GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #141
Unataka kuuaminisha nini umma, kwamba wewe ni kilaza?Mkuu, huko nje hawaendi hao watu waliokosa ajira hapa Tanzania, kawaida huko nje huchukua "top cream" ya wasomi huku Africa, wanatuachia vilaza ndio tuwaajiri hapa nchini.
Kama wewe ulipita chuo kikuu, nitajie wangapi kati yenu waliopata ajira nje ya nchi, na kati Yao wangapi walifauli kiwango Cha chini?.
Kibaya zaidi, wengi wanaokwenda huko nje ni madaktari na Engineers waliokua wameajiriwa serikalini na ni madaktari bingwa, sio "fresh from school".