Wakenya waandamana Nairobi kumpinga Trump, washambuliwa mitandaoni kwa kuingilia yasiyowahusu

1)Kama ingekua ni kupinga uchaguzi, tungeandamana punde tu aliposhinda, kwasas ye ndo rais kidemocrasia, hapa watu wanapinga sera za trump kwa mambo yanayohusu dunia, sera kama women rights, global warming....dunia inasonga mbele kama global village, sera za trump kama kiongozi wa most powerful nation zinaregesha dunia nyuma...

2) Hivi karibuni, trump na china zitaanza trade wars, nchi nyingi sana maskini zinazotegemea FDI zitapoteza uwekezaji na ajira..

3)Trump akifutilia mbali ile dili ya nuclear na Iran, russia na USA na nchi zengine za m.east zitaanza proxy wars ama mapinduzi ya serikali za m.east, mwishowe Iran itaanza tena mpango wa kuwa na nuclear, hapo USA itachukua military action, Russia itataka kulipiza kisasi, alafu hapo ndo utaona vile dunia itachafuka....

4)Marekani ndo champion mkubwa zaidi kwa kuendeleza haki za wanawake, sasa vile trump ameingi, hayo yote yataisha, nchi zenye bado zina sera za kinyume za wanawake zitabaki kutesa wanawake...

5) Soma hapa vile Africa ndo itachafuliwa zaidi kimazingira kama nchi tajiri kama kina marekani hazitajirekebisha kuchafua mazingira... Akina marekani na china ndo wanachafua zaidi, lakini wako na hela za kujikinga na madhara hayo, sis waafrika inasemekana tutahitaji on USD 50 kila mwaka ili kujikinga na hayo madhara, kwasasa africa nzima haiwezi hata kuchanga USD 500Million kila mwaka kwa bajeti ya AU, inabidi akina EU ,China na USA ndo wanalipa bajeti kubwa zaidi AU ili ishughulikia maslahi ya waafrika..

tukifika huku ndo watoto wako watakua wanauma meno wakishangaa ni vipi haya yote yalifanyika na we ulikua hapa JF ukichekacheka
http://www.unep.org/newscentre/Default.aspx?DocumentID=26788&ArticleID=34788
Africa's looming climate crisis

Africa is the continent where a rapidly changing climate is expected to deviate earlier than across any other continent from "normal" changes, making adaptation a matter of urgency, the report says.

Warming projections under medium scenarios indicate that extensive areas of Africa will exceed 2°C by the last two decades of this century relative to the late 20th century mean annual temperature. Under a high warming pathway, temperatures could exceed 2°C by mid-century across much of Africa and reach between 3°C and 6°C by the end of the century. This would have a severe impact on agricultural production, food security, human health and water availability.

In a 4˚C world, projections for Africa suggest sea levels could rise faster than the global average and reach 80cm above current levels by 2100 along the Indian and Atlantic Ocean coastlines, with particularly high numbers of people at risk to flooding in the coastal cities of Mozambique, Tanzania, Cameroon, Egypt, Senegal and Morocco.

"This is not just a question of money; millions of people and their livelihoods are at stake," said Binilith Mahenge, President of AMCEN and Tanzania's Minister of State for Environment. "Africa's population will be at an increasing risk of undernourishment due to increasing food demand and the detrimental effects of climate change on agriculture on the continent. Global warming of 2˚C would put over 50 per cent of the African continent's population at risk of undernourishment. Yet, the IPCC showed that without additional mitigation we are heading to 4˚C of warming."

"Rising to the challenge and addressing the systemic harm that climate change may cause in Africa, thus undermining the post-2015 sustainable development agenda, warrants leaving no stone unturned in exploring opportunities for supporting adaptation actions and measures in Africa," he added
Maelezo mareefu unaandika pumba tu. Africa must be independent continent. Nyie wakenya mnatuchelewesha na unafiki wenu. Akili za u puppet zimewaingia kichwani. Mnajifanya wqzungu huku ni weusi tiii mithili ya mkaa.
 
Nyie ni nyumbu hamjui kitu mnachoandamania hamjui pamoja na mambo mengine wanampinga Trump na kutetea ushoga na utoaji mimba.

Wakenya mashoga nyie msituletee ushoga wenu Africa Mashariki
Upumbavu wako kawaambukize washenzi wenzio huko kwenyu tz matopeni.
 
Wamlisha nani weye zumbekuku?....eti msituletee...ulimuona nani akibisha kwenye banda lako hapo matopeni?

kalb wahed!
 
