joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Kwa nchi za jirani, unaweza kupata karatasi kutoka kwa serikali yako ya mtaa inayokuruhusu kusafiri, ila mkuu duniani kote mambo sio rahisi Kama unavyotaka wewe, unataka urahisi kwa upande wako bila kujali ugumu wanaopata upande wa pili/serikali."Jasho jingi wakati wa mazoezi, damu kidogo wakati wa vita"
Kuna dharura zisizoweza kusubiria uanze mchakato wa kutafuta passport.
Ukiwa nayo tayari tayari, inakurahisishia na kukuepusha na usumbufu.
Fikiria, kwa mfano, mtu anaishi Bukoba, na "Jioni" akapata taarifa kuwa "kesho" atahitajika Kampala, unafikiri ataweza kufanikisha hiyo safari? Kama hana passport, siyo rahisi.
Hukuwa na nia tu ya hiyo kazi, kama una Nia na lako jambo ni lazima utalifanikisha, Yani Barua tu ya mualiko ndio inakutisha hivyo, hiyo ni kitu ya kujiandikia wewe mwenyewe kama hujui nenda hata Stationary baada ya hapo tafuta copy yeyote ya passport ya mtu then unaambatanisha na hiyo Barua ya mualiko (ambayo umejiandikia mwenyewe) ambapo ukifika immigration unawapanga kwamba Barua imetoka kwa huyo mwenyeji wako wa mchongo, watakuhoji maswali kadhaa ambayo yanajibika baada ya hapo unasubiria passport yakoKuna mawili, ama "hadhi" yako ilikubeba, au kuna namna ulifanya tofauti na wengine. Uhamiaji hawataiprocess passport usipojibu hicho kipengele cha DHUMUNI LA SAFARI.
Mwaka 2013 niliichukua form Dar Es Salaam, lakini niliishia kwenda kuitunza ndani.
Nilikwama mambo mawili: BARUA YA MWALIKO YA KUTOKA NILIKOTAKA KWENDA pamoja na TIKETI YA NDEGE. Lakini mimi sikuwa nimepanga kusafiri kwa wakati huo, bali niliihitaji kwa ajili ya siku za mbeleni.
Mwanzoni mwa mwaka 2017, rafiki yangu aliyekuwa akifanya kazi nje, alinipa taarifa ya kuwepo kwa nafasi ya kazi huko alikokuwa, ambayo ilihitaji kujazwa haraka sana.
Hakuna lililowezekana. Sikuwa na passport.
Kusema ukweli kamwe, hakumfanyi mtu mwenye ufahamu wenye afya ajione mnyonge. Watu wanavyopiga kelele humu kwa sababu ya urasimu uliopo UHAMIAJI, si kwa ajili ya manufaa yao binafsi, la hasha. Wanaongea kwa niaba ya wengi "wanaoumizwa" na huo mfumo lakini hawawezi kusema na wala hawajui pa kusemea.Yaani basi tu alimradi ajione mnyonge na kujidharau.🤣
Mkuu, unaposema ni jambo la wengi, unamaanisha wengi kiasi gani?. Mkuu mambo duniani hayapo hivyo, Japan, Canada na Germany hivi Sasa wanahitaji idadi kubwa ya watu kwenda kufanya kazi katika nchi zao kutokana na upungufu wa vijana, pamoja na tatizo kubwa walilonalo, lakini kupata viza za nchi zao ni nguma Sana, kwanini wasifungue mipaka Kila mtu anayependa aende kufanya kazi?Kusema ukweli kamwe, hakumfanyi mtu mwenye ufahamu wenye afya ajione mnyonge. Watu wanavyopiga kelele humu kwa sababu ya urasimu uliopo UHAMIAJI, si kwa ajili ya manufaa yao binafsi, la hasha. Wanaongea kwa niaba ya wengi "wanaoumizwa" na huo mfumo lakini hawawezi kusema na wala hawajui pa kusemea.
