GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #181
Passport siyo kitu cha kimuujiza. Ni kitambulisho kama kilivyo NIDA, utofauti tu ni kuwa NIDA inatumika ndani na PASSPORT hutumika nje ya nchi.Mkuu, wewe bado ni mtoto mchanga Sana, mnaishi kwa hisia na nadharia, hakuna nchi inayotoa passport bila sababu, Kama zipo basi no nchi chache Sana, passport sio chupi mkuu.
Kwani hiyo NIDA unaipata kwa urahisi?, Lazima uthibitishe kweli Kama wewe ni raia wa Tanzania Kama sharti kuu la kupewa kitambulisho Cha NIDA. Sharti kuu la kupata passport lazima uthibitishe uhalali wa matumizi ya passport. Ufinyu wa uelewa wako ndio tatizo kubwa.Passport siyo kitu cha kimuujiza. Ni kitambulisho kama kilivyo NIDA, utofauti tu ni kuwa NIDA inatumika ndani na PASSPORT hutumika nje ya nchi.
Mbona unajitahidi kujifanya huelewi jambo lililo dhahiri kiasi hiki?
Pole. Inawezekana hujui hata MATUMIZI ya passport.Kwani hiyo NIDA unaipata kwa urahisi?, Lazima uthibitishe kweli Kama wewe ni raia wa Tanzania Kama sharti kuu la kupewa kitambulisho Cha NIDA. Sharti kuu la kupata passport lazima uthibitishe uhalali wa matumizi ya passport. Ufinyu wa uelewa wako ndio tatizo kubwa.
Hivi zaidi ya Tanzania, nchi gani zaidi uliyowahi kufika?, Samahani lakini mkuu.Pole. Inawezekana hujui hata MATUMIZI ya passport.
Sijafika nchi nyingi, lakini katika hizo chache, Kenya ni mojawapo.Hivi zaidi ya Tanzania, nchi gani zaidi uliyowahi kufika?, Samahani lakini mkuu.
Hahaha, mkuu unanifurahisha Sana, Kenya nilishaenda mara kadhaa kupitia mpaka wa Horohoro, vijiji vya Duga, Moa, hivyo vipo upande wa Tanzania, Vanga na Lunga lunga vipo upande wa Kenya, kiwanda cha sukari Cha Ramisi wakati unakaribia Mombasa, kote huko nilipita na private car nikaenda Diani beach.Sijafika nchi nyingi, lakini katika hizo chache, Kenya ni mojawapo.
Ndiyo maana sikubaliani na longo longo zako za kuipondea Kenya, kisa tu unataka watu wenye akili wakubaliane na sera za kikomunisti za kuwafungia watu ndani wasijue kinachoendelea duniani.
Katembee Kenya, alau kwa wiki mbili. Kutakusaidia kufungua ufahamu.
Passport ya marekani na nchi nyingine nyingi tu wala siyo ngumu kupatikana kwa raia wao, mfano marekani wao hata mtu asiye raia akiwa na green card tu na akakidhi vigezo vyote vya kuwa raia, anapewa uraia na passport hapo hapoMkuu, toka uliko ujaribu kizunguka Dunia ujifunze mambo, Passport sio kitu Cha mchezo duniani kote, Wacha kusikiliza maneno ya wakenya, wakenya ni watu waongo Sana, hata Kenya wanaidhiti Sana passport Yao, tatizo Kenya ni Rushwa iliyotamalaki, mifumo yote ya nchi inekufa, Kila kitu linafanyika kienyeji Kama Nigeria.
