Wakenya Tupeni Uzoefu Wenu Kuhusu Passport

Mkuu, ni mtu mjinga pekee atakayewekeza pesa nyingi katika elimu nchini kwake, Kisha akasherehekea Wasomi wake kwenda kufanya kazi nchi zingine.
So wasomi wote wameajiriwa hapa? Pili notion ya kwamba watu wanasomeshwa na serikali mnaioata wapi?
 
Utakuwa ulidanganya pahala, au umepita njia zisizo rasmi, au una ndugu huko..!!
Inawezekana pengine, hakwenda hata ofisi ya Uhamiaji, alipelekewa alipo. Kama hayo yanafanyika kwenye leseni za udereva, hata kwenye passport yanaweza kufanyika. Wanasema cho chote kinawezekana Tanzania, muhimu tu ni kutanguliza mshiko. Mi kipindi najifunza udereva, kuna mtu tulisoma naye huku tayari ana leseni, tena daraja C. Aliipataje wakati hata Chuo cha udereva hakuwa amepitia?
 
CC Hoshea
 
So wasomi wote wameajiriwa hapa? Pili notion ya kwamba watu wanasomeshwa na serikali mnaioata wapi?
90% ya Wasomi Afrika husomeshwa kwa pesa ya serikali au hutumia miundombinu ya serikali. Lengo la kuwasomesha watu sio kwa ajili ya kuajiriwa tu, ni kutengeneza watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa ubora na ufanisi popote pale, hasa katika private sector.

Muwekezaji yeyote anapotaka kuwekeza nchini lazima achunguze kuwepo kwa skilled people, Sasa Kama skilled people wako nje ya nchi na waliobaki ni "semi skilled", unategemea kupata uwekezaji wa maana kweli?
 
Mkuu, ni mtu mjinga pekee atakayewekeza pesa nyingi katika elimu nchini kwake, Kisha akasherehekea Wasomi wake kwenda kufanya kazi nchi zingine.
SIkubaliani na wewe..!! Hivi unadhani wale madaktari waliopo Botwana hawasheherekei kufanya kazi kule kwenye mshahara mkubwa? Wao ni wajinga? Angalia, isije ikawa unaziona sifa zako kwa wengine
 
90% ya Wasomi Afrika husomeshwa kwa pesa ya serikali au hutumia miundombinu ya serikali. Lengo la kuwasomesha watu sio kwa ajili ya kuajiriwa tu, ni kutengeneza watu wenye uwezo wa kufanya kazi kwa ubora na ufanisi popote pale, hasa katika private sector.

Muwekezaji yeyote anapotaka kuwekeza nchini lazima achunguze kuwepo kwa skilled people, Sasa Kama skilled people wako nje ya nchi na waliobaki ni "semi skilled", unategemea kupata uwekezaji wa maana kweli?
Serikali ni nani na pesa inatoa wapi
 
Unadhani kwanini sasa SKILLED PEOPLE ANAKUJA NAO?
 
Joto la jiwe anaamini ukiwa na kikaratasi kilichogongwa muhuri wa Mwenyekitie wa kijiji utakuwa salama. Hajui kuwa Kenya si pa mchezo mchezo!
Jambo Moja ni muhimu kuzingatia, passport lazima ilindwe na kudhibitiwa Ili iweze kuheshimika duniani, tukifanya mchezo itatuwia vigumu Sana kitembea nchi za watu, itafika wakati huko nje ukijulikana tu wewe ni mtanzania, watu wanatukimbia
 
Mkuu, hivi utajiri unapatikana kwa kusafiri "aimlessly?". Sera ya nchi yetu ni kutoa passport kwa mtu mwenye sababu za msingi za kutaka kusafiri, ukiwa na sababu za kusafiri ndio unapewa passport.

Mkuu jaribu kufika CapeTown pale "Freedom square" uone jinsi watanzania wanavyoidhalilisha Tanzania, hutaki hata ujulikane Kama wewe ni mtanzania ukifika pale, wale jamaa wengi hawana passport, au walizipata kwa njia haramu.
Wanafanyaje?
 
Hivi watanzania huwa mnafikiria kwa kutumia nini? Mbona uwezo mdogo sana!!!!
 
SIkubaliani na wewe..!! Hivi unadhani wale madaktari waliopo Botwana hawasheherekei kufanya kazi kule kwenye mshahara mkubwa? Wao ni wajinga? Angalia, isije ikawa unaziona sifa zako kwa wengine
Kama walisomeshwa na serikali, lengo halikuwa wao kwenda kufanya kazi huko Botswana, lengo ni Ili watumike hapa nchini.

Kwa msomi yeyote hapa Afrika, hasa hayo masomo ya udaktari, 98% wamesoma kwa pesa ya serikali, anapofanyakazi hapa nchini, yeye binafsi anafaidika na serikali inafaidika kwa kupata Kodi na kupata utaalamu wake ambao serikali ingelazimika kuupata kwa gharama kubwa kutoka kwa raia wa kigeni kuja kufanya kazi nchini.

Kwa huyo daktari kwenda kufanya kazi Botswana, yeye anapata faida na Kodi zote na utaalamu unachukuliwa na serikali ya Botswana, nchi yetu pamoja na kutumia pesa nyingi lakini haipati kitu.
 
