakini Geza nina swali ambalo nimelifikiria jana. Hapa Kenya unadhani tunaweza kurudi kwenye one party state bila vita kama mlivyofanya ninyi? Kwa mfano unadhani Jubilee party ya Uhuru inaweza kushinda kura katika Nyanza province ya Raila bila ya idhini ya Raila? Au mfano mwingine, let us assume kwamba Uhuru anagombea tena kiti 2022, unadhani 2022 Ruto anaweza kupata kura nyingi huko Central province kwa wakikuyu kushinda Uhuru? Juzi Uhuru alienda Kisumu akapokelewa kwa shangwe na bashasha lakini Raila alikuwa kando yake. Unadhani Uhuru angekanyaga Kisumu ile enzi ya 2017 alipokuwa na uhasama na Raila? Mjaluo anaweza kupigia Jubilee kura wakati Raila amekataa ama mjaluo atafuata jambo ambalo Raila amesema?
MK254 ningependa pia kujua maoni yako kuhusu hili.
My aim ni kujua kama itakuwa rahisi kwa Kenya kurudi kuwa one-party state au kama ni vigumu
Na huo ukabila wenu, mtachinjana mmalizane. Tz is built differently.Kwanza nakubali Kenya kuna ukabila na ukabila ni mbaya. Lakini Geza nina swali ambalo nimelifikiria jana. Hapa Kenya unadhani tunaweza kurudi kwenye one party state bila vita kama mlivyofanya ninyi? Kwa mfano unadhani Jubilee party ya Uhuru inaweza kushinda kura katika Nyanza province ya Raila bila ya idhini ya Raila? Au mfano mwingine, let us assume kwamba Uhuru anagombea tena kiti 2022, unadhani 2022 Ruto anaweza kupata kura nyingi huko Central province kwa wakikuyu kushinda Uhuru? Juzi Uhuru alienda Kisumu akapokelewa kwa shangwe na bashasha lakini Raila alikuwa kando yake. Unadhani Uhuru angekanyaga Kisumu ile enzi ya 2017 alipokuwa na uhasama na Raila? Mjaluo anaweza kupigia Jubilee kura wakati Raila amekataa ama mjaluo atafuata jambo ambalo Raila amesema?
MK254 ningependa pia kujua maoni yako kuhusu hili.
My aim ni kujua kama itakuwa rahisi kwa Kenya kurudi kuwa one-party state au kama ni vigumu
Sasa nyie ndio mna demokrasia? Nyie ambao mnafutilia mbali kabisa upinzani? Nyie hamna tena demokrasia. Mmekuwa one-party state!Hivi Kenya mnishinda nini Hiyo Egypty
Mnaishinda nini Russia
Nyie mna Demokrasia au Mna Uchaguzi wa Kikabila!!
Yaani Mna Demokrasia ambayo Ukoo mmoja una miliki Mashamba Kulisha Nusu nzima ya Wakenya!!
Huna cha kusherehekea hapo. Kuna kipi cha kushehekea wakati upinzani umefutiliwa mbali? Akili kichwani.Na huo ukabila wenu, mtachinjana mmalizane. Tz is built differently.
Huku Kenya serikali ikijaribu upuzi kama huo wenu itajua kilichomtoa kanga manyoa. Kenya haitawahi kuwa na chama kimoja kama nyie. Na serikali haiwezi kujaribu kuangamiza upinzani maana itakiona cha mtema kuni.Na huo ukabila wenu, mtachinjana mmalizane. Tz is built differently.
That's why we're Tanzania and you're Kenya. We're not alike, I see lots of you kwa fb, ig, YouTube mnajikuta mnajuua, ilhali nchi yenu ni uozo. Y'all so entitled, u do not know that. Bongo jana uyo lisu kaitisha maandamano nchi nzima, anataka raia ziache shughuli zao waingie kwa road wapate favors na sababu za wazungu kutuingilia, sasa hatukuitwaga wabongo for nuthn, ni raia tunotumia bongo, watu wako na mbishe zao, leo hii nmetoka chuga nilipopigia kura, ndio nmeingia moshi, maan, people are doing their things, and I expected this, a lot did.Huku Kenya serikali ikijaribu upuzi kama huo wenu itajua kilichomtoa kanga manyoa. Kenya haitawahi kuwa na chama kimoja kama nyie. Na serikali haiwezi kujaribu kuangamiza upinzani maana hawatafurahia reaction itakayotokea.