Akili ndogo ni shida Sana, kwahiyo wewe kwa akili yako finyu unadhani hizo taratibu na vigezo vya kuomba passport hupangwa na watu wa uhamiaji peke Yao?. Wewe punguza ujuha wako, hivi unajua maana ya Rushwa, Sasa nenda huko Kenya ambako mnasema hakuna hayo masharti uone Kama utapata Passport bila kutoa Rushwa.Passport ya marekani na nchi nyingine nyingi tu wala siyo ngumu kupatikana kwa raia wao, mfano marekani wao hata mtu asiye raia akiwa na green card tu na akakidhi vigezo vyote vya kuwa raia, anapewa uraia na passport hapo hapo
Tena mtu mwenye green card hata kama kaipata leo kesho akajiunga na jeshi lao, baada tu ya kumaliza mafunzo yao ya awali ambayo huwa ni kati ya miezi miwili hadi mitatu, ile siku wanamaliza mafunzo na kuapishwa kuwa wanajeshi akitaka anakuwa raia kabisa anapewa na passport
Na kwa taarifa yako hii nchi usifikiri kwamba wanabania passport, eti kwa lengo la kulinda usalama wa nchi au sijui kulinda jina la nchi kimataifa haiko hivyo, hicho ni kichaka tu cha kujifichia lengo lao kubwa ni kuchukua rushwa
Sababu passport yetu ni 150K ila mtu ukienda na 300K, unaipata kirahisi bila kuombwa sijui barua ya mwaliko wala dhumuni la safari, au hata ukiwa na mtu huko wa kukufanyia mpango unaipata kirahisi tu
Sasa kama lengo lao lingekuwa ni hilo unalosema kwanini wakubali kuchukua hizo laki tatu au kwanini wenye watu wao hawapitii mlolongo wote huo, ndio maana unaambiwa hii nchi usipokuwa na jina au connection utahangaishwa sana hata kwenye kupata haki zako, wadanganye wasiojua hakuna cha uzalendo wala maslahi ya nchi ni rushwa na urasimu tu
Kifupi nilipanda hasira nilitaka kukuporomoshea matusi ya nguoni nikaona nitulie kwanza .Hivi wewe uko na akili timamu kutoa passport (exit visa) kwa kibaka wa pale Manzese bila kumuuliza lengo la safari yake ni nini?
Mkuu samahani Sana, ila wewe ni miongoni mwa watu wajinga Sana, na huna akili, hata hivyo ninakuheshimu ndio sababu ninakujibu. Sikusema watu wanaoishi Manzese, nimesema vibaka wa Manzese, nani asiyejua kwamba Manzense ndio kwenye vibaka wengi "Historically?", Sasa ulitaka nitaje vibaka wa Osterbay au Mbezi beach?, Tumia akili.Kifupi nilipanda hasira nilitaka kukuporomoshea matusi ya nguoni nikaona nitulie kwanza .
Kwa hiyo kijana wa Manzese anayeishi Manzese kijumba cha kupanga kisicho hata na umeme asiye na kazi yeyote akija kuomba passport hamumumpi passport? Hadi alete barua ya mwaliko au ushahidi written ya anakoenda?Tuanzie hapo
Manzese uswahilini wanakaa wanafunzi kibao wanaosoma Chuo kikuu cha Dar es salaam, chuo kikuu cha maji na Chuo kikuu cha usafiririshaji NIT
Kuishi kule uswahilini kapesa kao ka mkopo wa Bodi ya mkopo au ya wazazi wao maskini wanaojibana ndio pesa huenea ya wao kuishi walau comfortable wakisoma na wakigraduate hubaki Manzese cheap kwao
Sasa wakiona au kusikia may be kuna fursa nchi fulani wanataka kwenda as graduates waliokosa kazi Tanzania hayo maswali yako ya kibwege unayaona ya maana kama unataka documentary evidence ya safari yake?
Kweli aliyeshiba hamjui mwenye njaa
Mungu akulaani wewe na wanao waishie pabaya kwa kutojali maskini wanaoishi manzese unawaita vibaka wasio na kaxi
Familia yako na generational yako ya uzao wako na waishie pabaya kwa jina la Yesu
Umeshiba mafanikio kiasi unaona wasio na ajira wakaa Manzese vibaka tu
Sisi DEVELOPED NATIONS huwa tunatumia PASSPORT kama hati ya kusafiria, pia tunatumia kama utambulisho katika masuala ya kijamii 😊Developed nations wao wanafanya aje?
Tunajifunza from the top level.
