1)Kama ingekua ni kupinga uchaguzi, tungeandamana punde tu aliposhinda, kwasas ye ndo rais kidemocrasia, hapa watu wanapinga sera za trump kwa mambo yanayohusu dunia, sera kama women rights, global warming....dunia inasonga mbele kama global village, sera za trump kama kiongozi wa most powerful nation zinaregesha dunia nyuma...
2) Hivi karibuni, trump na china zitaanza trade wars, nchi nyingi sana maskini zinazotegemea FDI zitapoteza uwekezaji na ajira..
3)Trump akifutilia mbali ile dili ya nuclear na Iran, russia na USA na nchi zengine za m.east zitaanza proxy wars ama mapinduzi ya serikali za m.east, mwishowe Iran itaanza tena mpango wa kuwa na nuclear, hapo USA itachukua military action, Russia itataka kulipiza kisasi, alafu hapo ndo utaona vile dunia itachafuka....
4)Marekani ndo champion mkubwa zaidi kwa kuendeleza haki za wanawake, sasa vile trump ameingi, hayo yote yataisha, nchi zenye bado zina sera za kinyume za wanawake zitabaki kutesa wanawake...
5) Soma hapa vile Africa ndo itachafuliwa zaidi kimazingira kama nchi tajiri kama kina marekani hazitajirekebisha kuchafua mazingira... Akina marekani na china ndo wanachafua zaidi, lakini wako na hela za kujikinga na madhara hayo, sis waafrika inasemekana tutahitaji USD 50 Billion!!!! kila mwaka ili kujikinga na hayo madhara, kwasasa africa nzima haiwezi hata kuchanga USD 500Million kila mwaka kwa bajeti ya AU, inabidi akina EU ,China na USA ndo wanalipa bajeti kubwa zaidi AU ili ishughulikia maslahi ya waafrika..
tukifika huku ndo watoto wako watakua wanauma meno wakishangaa ni vipi haya yote yalifanyika na we ulikua hapa JF ukichekacheka
http://www.unep.org/newscentre/Default.aspx?DocumentID=26788&ArticleID=34788
Africa's looming climate crisis
Africa is the continent where a rapidly changing climate is expected to deviate earlier than across any other continent from "normal" changes, making adaptation a matter of urgency, the report says.
Warming projections under medium scenarios indicate that extensive areas of Africa will exceed 2°C by the last two decades of this century relative to the late 20th century mean annual temperature. Under a high warming pathway, temperatures could exceed 2°C by mid-century across much of Africa and reach between 3°C and 6°C by the end of the century. This would have a severe impact on agricultural production, food security, human health and water availability.
In a 4˚C world, projections for Africa suggest sea levels could rise faster than the global average and reach 80cm above current levels by 2100 along the Indian and Atlantic Ocean coastlines,
with particularly high numbers of people at risk to flooding in the coastal cities of Mozambique,
Tanzania, Cameroon, Egypt, Senegal and Morocco.
"This is not just a question of money; millions of people and their livelihoods are at stake," said Binilith Mahenge, President of AMCEN and Tanzania's Minister of State for Environment. "Africa's population will be at an increasing risk of undernourishment due to increasing food demand and the detrimental effects of climate change on agriculture on the continent. Global warming of 2˚C would put over 50 per cent of the African continent's population at risk of undernourishment. Yet, the IPCC showed that without additional mitigation we are heading to 4˚C of warming."
"Rising to the challenge and addressing the systemic harm that climate change may cause in Africa, thus undermining the post-2015 sustainable development agenda, warrants leaving no stone unturned in exploring opportunities for supporting adaptation actions and measures in Africa," he added