Maelezo mareefu unaandika pumba tu. Africa must be independent continent. Nyie wakenya mnatuchelewesha na unafiki wenu. Akili za u puppet zimewaingia kichwani. Mnajifanya wqzungu huku ni weusi tiii mithili ya mkaa.
Haswaaaa, Africa must be independent, first sign of being independent is to call out anyone outside this continent who is threatening to impede the development of this continent... The countries like Tz that are keeping quiet while Trump is about to take Africa backwards, you are the puppets, keeping quite and smiling while the world is fleecing your raw materials to their industries, then the smoke from same industries brings more misery to your countrymen, while you bury you heads in your asses thinking the rest of the world does not affect you.
 
1)Kama ingekua ni kupinga uchaguzi, tungeandamana punde tu aliposhinda, kwasas ye ndo rais kidemocrasia, hapa watu wanapinga sera za trump kwa mambo yanayohusu dunia, sera kama women rights, global warming....dunia inasonga mbele kama global village, sera za trump kama kiongozi wa most powerful nation zinaregesha dunia nyuma...

2) Hivi karibuni, trump na china zitaanza trade wars, nchi nyingi sana maskini zinazotegemea FDI zitapoteza uwekezaji na ajira..

3)Trump akifutilia mbali ile dili ya nuclear na Iran, russia na USA na nchi zengine za m.east zitaanza proxy wars ama mapinduzi ya serikali za m.east, mwishowe Iran itaanza tena mpango wa kuwa na nuclear, hapo USA itachukua military action, Russia itataka kulipiza kisasi, alafu hapo ndo utaona vile dunia itachafuka....

4)Marekani ndo champion mkubwa zaidi kwa kuendeleza haki za wanawake, sasa vile trump ameingi, hayo yote yataisha, nchi zenye bado zina sera za kinyume za wanawake zitabaki kutesa wanawake...

5) Soma hapa vile Africa ndo itachafuliwa zaidi kimazingira kama nchi tajiri kama kina marekani hazitajirekebisha kuchafua mazingira... Akina marekani na china ndo wanachafua zaidi, lakini wako na hela za kujikinga na madhara hayo, sis waafrika inasemekana tutahitaji USD 50 Billion!!!! kila mwaka ili kujikinga na hayo madhara, kwasasa africa nzima haiwezi hata kuchanga USD 500Million kila mwaka kwa bajeti ya AU, inabidi akina EU ,China na USA ndo wanalipa bajeti kubwa zaidi AU ili ishughulikia maslahi ya waafrika..

tukifika huku ndo watoto wako watakua wanauma meno wakishangaa ni vipi haya yote yalifanyika na we ulikua hapa JF ukichekacheka
http://www.unep.org/newscentre/Default.aspx?DocumentID=26788&ArticleID=34788
Africa's looming climate crisis

Africa is the continent where a rapidly changing climate is expected to deviate earlier than across any other continent from "normal" changes, making adaptation a matter of urgency, the report says.

Warming projections under medium scenarios indicate that extensive areas of Africa will exceed 2°C by the last two decades of this century relative to the late 20th century mean annual temperature. Under a high warming pathway, temperatures could exceed 2°C by mid-century across much of Africa and reach between 3°C and 6°C by the end of the century. This would have a severe impact on agricultural production, food security, human health and water availability.

In a 4˚C world, projections for Africa suggest sea levels could rise faster than the global average and reach 80cm above current levels by 2100 along the Indian and Atlantic Ocean coastlines, with particularly high numbers of people at risk to flooding in the coastal cities of Mozambique, Tanzania, Cameroon, Egypt, Senegal and Morocco.

"This is not just a question of money; millions of people and their livelihoods are at stake," said Binilith Mahenge, President of AMCEN and Tanzania's Minister of State for Environment. "Africa's population will be at an increasing risk of undernourishment due to increasing food demand and the detrimental effects of climate change on agriculture on the continent. Global warming of 2˚C would put over 50 per cent of the African continent's population at risk of undernourishment. Yet, the IPCC showed that without additional mitigation we are heading to 4˚C of warming."

"Rising to the challenge and addressing the systemic harm that climate change may cause in Africa, thus undermining the post-2015 sustainable development agenda, warrants leaving no stone unturned in exploring opportunities for supporting adaptation actions and measures in Africa," he added

Umeeleza vizuri sana Kafrican ila miafrika ilivyo na mtindio wa akili haitakuelewa. Sidhani hata kama wamesoma ulichokisema, wanatiririka na zile pumba zao za kila siku.
 
