Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

Kama nyinyi wana lumumba ambao mnaongoza serikali (ikiwemo ofisi ya dpp), kwanini hamjawafikisha mahakamani hao makamanda wenzake waliofanya ukatili?
Sasa mbona hilo lijamaa lako linaogopa kurudi wakati "adui" yake tayari ameshafariki?
 
Kenya wameamua kufanya kweli! Athari za ukoloni lazima zilipiwe fidia. Wanadai wakenya waliporwa ardhi ambayo hadi leo inamilikiwa na masetla wa kizungu. Wanataka fidia ya dola bilioni 200!!

Ni muda muafaka na sisi watanganyika tufungue kesi dhidi ya ukoloni wa wajerumani!! Wajerumani waliua viongozi wetu wa kimila, na kurudisha nyuma maendeleo! walitupora madini nk. Watanganyika tudai pia fidia ya dola 250!.
Uzuri ikilipwa hutaambulia hata buku, utaskia imejenga madarasa na nyumba za walimu 😂😂😂
 
Kenya wameamua kufanya kweli! Athari za ukoloni lazima zilipiwe fidia. Wanadai wakenya waliporwa ardhi ambayo hadi leo inamilikiwa na masetla wa kizungu. Wanataka fidia ya dola bilioni 200!!

Ni muda muafaka na sisi watanganyika tufungue kesi dhidi ya ukoloni wa wajerumani!! Wajerumani waliua viongozi wetu wa kimila, na kurudisha nyuma maendeleo! walitupora madini nk. Watanganyika tudai pia fidia ya dola 250!.
Mbona hata sasa tunaporwa tu, tena tunafunga safari kabisa kwenda kuwaita watupore.
 
Ushahidi wa nini? Polisi ndio walieleza namna shambulio lilivyotokea na afande muroto alisema anazo cctv footage na baadae akabadilisha kauli.
Unaongea bila ushahidi kama wanavyofanya makamanda uchwara wa ufipa. Hilo lijamaa lako limejichimbia Ubelgiji limejaa uoga kama kunguru. Limebaki kupiga kelele zisizo na tija.
 
Waafrika kwenye ubora wao. kazi yao ni kupenda mteremko tu
 
Wakati sisi tukidai makinikia yetu ambayo ni halali kabisa kuna watu hapa wakaanza kutukejeli.

Mliyapata hayo makinikia? Kiko wapi kile kiwanda cha kuchenjua makinikia? Nasikia mlirudi mkaendelea kuyasafirisha kwa kasi zaidi hata yale mliyokamata pale bandarini.
 
Ipi ni tofauti Kati ya wakoloni na wawekezaji, naona bora ya wakoloni kuliko wawekezaji
 
Back
Top Bottom