Kulipigia kelele jambo lenye maslahi kwa wengi kamwe siyo kujiona mnyonge wala kujidharua, bali ni ishara ya mtu aliyejikubali na anayetanguliza mbele maslahi ya wengi.
Kiongozi, kwa mtu mwenye akili zake timamu, hawezi tu kunyanyuka na kupanda usafiri bila lengo, lazima awe na sababu inayomfanya aamue kuingia gharama husika ili afike anakotaka. Kutimiza lengo lake ndiyo muhimu, hata kama hilo lengo halina manufaa kwa wengine. Cha msingi tu, isiwe kinyume cha Sheria.Mkuu, hivi utajiri unapatikana kwa kusafiri "aimlessly?". Sera ya nchi yetu ni kutoa passport kwa mtu mwenye sababu za msingi za kutaka kusafiri, ukiwa na sababu za kusafiri ndio unapewa passport.
Mkuu jaribu kufika CapeTown pale "Freedom square" uone jinsi watanzania wanavyoidhalilisha Tanzania, hutaki hata ujulikane Kama wewe ni mtanzania ukifika pale, wale jamaa wengi hawana passport, au walizipata kwa njia haramu.
Developed nations wao wanafanya aje?Kwa mtu binafsi ni ID ila kwa serikali Kuna mambo mengi sana, Kumbuka raia akiwa nje ya nchi serikali inapoteza udhibiti juu yake lakini bado serikali Ina wajibu wa kumlinda Kama ilivyotokea Sudan.
Sudan kulikua na raia wa USA zaidi ya 13,000, pamoja na nguvu za kiuchumi za USA lakini hadi Leo haijaweza kuwasaidia wote, bado wanapambana kuwaondoa.
Raia anapokua nje ya nchi anakua anawakilisha nchi yake, angalia nchi ya Nigeria ilivyoharibu mahusiano yake ya kidiplomasia na nchi zingine duniani kwasababu tu ya tabia ya raia toka Nigeria wanavyojihusisha na vitendo haramu, nchi nyingi hivi Sasa hazitoi visa kwa raia toka Nigeria.
Kiongozi, unaposema "unaweza kupata karatasi kutoka kwa Serikali yako ya mtaa...", unamaanisha nini hasa? Karatasi ya kuvukia mpaka wa nchi au ya kwenda kuombea kibali cha safari UHAMIAJI? Naomba upambanue ulichomaanisha hasa.Kwa nchi za jirani, unaweza kupata karatasi kutoka kwa serikali yako ya mtaa inayokuruhusu kusafiri, ila mkuu duniani kote mambo sio rahisi Kama unavyotaka wewe, unataka urahisi kwa upande wako bila kujali ugumu wanaopata upande wa pili/serikali.
Kenya unachohitaji ukiomba passport ni kitambulisho cha NIDA na cheti chako cha kuzaliwaKwa Tanzania, sharti uwe na safari ndiyo utapewa pasi ya kusafiria(passport).
Utaratibu ukoje Kenya?
Mkuu, unajua wazi kwamba Africa nzina vijana hawana kazi, wengi wanajaribu kukimbia nchi zao vyovyote vile Ili kujaribu maisha nchi za nje, nadhani unajua kuhusu idadi kubwa ya watu wanakufa wakijaribu kuvuka kupitia nchi za Kaskazini me Afrika kuingia Ulaya. Hawa ni raia ambao hawana sababu zinazokubalika ki nchi na kidunia, hivyo wanavunja Sheria za nchi, japo wao wenyewe kwao wanaona ni sababu za msingi.Kiongozi, kwa mtu mwenye akili zake timamu, hawezi tu kunyanyuka na kupanda usafiri bila lengo, lazima awe na sababu inayomfanya aamue kuingia gharama husika ili afike anakotaka. Kutimiza lengo lake ndiyo muhimu, hata kama hilo lengo halina manufaa kwa wengine. Cha msingi tu, isiwe kinyume cha Sheria.
Sijajua kwa habari ya Watanzania waliopo FREEDOM SQUARE, CAPE TOWN. Bado sijafanikiwa kutia mguu S. A.