Wamlisha nani weye zumbekuku?....eti msituletee...ulimuona nani akibisha kwenye banda lako hapo matopeni?

kalb wahed!
Gay.jpg
Mambo ya wakenya hayo shame shame mombasa ndio ngome ya ushoga duniani and it is in Kenya
 
Haswaaaa, Africa must be independent, first sign of being independent is to call out anyone outside this continent who is threatening to impede the development of this continent... The countries like Tz that are keeping quiet while Trump is about to take Africa backwards, you are the puppets, keeping quite and smiling while the world is fleecing your raw materials to their industries, then the smoke from same industries brings more misery to your countrymen, while you bury you heads in your asses thinking the rest of the world does not affect you.
Hovyo kweli. Trump hana muda na ki nchi chenu hicho. Yeye ana sera za nchi yake na atafanya kwa maslahi ya nchi yake.
Sasa nyie madomo kuvimba yanawahusu nini ya marekani? Ya kwenu kwenye nchi yenu yamewashida. Huu ni ujinga kiwango kikubwa.

Kwani hamkuandamana tatizo la burundi? Kwanini hamkuandama tatizo la Gambia? Huu ni unafiki na ushenzi wa kujifanya westerners huku mkitumiwa na wazungu kukamilisha mipango yao hapa Africa.

Mnapelekwa pelekwa na wazungu kama kondoo. Kwanini msijisimamie kama nchi? Mambo ya America na Kenya wapi na wapi? Je, wakianza kuingilia sera zenu mtakaa kimya? Kwanini uingilie sera za rais wa marekani wakati kachaguliwa na wamarekani kwa faida yao?

Huu ni upimbi kiwango kikubwa.
 
Gay.jpg
Mambo ya wakenya hayo shame shame mombasa ndio ngome ya ushoga duniani and it is in Kenya

Hawajawashinda nyie wacheza taarabu, huu mchezo ulianza na waarabu na nyinyi mkiwa watumwa pamoja na mahabusu wa waarabu waliowatawala tena ndivyo mlivyo banduliwa na mnavyoendelewa kugeuzwa nao...mmetukuka kwa hili.
Tunawajua nje ndani!
 
Wewe kichwani ni mweupe. Wewe ni empty head.
 
Sasa hayo ni ya Tanzania hayawahusu. Sisi wala hatunaga mpango na issue za kipuuzi.

Ni nchi ipi socialist inafanya mambo ya kipuuzi hivyo!!?.
Nyie ni kenya na sisi ni Tanzania. Ni nchi mbili tofauti kabisa na ideologies tofauti. Sisi tunajenga nchi yetu. Mambo ya nchi nyingine hayatuhusu. Sera zetu za nje ni kumaliza migogoro kwa mazungumzo.
Kama sera zenu za ushoga ni zenu huko na nchi yenu ya kenya. Hayatuhusu sisi. Na hamuwezi mkaamlia watanzania au wamarekani kipi cha kufanya. Nyie endeleeni kufa na njaa huku madaktari wakigoma na mnashindwa kuandamana.
Annael the Hypocrite

After umesema ya watanzania hayatuhusu, sijui nyinyi na sisi ni nchi tofauti na tuko na ideologies tofauti, Mambo ya nchi nyengine hayawahusu...........blah blah nyingi hatutaki kusikia!
inakuaje watanzania mmejazana kwa hio article na hapa kwa??? we mwenyewe umespend the last hour all up in our bussiness??? mind you own damn business, what Kenyans do with their lives, intelect, energy,freedom,rights is non of your concern
 
Mnatuaibisha Africa. Hizi akili zenu za kitumwa lazima tuwaambie maana nyie ni jirani zetu. Ni lazima mbadilike. Acheni u puppet.
 
Nikicheki kule nyuma headline ilisema "Kenyan News"
Mbona Bongo mwawashwa sana u just can't keep off!
It's like stalking your media tool available.
ex on every soci
 
Hovyo kweli. Trump hana muda na ki nchi chenu hicho. Yeye ana sera za nchi yake na atafanya kwa maslahi ya nchi yake.
Sasa nyie madomo kuvimba yanawahusu nini ya marekani? Ya kwenu kwenye nchi yenu yamewashida. Huu ni ujinga kiwango kikubwa.