Mkuu, sifa zifuatazo ni dalili za ujinga;Nimefuatilia mada kwa umakini sana ila mwisho wa siku bado hoja ya kuwa ili upate passport ni lazima uwe na sababu ya kusafiri nje ya nchi ina mashiko. Mkuu joto la jiwe ametoa hoja za msingi ambazo upande wa pili wameshindwa kuzijibu zaidi ya kulalamika.
Binafsi najiuliza ya nini kumpa passport mtu asiye na dhumuni la kusafiri nje ya nchi. Passport ndani ya nchi haina kazi kabisa maana kitambulisho cha taifa ndicho chenye kazi hiyo.
Kama mtanzania anataka kwenda nje kwa sababu yoyote ile ni lazima apate passport na ili kupata passport ni lazima ueleze sababu ya kutaka kusafiri, ukisema unataka kwenda kutembea watakuomba uthibitisho wa mwaliko, ukisema unataka kwenda kutibiwa watakuomba barua ya rufaa, ukisema unataka kwenda kutafuta maisha watakuomba uthibitisho wa mwaliko pia au barua ya ajira, ukisema unataka kwenda kusoma watakuomba barua ya udahili wa chuo. Sasa katika yote haya kuna ugumu gani kuambatisha document inayoonyesha dhumuni la safari, tena wao wanataka tu uweke document wala hawatapiga simu huko kutaka kujua uhalali wa hiyo document.
Maoni yangu watanzania tuache kulalamika bila sababu za msingi, tukae tukijua kuwa passport ni kitambulisho tu cha kimataifa kinachoonyesha taarifa za raia wa nchi fulani, hakuna ugumu kupata passport labda uwe mtu ambaye hujakamilika au unayependa konakona. Uhamiaji wanafanya kazi yao vizuri sana, ukifuata taratibu zinazotakiwa utapata passport ndani ya muda mfupi sana na utatimiza lengo la safari yako.
Wadanganye hao wajinga wenzio, watu wanazungushwa kila siku huko uhamiaji rudi lete hiki rudi lete kile, vitu ambavyo havina maana wala umuhimu wowoteAkili ndogo ni shida Sana, kwahiyo wewe kwa akili yako finyu unadhani hizo taratibu na vigezo vya kuomba passport hupangwa na watu wa uhamiaji peke Yao?. Wewe punguza ujuha wako, hivi unajua maana ya Rushwa, Sasa nenda huko Kenya ambako mnasema hakuna hayo masharti uone Kama utapata Passport bila kutoa Rushwa.
Wewe Wacha maneno mengi, wewe nenda kachukua forms za kuomba passport na ujaze na uambatanishe Kila kitu wanachohitaji, tena nimesikia siku hizi unaweza kuomba "online", uone Kama utaombwa Rushwa, tatizo wengi hawakidhi matakwa ya kuomba passport, kwahiyo wanaamua kuingia ktk njia za mkato.
Mkuu, Kila mtu anapenda pesa, anatafuta mazingira ya kuipata rushwa kwa hali na Mali, ukiwa na haraka zako za kutaka mambo chapchap na kwa mkato, lazima upigwe tu.
Huwa nashindwa kuelewa hapo kwenye barua ya mwaliko, mfano mtu anataka aende vacation katika nchi ambayo hana mtu wa kumualika ni anataka aende tu akatembee yeye binafsi au na familia yake akae siku kadhaa then arudi, huyu naye atatakiwa kuambatanisha nini sasa hapoNimefuatilia mada kwa umakini sana ila mwisho wa siku bado hoja ya kuwa ili upate passport ni lazima uwe na sababu ya kusafiri nje ya nchi ina mashiko. Mkuu joto la jiwe ametoa hoja za msingi ambazo upande wa pili wameshindwa kuzijibu zaidi ya kulalamika.
Binafsi najiuliza ya nini kumpa passport mtu asiye na dhumuni la kusafiri nje ya nchi. Passport ndani ya nchi haina kazi kabisa maana kitambulisho cha taifa ndicho chenye kazi hiyo.