Kumbe unaishi Moshi? Una uhakika hujavuta moshi ya bangi? Endelea kutetea jambo lililotokea huko kwenu.That's why we're Tanzania and you're Kenya. We're not alike, I see lots of you kwa fb, ig, YouTube mnajikuta mnajuua, ilhali nchi yenu ni uozo. Y'all so entitled, u do not know that. Bongo jana uyo lisu kaitisha maandamano nchi nzima, anataka raia ziache shughuli zao waingie kwa road wapate favors na sababu za wazungu kutuingilia, sasa hatukuitwaga wabongo for nuthn, ni raia tunotumia bongo, watu wako na mbishe zao, leo hii nmetoka chuga nilipopigia kura, ndio nmeingia moshi, maan, people are doing their things, and I expected this, a lot did.
CCM sio kanu buda, brains zilodesign hili lichama hazifanani kabisa na waasisi wa kanu. So y'all just chill and witness, and stop pretending like mnatujali saaana, sote tunajua ni wivu tu mko nayo.
Kwanza nakubali Kenya kuna ukabila na ukabila ni mbaya. Lakini Geza nina swali ambalo nimelifikiria jana. Hapa Kenya unadhani tunaweza kurudi kwenye one party state bila vita kama mlivyofanya ninyi? Kwa mfano unadhani Jubilee party ya Uhuru inaweza kushinda kura katika Nyanza province ya Raila bila ya idhini ya Raila? Au mfano mwingine, let us assume kwamba Uhuru anagombea tena kiti 2022, unadhani 2022 Ruto anaweza kupata kura nyingi huko Central province kwa wakikuyu kushinda Uhuru? Juzi Uhuru alienda Kisumu akapokelewa kwa shangwe na bashasha lakini Raila alikuwa kando yake. Unadhani Uhuru angekanyaga Kisumu ile enzi ya 2017 alipokuwa na uhasama na Raila? Mjaluo anaweza kupigia Jubilee kura wakati Raila amekataa ama mjaluo atafuata jambo ambalo Raila amesema?
MK254 ningependa pia kujua maoni yako kuhusu hili.
My aim ni kujua kama itakuwa rahisi kwa Kenya kurudi kuwa one-party state au kama ni vigumu
Kwanza, hakuna mahali media za Kenya zimewahi kusifu udikteta wa Kagame. Kagame huwa anauwa wapinzani wake au anawatia gerezani. Kagame ameuwa watu wengi sana wanaompinga.JPM anamuiga Kagame ambaye Kenya media na international communities zimekuwa zikimsifu. ukiangalia hamna tzofauti ya alichofanya JPM na Kagame kuanzia kuzuia mikutano ya vyama vya Upinzani mpaka kuwatia ndani wanasiasa wa Upinzani mpaka matumizi ya vyombo vya dola vya ulinzi kutishia Upinzani pia ballot stuffing and opposition votes stashing. Vijana wengi 35 and below (kwenye opposition strongholds) wamekuta majina yao hayamo on voting day though they were on registry list few days before! Ngoja tuone unafiki na reaction ya media zenu na international communities , JPM anaenda kuondoa term limit na serving term inaenda kuwa 7 years. He learns from the master himself!
Kwanza, hakuna mahali media za Kenya zimewahi kusifu udikteta wa Kagame. Kagame huwa anauwa wapinzani wake au anawatia gerezani. Kagame ameuwa watu wengi sana wanaompinga.
Hata international media huwa zinamkashifu Kagame vikali kwa uuwaji na ukatili wake ama unataka nikuletee evidence?
Media ya Kenya na international media huwa zinasifia maendeleo ya Kagame lakini hakuna siku utawahi kusikia media ya Kenya ikishangilia wakati Kagame anauwa wapinzani wake.
Hebu angalia vitu ambavyo media za Kenya huwa zinasifu kuhusu Kagame. Hakuna jinsi utanishawishi eti media ya Kenya inafurahia udikteta wa Kagame. Mambo ambayo media yetu na international media huwa inasifu ni kamaUnanisikitisha yaani unabisha hili JPM yuko more attacked by ur media than Kagame, Nationmedia kila siku inamsifu actuually ur media worships him!