Kwani hamkuandamana tatizo la burundi? Kwanini hamkuandama tatizo la Gambia? Huu ni unafiki na ushenzi wa kujifanya westerners huku mkitumiwa na wazungu kukamilisha mipango yao hapa Africa.

Mnapelekwa pelekwa na wazungu kama kondoo. Kwanini msijisimamie kama nchi? Mambo ya America na Kenya wapi na wapi? Je, wakianza kuingilia sera zenu mtakaa kimya? Kwanini uingilie sera za rais wa marekani wakati kachaguliwa na wamarekani kwa faida yao?

Huu ni upimbi kiwango kikubwa.
Ohhh, nakuonea huruma sana, watanzania kwa democrasia bado mko nyuma sana...

You really don't know kenya and Kenyans do you??? mwanzo uanfaa uelewe umuhimu wa maandamano.

1) Maandamanosana sana huanzishwa na watu, its a people led movement, wananchi wako na haki ya kuandamana kwa lolote lile, bora waambie polisi, kwahivyo hapa ukiona wakenya wenye fikiria sawa wanakusanyika ukue unaelewa, Yafanyikayo marekani yanatuhusu, nafikiri nimeshaeleza, hatuwezi kumlazimisha trump kufanya lolote, lakini kwa democrasia, maandamano hutumika kushawishi au kujulisha kwamba hizo ndo fikra zetu, na tuna haki na yhuru wakuambia rais wa warekani fikra na maoni yetu... hatujamlazimisha trump ayaskie, sis tunamjulisha regardless..

2) Maandamano hufanywa na wananchi, pale serikali zao au zengine hazijachukua hatua, yani hua ni kama last resort kiaina. maandamano hutumika ku pressure serikali au kampuni..etc... Utapata wakenya wengi wanaongelea gambia itandaoni lakini maandamano hayakufanyika kwasababu ECOWAS na AU ilichukua hatua mbio mbio, bado mediation inaendelea na tayari yule ex-prez ametishiwa kuondolewa kivita akikataa kung'atuka.... hakuna haja ya maaandamano kama pressure tayari iko....

Wakenya huandamana kusema maoni yao kwa mambo mengi sana, kutokea Edgypt uprising, Tunisia, Palestine, syria... DRC, and ofcourse Burundi.... this are people led protest or vigils to champion for human rights across Africa and the world, kwahivyo usifikiri this is our first rodio...

Hizi hapa za burundi..... ukitaka naeza nikakuletea zengina za palestine,egypt..etc zilizofanywa hapa kenya..

Tafuta [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG] kwa twitter, utaona picha zaidi za wakenya wakiandamana for burundi

Maandamano pamoja na night vigil ilifanyika kuanzia saa sita mchana hadi saa sita usiku ndani ya nairobi
boniface mwangi night vigil.jpg

1476723335270.jpg
Burundi-protest.jpg
CWfsw9EUkAAd4ok.jpg
CWhcLpfWoAAaSc-.jpg
CWkdJstWsAAjiVi.jpg

REGIONAL PERSPECTIVES: Kenyans protest against violence in Burundi – [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG] – Ominde's Words

Even as the AU announced that it will not allow “another genocide” with strong indications that a peace keeping force will be sent to quell the violence in Burundi, Kenyans took to the streets to protest against the “state sponsored” currently being witnessed in Burundi.

White Friday

Rallying each other on social networks such as Facebook and Twitter using the the hashtag [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG], a group of young Kenyans walked from the iconic Tom Moboya statute in the heart of Nairobi to the Burundian High Commission.
 
Attachments

  • CWgoOSDWIAAvC5_.jpg
    CWgoOSDWIAAvC5_.jpg
    39.3 KB · Views: 63
Wizi WAO
Kujisifia na vitu maarufu/utalii WAO
Kusingizia majina ya watu maarufu WAO
Hadi kaundama kumpiga Rais wa Marekani WAMO TU

Mugabe hakukosea
 
Kafrican sijakataa kuwa madhara yatatokea lkn leo hii unaposema unapinga ,ulikuwepo wapi tokea kipindi anateuliwa na republican na akawa ananadi sera zake kwanin maandanano yasingeanzia kipind hicho badala yake unasubir cku ya kuapishwa kwake??
 
Ohhh, nakuonea huruma sana, watanzania kwa democrasia bado mko nyuma sana...

You really don't know kenya and Kenyans do you??? mwanzo uanfaa uelewe umuhimu wa maandamano.