Lakini pengine walienda huko kwa kupitia mlango wa nyuma kwa sababu ya kutokuwa na passport. Urasimu wa passport ukipunguzwa, watu wa aina hiyo wataisha au kupungua. Kwa nini mtu asafiri kiwizi wizi kama anaweza kusafiri kihalali?
Na ikitokea mtu amesafiri bila passport, hata kujiamini kwake kunapungua. Atakuwa akiishi kama muhalifu. Kwa hiyo hata akipata tatizo ambalo angeweza kusaidiwa, labda na Serikali, hataweza kujitokeza. Ataanzaje kwenda kutoa taarifa wakati anajua yeye ni mualifu?
KWa hivyo ukiwepo tu nchini ndiyo unakuwa na uhakika wa maisha?Mkuu, hivi utajiri unapatikana kwa kusafiri "aimlessly?". Sera ya nchi yetu ni kutoa passport kwa mtu mwenye sababu za msingi za kutaka kusafiri, ukiwa na sababu za kusafiri ndio unapewa passport.
Mkuu jaribu kufika CapeTown pale "Freedom square" uone jinsi watanzania wanavyoidhalilisha Tanzania, hutaki hata ujulikane Kama wewe ni mtanzania ukifika pale, wale jamaa wengi hawana passport, au walizipata kwa njia haramu.
Kwamfano unataka kwenda Kenya, au Uganda na umepata dharura ya siku 3, nenda katika ofisi yako ya kata, peleka picha Moja, watakuandikia barua na kubandika picha yako, watapiga mhuri, hiyo inatosha. Mbona kina mama wengi wenye kufanya biashara za mipakani hawana passport wanatumia hizo barua, wanaita vibali vya muda.Kiongozi, unaposema "unaweza kupata karatasi kutoka kwa Serikali yako ya mtaa...", unamaanisha nini hasa? Karatasi ya kuvukia mpaka wa nchi au ya kwenda kuombea kibali cha safari UHAMIAJI? Naomba upambanue ulichomaanisha hasa.
Uhamiaji hata uwaambie hawasikii wameziba masikio.wanasubiri kila kitu Raisi aingilie katiKuna mawili, ama "hadhi" yako ilikubeba, au kuna namna ulifanya tofauti na wengine. Uhamiaji hawataiprocess passport usipojibu hicho kipengele cha DHUMUNI LA SAFARI.
Mwaka 2013 niliichukua form Dar Es Salaam, lakini niliishia kwenda kuitunza ndani.
Nilikwama mambo mawili: BARUA YA MWALIKO YA KUTOKA NILIKOTAKA KWENDA pamoja na TIKETI YA NDEGE. Lakini mimi sikuwa nimepanga kusafiri kwa wakati huo, bali niliihitaji kwa ajili ya siku za mbeleni.
Mwanzoni mwa mwaka 2017, rafiki yangu aliyekuwa akifanya kazi nje, alinipa taarifa ya kuwepo kwa nafasi ya kazi huko alikokuwa, ambayo ilihitaji kujazwa haraka sana.
Hakuna lililowezekana. Sikuwa na passport.
