Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
Tanzania ingekuwa na raia kama wa Kenya kwa resources tulizonazo sa la hivi tungekuwa kama Newyork.
Aliyewaambia mna resources nyingi aliwadanganya sana nyie wamatumbi. TZ Haina resources yeyote ile ya kutisha, matter of fact ina resources za kawaida sana.
In Africa let alone duniani, TZ haiongozi kwa kuzalisha wala wingi wa reserve wa dhahabu, chuma, oil, gas, coal, maji, ardhi or anything you name it. Nyie mna Tanzanite tu ambayo Haina any real application zaidi ya vidani tu na inaisha in 10yrs to come.
Mmejazwa ujinga kwamba nyie ni matajiri mmefungwa akili mbaka Leo ndo maana mnajifungia mnadhani kila mtu anawaonea wivu kumbe hamjulikani kabisa.