1) Maandamanosana sana huanzishwa na watu, its a people led movement, wananchi wako na haki ya kuandamana kwa lolote lile, bora waambie polisi, kwahivyo hapa ukiona wakenya wenye fikiria sawa wanakusanyika ukue unaelewa, Yafanyikayo marekani yanatuhusu, nafikiri nimeshaeleza, hatuwezi kumlazimisha trump kufanya lolote, lakini kwa democrasia, maandamano hutumika kushawishi au kujulisha kwamba hizo ndo fikra zetu, na tuna haki na yhuru wakuambia rais wa warekani fikra na maoni yetu... hatujamlazimisha trump ayaskie, sis tunamjulisha regardless..

2) Maandamano hufanywa na wananchi, pale serikali zao au zengine hazijachukua hatua, yani hua ni kama last resort kiaina. maandamano hutumika ku pressure serikali au kampuni..etc... Utapata wakenya wengi wanaongelea gambia itandaoni lakini maandamano hayakufanyika kwasababu ECOWAS na AU ilichukua hatua mbio mbio, bado mediation inaendelea na tayari yule ex-prez ametishiwa kuondolewa kivita akikataa kung'atuka.... hakuna haja ya maaandamano kama pressure tayari iko....

Wakenya huandamana kusema maoni yao kwa mambo mengi sana, kutokea Edgypt uprising, Tunisia, Palestine, syria... DRC, and ofcourse Burundi.... this are people led protest or vigils to champion for human rights across Africa and the world, kwahivyo usifikiri this is our first rodio...

Hizi hapa za burundi..... ukitaka naeza nikakuletea zengina za palestine,egypt..etc zilizofanywa hapa kenya..

Tafuta [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG] kwa twitter, utaona picha zaidi za wakenya wakiandamana for burundi

Maandamano pamoja na night vigil ilifanyika kuanzia saa sita mchana hadi saa sita usiku ndani ya nairobi
View attachment 462617
View attachment 462602 View attachment 462603 View attachment 462605 View attachment 462606 View attachment 462607 View attachment 462608

REGIONAL PERSPECTIVES: Kenyans protest against violence in Burundi – [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG] – Ominde's Words

Even as the AU announced that it will not allow “another genocide” with strong indications that a peace keeping force will be sent to quell the violence in Burundi, Kenyans took to the streets to protest against the “state sponsored” currently being witnessed in Burundi.

White Friday

Rallying each other on social networks such as Facebook and Twitter using the the hashtag [HASHTAG]#WhiteFriday4Burundi[/HASHTAG], a group of young Kenyans walked from the iconic Tom Moboya statute in the heart of Nairobi to the Burundian High Commission.
Huo ni upungufu wa akili na ujinga. Kuandamana ndio democrasia!!? Kuandamana kwaajili ya marekani ndio demokrasia!!!?
Huu ni ushenzi wa wachache Africa wanaotumiwa na wazungu.

Angalia hapa. Tangu uhuru tupo na presidents 5.
Nyie mpo na 4.
Kati ya TZ na kenya ipi ya kidemokrasia?
Nyie kwenye uchaguzi mpaka mchinjane Gikuyu na luo. Huo ni ujinga.
 
Nasi pia tukiandamana hayawahusu washenzi nyie!
Hatujaandamana ndani ya Tanganyika, mna uhuru wenyu kuandamana.
Nilitegemea Wamarekani kutukaripia au kukereka sio nyie..okay?
Ni sisi na Wamarekani sio nyie, pili pili msioila yawawashia nini kuku mavi?
Pia hapa Marekani waliompigia kura BI Clinton wanawazidi wa Trup na zaidi ya watu millioni tatu, na ni hao ndio wanaoandamana.
Na hao hao ndio ulimwengu unasimama nao na kuwapa mkono/sapoti kwenye maandamano..
Lazima tuwakalipie maana mmetuaibisha ngozi nyeus... yaaani kitu kidogo kama hiki mmeshindwa kukielewa
 
Upumbavu wako kawaambukize washenzi wenzio huko kwenyu tz matopeni.
[emoji2] tz matoepeni afu kesha US... ndio ni haki muandamane. Kama mnaishi ndoto za US? acha utumwa wa mawazo ninyi?
 
Watanzania mbona mambo ya Kenya yanawahusu? The demonstrations were done majorly by US citizens living in Kenya and it was a similar case in all major cities of the world (Lagos, Accra, Jo'burg, London, Tokyo etc).
 
Back
Top Bottom