Joto la jiwe, nimekusoma mkuu. Unachokizungumzia hapo ni kile wanachokiita UJIRANI MWEMA. Kwa wakazi wanaoishi mipakani, ruksa kwenda kupata huduma upande wa pili wa nchi jirani, lakini ni kwa maeneo ya mipakani tu. Hawaruhusiwi kwenda ndani sana. Hilo linafahamika. Japo sipo jirani na Uganda, lakini mwaka huu nilipoenda Bukoba, nilienda hadi Mutukula Uganda, lakini sikwenda ndani sana. Nilitaka niende hadi Kampala lakini ilishindikana, na hata nilipoenda idara ya UHAMIAJI upande wa Tanzania kuomba usaidizi, nilitakiwa niwe na BIRTH CERTIFICATE yangu na ya mzazi wangu, barua ya AFISA MTENDAJI WA KATA(siyo ya MWENYEKITI WA KIJIJI WALA KITONGOJI AU MTAA, HIZO HAZITAMBULIKI UHAMIAJI), NA SH 20,000. Kama ningewapa hizo nyaraka, ndiyo wangeniandalia TRAVEL DOCUMENT, ambayo ni one way traffic. Ikishatumika mara moja, MATUMIZI yake yanakuwa yameisha.Kwamfano unataka kwenda Kenya, au Uganda na umepata dharura ya siku 3, nenda katika ofisi yako ya kata, peleka picha Moja, watakuandikia barua na kubandika picha yako, watapiga mhuri, hiyo inatosha. Mbona kina mama wengi wenye kufanya biashara za mipakani hawana passport wanatumia hizo barua, wanaita vibali vya muda.
Kuwa na passport hakuwezi kumfanya mtu mwema kuwa mwovu, na kutokuwa na passport hakuwezi kumzuia mwovu kufanya uhalifu.Mbona hasira Sana?, wewe Kama unasafari nje ya nchi kwa lengo jema na la msingi, nenda uhamiaji ujieleze utapewa, au unataka Kila mtu apewe passport Ili waende wakajiunge na vikundi vya ugaidi huko Somalia, Nigeria, Msumbiji na Afghanistan?
Siyo jukumu la Serikali kudhibiti raia wake aliye nchi nyingine. Huyo mtu akiwa na shida, yeye ndiye anayepaswa kuripoti ubalozini, siyo Serikali yake.Kwa mtu binafsi ni ID ila kwa serikali Kuna mambo mengi sana, Kumbuka raia akiwa nje ya nchi serikali inapoteza udhibiti juu yake lakini bado serikali Ina wajibu wa kumlinda Kama ilivyotokea Sudan.
Sudan kulikua na raia wa USA zaidi ya 13,000, pamoja na nguvu za kiuchumi za USA lakini hadi Leo haijaweza kuwasaidia wote, bado wanapambana kuwaondoa.
Raia anapokua nje ya nchi anakua anawakilisha nchi yake, angalia nchi ya Nigeria ilivyoharibu mahusiano yake ya kidiplomasia na nchi zingine duniani kwasababu tu ya tabia ya raia toka Nigeria wanavyojihusisha na vitendo haramu, nchi nyingi hivi Sasa hazitoi visa kwa raia toka Nigeria.
Una uhakika, nenda keny mtz kama utaishi bila kukamatwa, ila tz tunaishi na hadi wachina wana tanzania citize shipNdio sababu Kenya is ranked poorly on security, Globally Tanzania is ranked position 54, while Kenya 125.
Kama unataka kufahamu kuwa ni wengi, ingia Jamii Forum utafute mada zinazohusiana na PASSPORT uone malalamiko yalivyo mengi.Mkuu, unaposema ni jambo la wengi, unamaanisha wengi kiasi gani?. Mkuu mambo duniani hayapo hivyo, Japan, Canada na Germany hivi Sasa wanahitaji idadi kubwa ya watu kwenda kufanya kazi katika nchi zao kutokana na upungufu wa vijana, pamoja na tatizo kubwa walilonalo, lakini kupata viza za nchi zao ni nguma Sana, kwanini wasifungue mipaka Kila mtu anayependa aende kufanya kazi?
Utakuwa ulidanganya pahala, au umepita njia zisizo rasmi, au una ndugu huko..!!Mbona me I applied mine wakati sina mpango wa kusafiri mazee.
Kwani mchina kuwa raia wa Tanzania kwa kuukana uchina wake haiwezekani? Haya wahindi ambao hadi leo wengine washawahi kuwa wabunge, sijui madiwani etc ilikuwaje wakawa raia wa Tanzania na wakati haikuwa hivyo hapo mwanzo?Una uhakika, nenda keny mtz kama utaishi bila kukamatwa, ila tz tunaishi na hadi wachina wana tanzania citize ship