Wakenya, ni mjinga pekee ndiye anaharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe

Tanzania ingekuwa na raia kama wa Kenya kwa resources tulizonazo sa la hivi tungekuwa kama Newyork.

Aliyewaambia mna resources nyingi aliwadanganya sana nyie wamatumbi. TZ Haina resources yeyote ile ya kutisha, matter of fact ina resources za kawaida sana.

In Africa let alone duniani, TZ haiongozi kwa kuzalisha wala wingi wa reserve wa dhahabu, chuma, oil, gas, coal, maji, ardhi or anything you name it. Nyie mna Tanzanite tu ambayo Haina any real application zaidi ya vidani tu na inaisha in 10yrs to come.

Mmejazwa ujinga kwamba nyie ni matajiri mmefungwa akili mbaka Leo ndo maana mnajifungia mnadhani kila mtu anawaonea wivu kumbe hamjulikani kabisa.
 
wana akili sana kuliko unavyo fikiria...

haya unayoyaona ni mipango na kuna nchi zitatoa hela za kutosha kenya itapata kukopeshwa pes nyingi sababu ya hizi vurugu maana bila hivyo wangepata tabu saana kuendesha nchi madeni ni mengi!

ila kupitia maandamano haya kwanza naona matajiri wengi wa kenya hawataitaka siasa tena kenya na wataokuwa madarakani hawata wadharau tena wananchi heshima inajegwa kwa mbilinge mbilinge kama hilo..nchi zote duniani zilizoendelea na tunazozisifia sasa hivi kidemocrasia zilipitia tanuri la moto kama kenya..

mimi binafsi nawasifu sana vijana wa kenya wametuwakilisha vyema east africa na ni hakika kwenye vikao vya viongozi wetu ikulu huko wamekwisha kuonyana kwa yale yanayotokea kenya.!

Wewe kweli covid 19.

Wamekataa financial bill ili wakakope $2.7 billion, hiyo ndo akili? Nani atalipa Hilo deni? Au watafanya vurugu tena deni lisilipwe?

Mitanganyika mnasifia ujinga wowote ule wa Kenya.

Kosugi ,

..pitia data hizo za mifugo na uzalishaji maziwa kwa east africa.

..majirani wanafuga kisasa zaidi na hicho ndicho kinawabeba.

..Kenya wana matatizo yao makubwa tu, lakini wanajitahidi kupambana.

Nimeona mkuu shukran.
Ila hili pekee halitoshi,maziwa yana umuhimu kuliko mazao ya biashara na chakula!?
Tuwaombee huu mwaka uishe salama ila ikiwa tofauti WFP watatia nafuu Kenya kupeleka misaada wa chakula.
 
Aliyewaambia mna resources nyingi aliwadanganya sana nyie wamatumbi. TZ Haina resources yeyote ile ya kutisha, matter of fact ina resources za kawaida sana.

In Africa let alone duniani, TZ haiongozi kwa kuzalisha wala wingi wa reserve wa dhahabu, chuma, oil, gas, coal, maji, ardhi or anything you name it. Nyie mna Tanzanite tu ambayo Haina any real application zaidi ya vidani tu na inaisha in 10yrs to come.

Mmejazwa ujinga kwamba nyie ni matajiri mmefungwa akili mbaka Leo ndo maana mnajifungia mnadhani kila mtu anawaonea wivu kumbe hamjulikani kabisa.
Mkuu hizo ni madhara ya siasa za propaganda za CCM kusifia nchi sana ili raia wa ridhike kutotoka nje......lakini kwa kusema ukweli nchi haina lolote la ajabu, inacho dhalisha katika soko la dunia madini mafuta nishati nyingine au agro products, ni midomo na elimu duni ya watanzania ni wepesi wa kurubuni kiakili.
 
Nimeona mkuu shukran.
Ila hili pekee halitoshi,maziwa yana umuhimu kuliko mazao ya biashara na chakula!?
Tuwaombee huu mwaka uishe salama ila ikiwa tofauti WFP watatia nafuu Kenya kupeleka misaada wa chakula.

..sisemi kwamba Wakenya wako perfect.

..ninachosema ni kwamba wanazo challenges na wanajitahidi kuzitatua na kuna maeneo wamefanikiwa.

..mfano ni tatizo lao la ARDHI wanalitatua kwa kulima na kufuga kisasa na wamefanikiwa ktk ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, na kilimo cha matunda.
 
Sawa mkuu,ila hapa sizungumzii perfection,bali nazungumzia uwiano wa hao wenye afadhali na idadi ya wanyanyasika haviwiani.
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Ni heri kutokuwa na akili lkn wanapigania haki yao!
Kuliko kuwa na akili timamu afu unapekwa pelekwa tu kama gari bovu afu na wewe unaenda!
I’m Proud of them 🇰🇪
 
Sawa mkuu,ila hapa sizungumzii perfection,bali nazungumzia uwiano wa hao wenye afadhali na idadi ya wanyanyasika haviwiani.

..wealth gap sio rafiki sana kwa ndugu zetu. We can take that as a negative.

..kuna jitihada kubwa za kutumia teknolojia, mbegu bora, etc kwa wakulima wadogo na wa kati. We are seeing very positive results. Dairy farming in Kenya is being driven by small scale farmers.

..Pia usisahau kwamba Kenya ndio mbia mkubwa wa kibiashara kulinganisha na majirani zetu wote. Ni muhimu sana Kenya iwe na AMANI wakati wote ili tuendelee kufanya nao biashara.
 
Umemaliza mjadala.
 
Wakenya hawana akili wanaharibu vitu vilivyojengwa kwa pesa yao wenyewe.

Ni mjinga pekee ndio anaweza kuharibu vitu alivyojenga kwa pesa yake mwenyewe.

Demokrasia ya Kenya haina balance haieleweki polisi hawaeleweki yaani usalama wa nchi hauleweki.

Haeleweki mwenye nguvu ni nani.

That's not democracy
Unasoma darasa la ngapi kwanza, maana mawazo kama haya kadilio la juu ni standard 1 up to 4 kwa elimu ya Tanzania
 
Back
Top Bottom