Wakenya, naskia kuna Wakurya na Wachaga upande wa Kenya, can you share with us your views on them?

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
You got me. Oruba ndio base. How did you figure this out? Are you also a Migori native?
No. I am 100% Tanzanian lakini nimepita sana huko, Kaka yangu alikuwa na rafiki wengi huko kwa sababu amesoma Kenya. Unatoka Oruba kule juu? Hahahaa, kwa Mzee nani? Ja'Migori!
 
So there are Kurias going by the name Mwango and Mochache!? πŸ€” πŸ€”
I didn't know that.
No there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria ni
Wambura_rainy season/rain
Murimi_farmer
Boke_honey
Wegesa_harvest
 
Kuna huyu journalist alikuwa anaitwa Richard Chacha wa NTV. Sijui kama unamfahamu?
 
No there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria ni
Wambura_rainy season/rain
Murimi_farmer
Boke_honey
Wegesa_harvest
Yaani Wakurya ni bantus and yet mnafanya pastoralism? Wabantu karibu wote wanafanya farming inakuaje nyinyi mnafanya pastoralism? Ama ni kwa sababu mumeinteract na Wamaasai sana?
 
Sasa mbona Bongo wamasai ni wemgi kuliko hata wajaruo na ni top 3 ya makabila makubwa hapa bongo....Lakini wazungu wote wanajua wamasai wanapatikana Kenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JWTZ=Jeshi la Wakurya Toka Zamani,.....!!!1
 
We mama Rhoda,Kura tumekura kurara tutarara wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp tunapozungumzia swala la ukakamavu na ushujaa kwa kenya is it normal for many tribes?

Hawa ndugu zetu wakurya kulikuwa kuna vita nyingi sana hapo zamani za kuibiana ngombe, polisi walishindwa kutuliza ilibidi waende commandoes
Kuna mtu aliwahi kuwatangazia wakurya kuwa kuna vita, mahali fulani. Walifurahi sana kusikia hivyo wakachukua silaha zao kuelekea vitani. Kufika eneo lililokuwa linasemaekana kuwa ndiyo kuna vita, likatolewa tangazo jingine tena kuwa vita hiyo haipo imeahirishwa mpaka hapo baadaye. Wakurya wakasikitika sana kuikosa hiyo vita, na kwa upande mwingine wakadharau sana wakawa wanajiuliza "sasa fita gani tena hii mura ya kupangiana tarehe?"
 
No there aren't but kuna jamii nyingi hasa za kibantu huwa na majina yanafanana hadi maana mfano wa majina ya kikuria ni
Wambura_rainy season/rain
Murimi_farmer
Boke_honey
Wegesa_harvest
Jina Makori linatumiwa na jamii zote za Wakisii na Wakurya. Tena kwa Tanzania hata Wanata, Wangoreme kiasi fulani unaweza kulikuta
 
Yaani Wakurya ni bantus and yet mnafanya pastoralism? Wabantu karibu wote wanafanya farming inakuaje nyinyi mnafanya pastoralism? Ama ni kwa sababu mumeinteract na Wamaasai sana?
Hata Wasukuma ni pure Bantu na kabila kubwa Tanzania lakini wanafanya pastoralism na farming. Jamii nyingine za Bantu zinazofanya pastoralism ni Wangoreme, Wazanaki n.k. Inawezekana pia ni kwa sababu ya kupakana na pastorists, na pia kama mmoja alivyosema ukiangalia Bantus wa North Western wanafuga sana wakati wale wa Pwani na Kusini hawafugi.
 
Kuna huyu journalist alikuwa anaitwa Richard Chacha wa NTV. Sijui kama unamfahamu?
He was involved in a grissly road accident in 2012 that left him paralysed. He almost lost his life but remained confined to the wheelchair. I think he lost his job with NTV thereafter. So sad happening to one of the best journalists at NTV at that time
 
No. I am 100% Tanzanian lakini nimepita sana huko, Kaka yangu alikuwa na rafiki wengi huko kwa sababu amesoma Kenya. Unatoka Oruba kule juu? Hahahaa, kwa Mzee nani? Ja'Migori!
If you know the area around former MP and Minister John Henry Okwanyo's home. That's the place. Was born and raised there. Our home is directly opposite Total Petrol station hizo sides za juu.
You seem to know Migori quite well. From the way you talk, hata kijaluo ni Kama unazungumza πŸ˜‚
We need to hook up omera!
 
Boss wewe ukiingia jamii forum ulikuwa unaongea sheng tu. Hukuwa unaweza kuconstruct sentence hata moja ya kiswahili. I am happy to see the transformation. Haha. Hata mimi I was just the same nikiingia huku.
Are you sure? Kiswahili chako kimelainika sana. At first I thought you are from the coastal region
 
Mimi ilibidi nibuburuze hadi pwani (taita) kutafuta jiko πŸ˜‚
Besides beauty, they are also well-behaved unlike hawa wa huku kwetu bara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…