GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
- #101
Tanzania inawafungia ndani watu wake mithili ya mbuzi wezi, lakini Kenya imewapa uhuru wa kwake kutoka kwa kuwa inawaamini watu wake. Kwa nini basi, pamoja na Tanzania kuwafungia ndani raia wake na Kenya kuwaruhusu wa kwake kutoka, passport ya Kenya inaizidi ya Tanzania?Jambo Moja ni muhimu kuzingatia, passport lazima ilindwe na kudhibitiwa Ili iweze kuheshimika duniani, tukifanya mchezo itatuwia vigumu Sana kitembea nchi za watu, itafika wakati huko nje ukijulikana tu wewe ni mtanzania, watu wanatukimbia
Unafahamu Kenya inajulikana zaidi duniani kuzidi Tanzania?
Bora tu ukomunisti na ujamaa zilikufa. Ni laana. Ni masalia ya mitazamo yake ndiyo inayoitesa Tanzania.