Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

@ Dudu jeupe one thing certainly those folks around our borders between ndangayika and kenya,They have no
teast or desire to eat any products from geza meat processing plant in sabawanga.
There is a huge market for geza meat to nganganyika cousin Chinese.
.
 
Waluhya inasemekana wanatoka katika kabila la waganda hata ndio kabila pekee ambalo Ni la kifalume japo serikali haijaupa huo uongozi wao kipau mbele na hautambuliki na wengi, waluhya wanaingiana na wahaya kidogo japo hata kinyankole na kiluhya zinakaribiana.
 
Yes, wadigo wanapatikana kote kote. Mfano, balozi wa sasa wa Kenya nchini Tanzania mhe. Danny Kazungu, ni mdigo wa kutokea Malindi Kenya.
Dani kazungu sio mdigo Ni mgiryama japo wote wadigo na wagiryama wapo kundi moja au kabila moja la mijikenda , kenya mkizungumza lugha ambazo zinakaribiana mnawekwa kundi moja mnakua kabila moja. Wadigo hawapatikani malindi ,malindi Ni kwa wagiryama, wachonyi,waribe,warabai ,wakauma etc, wadigo wanapatikana kwale ambapo wanaishi na wadhuruma na wamakonde,wadigo 90% Ni waisilamu na wagiryama 90% Ni wakristo.
 
Hao Wamakonde sio original Kenyan tribe. Hao walitembea kutoka Mozambique na kufika Kenya in the 1960s. Walipewa uraia wa Kenya miaka mitatu iliyopita na Rais Kenyatta.
Sawa sawa.

Ila si wamakonde wa Kenya mkuu?
 
Huenda wamakonde wapo ila idadi yao Ni chini sana halafu sidhani kama wanaongea lugha sawa na wamakonde wa Tanzania (not sure about this though). Wanyasa nao hawapo Kenya kabisa
Wana chale na ndonya kabisa
 

Hapo inaweza kueleweka japo inasikitisha watu kunyimwa fursa kutokana na kabila zao.
Ila hatuchekani sana neighbour maana hata huku kwetu tunaungua 😁
 
They share names eg Mwango, mochache,
 
Mchaga kwa mpakani ni kama bahari na mkondo bahari
 
Kuna Wakamba pia Tanzania. Cha kuchekesha Wamaasai huwa wanawaona kama washamba
 
Wewe utakuwa Omera wa Ombo, Kakrao au Oruba migori!
 
Mnyambo anaweza kula ugali kuku kulingana na Mluyha??!!
 
Kamba best wives?!!! Hahaaa, si ni kama kulima miwa karibu na shule ya msingi! Ungesema Taita au Pokomo hapo sawa
 
ila wapokomo ni mali safi chini ya maji walai, yani kuna wengine wapo km waswahili vile..
Unawasifia tu wapokomo kwa sababu wewe Ni mpokomo lakini si wazuri vile haswa wanaume wao hao watu wa hola nawajua hawawezi karibia wataita/wataveta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…