Kama hawana kazi, itakuwa ni hekima kuendelea kuwafungia ndani? Lengo litakuwa ni lipi, wafe njaa?

Watu wengine, tena wachache, wasifikiri wana akili kuzidi wengine wote.

Ni ukatili kuwafungia watu ndani, hiyo tabia iachiwe Serikali katili ya North Korea.

Passport ni haki ya Mtanzania. Hauhitaji kushawishi ndipo upewe. Cha msingi ni kukidhi tu vigezo, na vigezo pekee ni kuthibitishwa kuwa wewe ni Mtanzania.

Zaidi ya hapo, kitakachokuwa kikitafutwa ni wewe ukubali kutumia mbinu ya ziada, yaani, kushawishi kwa kutumia hela.

Passport ni sh 150,000/=. Lakini ukienda na sh 300,000/=, wala hutahangaika, utasaidwa na mambo mengine yatakayohitajika.

Ushawishi kama huo unafanyika sana. Ndiyo maana inasemekana kuna watu wengi wasio raia wa Tanzania wanaotumia passport ya Tanzania. Unafikiri wamepataje? Wameshawishi, si kwa maneno matupu, kwa hela.

Nafahamu sana kuwa huo ushawishi unatumika sana. Na ndiyo maana Uhamiaji wamekomaa kutokuondoa hicho kipengele. Kikiondolewa, hakutakuwepo tena na watu wa kuwashawishi. Kukiondoa hicho kipengele ni kuwakosesha "chakula" watumishi wasio waaminifu.
Ila mkuu huwa najiuliza sana kama Airports huwa wanatunza fingerprints za watu wakati wanapita? Kwasababu inakuwaje mtu anakuwa na passport zaidi ya moja na hashtukiwi anasafiri tu?
 
Unadhani kwanini sasa SKILLED PEOPLE ANAKUJA NAO?
Swali lako halijakaa sawa. Ninalotaka kusema ni kwamba, nchi ikiwa na Wasomi wengi ni miongoni mwa vivutio vya uwekezaji nchini, Kama Wasomi wako unawaacha waende nchi zingine, wawekezaji wengi hawatopenda kuja kuwekeza kwasababu atakosa watu wa kufanya kazi zake, haiwezikani muwekezaji kuja na wafanyakazi 200 toka nchini kwake
 
Kama walisomeshwa na serikali, lengo halikuwa wao kwenda kufanya kazi huko Botswana, lengo ni Ili watumike hapa nchini.

Kwa msomi yeyote hapa Afrika, hasa hayo masomo ya udaktari, 98% wamesoma kwa pesa ya serikali, anapofanyakazi hapa nchini, yeye binafsi anafaidika na serikali inafaidika kwa kupata Kodi na kupata utaalamu wake ambao serikali ingelazimika kuupata kwa gharama kubwa kutoka kwa raia wa kigeni kuja kufanya kazi nchini.

Kwa huyo daktari kwenda kufanya kazi Botswana, yeye anapata faida na Kodi zote na utaalamu unachukuliwa na serikali ya Botswana, nchi yetu pamoja na kutumia pesa nyingi lakini haipati kitu.
Tungejaribu kutafuta kwanini wanakimbilia huko..!?

Kuna wengine walishawishiwa warudi nyumbani, lakini kilichowakuta sijui kama kuna atakayekubali tena kurudi nyumbani... Si unamkumbuka yule wa TIC, au Tido Mhando ..!? Au hata Dr. Mwele?

Tatizo serikali yetu inajithamini yeyewe tu when it comes to mapato

Haya niambie, Tanzania hatuna watu wa nje wanaofanya kazi kwetu?? Vipi wao kodi zao wanalipa kwao au kwetu? Hali ipo hivi, wenzako wanao wakwako na wewe unao wa wenzio
 
Tatizo ni pale wanapotumia pesa ya serikali Kisha wanatoroka, Sasa vipi unataka serikali ijitathimini?.

Hivi wewe ukimsomesha msichana kwa lengo la kuja kumuoa aje kuwa mkeo na mlikubalian hivyo,lakini mara tu baada ya kumaliza chuo, akamuona jamaa anaishi maisha mazuri kukuzidi wewe akaamua kuachana na wewe na kwenda kuolewa na huyo jamaa mwengine, tatizo liko kwako au kwa huyo msichana?
 
Sijasema kupeleka wasomi. Nimesema nafasi za ajira in general. Leo kuna mtz rafiki yangu kapata kazi ya ass lecturer US penye wasomi wote.
Ninyi kama mnalimiti wasomi mmedhibiti brain drain why bado Kenya inawazidi uchumi pamoja na numerical na resource advantage?
Mnatuzidi uchumi yet u can't afford basic necessities like food security! GoK can't afford paying salaries! Wewe ni mpumbavu hamna kitu mnatuzidi zaidi ya ku-cook data!
 
Kwani safari inaaga. Mbona leseni mnapewa bila magari. Wtz wengi mna backward thinking.
Ni kweli leseni ya udereva mtu anapewa hana gari anakuwa nayo mfukoni ikisubiri fursa au kuwa one day atapata gariau lazi ya udereva

Na passport inatakiwa hivyo sio kuwa lazima mtu awe na safari
 
Back
Top Bottom