Kama mtanzania anataka kwenda nje kwa sababu yoyote ile ni lazima apate passport na ili kupata passport ni lazima ueleze sababu ya kutaka kusafiri, ukisema unataka kwenda kutembea watakuomba uthibitisho wa mwaliko, ukisema unataka kwenda kutibiwa watakuomba barua ya rufaa, ukisema unataka kwenda kutafuta maisha watakuomba uthibitisho wa mwaliko pia au barua ya ajira, ukisema unataka kwenda kusoma watakuomba barua ya udahili wa chuo. Sasa katika yote haya kuna ugumu gani kuambatisha document inayoonyesha dhumuni la safari, tena wao wanataka tu uweke document wala hawatapiga simu huko kutaka kujua uhalali wa hiyo document.
Maoni yangu watanzania tuache kulalamika bila sababu za msingi, tukae tukijua kuwa passport ni kitambulisho tu cha kimataifa kinachoonyesha taarifa za raia wa nchi fulani, hakuna ugumu kupata passport labda uwe mtu ambaye hujakamilika au unayependa konakona. Uhamiaji wanafanya kazi yao vizuri sana, ukifuata taratibu zinazotakiwa utapata passport ndani ya muda mfupi sana na utatimiza lengo la safari yako.
Umegundua nini kwa Wakenya?Hahaha, mkuu unanifurahisha Sana, Kenya nilishaenda mara kadhaa kupitia mpaka wa Horohoro, vijiji vya Duga, Moa, hivyo vipo upande wa Tanzania, Vanga na Lunga lunga vipo upande wa Kenya, kiwanda cha sukari Cha Ramisi wakati unakaribia Mombasa, kote huko nilipita na private car nikaenda Diani beach.
Kwa upande wa Namanga, hapo nimevuka mara mbili nikielekea Nairobi, Nilienda hadi Central Kenya, nilikaa huko kwa mwezi mmoja nikiendesha semina Kama muwezeshaji(Facilitator), kulikua na barididi Sana.
Nilikwenda tena kula Bata kwa siku tatu na familia na private car, niliishia Nairobi. Mara ya mwisho nilikwenda kwenye mkutano kupitia JKIA.
Wakenya na Kenya kwa ujumla ninawajua si haba mkuu. Uganda ndio sijafika, Ila Rwanda nimeivuruga Sana, hadi Goma ndani ya DRC, huku kusini mwa Africa, huko ndio nyumbani kabisa. Burundi sijafika kabisa.
Hahaha, hahahaha.Umegundua nini kwa Wakenya?
Nigeria ilivyoharibu mahusiano yake ya kidiplomasia na nchi zingine duniani kwasababu tu ya tabia ya raia toka Nigeria wanavyojihusisha na vitendo haramu, nchi nyingi hivi Sasa hazitoi visa kwa raia toka Nigeria.
Kifupi idara oliyobaki wasiojielewa kwenye wizara zote za Tanzania ni uhamiaji kitengo cha PassportHuwa nashindwa kuelewa hapo kwenye barua ya mwaliko, mfano mtu anataka aende vacation katika nchi ambayo hana mtu wa kumualika ni anataka aende tu akatembee yeye binafsi au na familia yake akae siku kadhaa then arudi, huyu naye atatakiwa kuambatanisha nini sasa hapo
Halafu kingine vyuo vingi huko nje ukiwa unaapply kwa ajili ya scholarship, huwa wanataka uweke passport number yako na ukienda uhamiaji majitu yanakuambia lete admission letter, wakati mtu hawezi kuomba hivyo vyuo sababu hana passport
Tukubali tu kwamba si kila mtu aliyepata nafasi ya kuingia kwenye hizo idara basi ana akili, mengine ni majinga tu na ndio hayo yanayopata hizo nafasi kwa connection, halafu yanashindwa kureason vitu vidogo tu kama hivo
Nigerians wachache wasiokubaliwa DunianiWhich is a blessing kwa Nigeria kunyimwa ma visa ya nje. There's no brain drain, wanabaki nyumbani kujenga nchi.
It remains by far and away the most succesful economy in Africa outside of South Africa.
Immigration policy of Tanzania, best in the whole wide world. Passport hazitolewi kama karanga, uraia hautolewi kama karanga, work permit hazitolewi kama karanga, ardhi kwa wageni haitolewi kama karanga, na uraia pacha hatutaki kuusikia.