Nitasema Kweli Daima, Fitina Kwangu Mwiko!
Afrika ziko nchi 3 zenye Zero case. Tz, na nyingine 2 ukiangalia kwa makini kwenye hiyo map NORTH WEST utaziona ni ndogo hivi.Usiichukulie hivyo jirani, sio kwa ubaya. Tunaulizia kwasababu tunajivunia sana kuwa na majirani wa kipekee kama nyinyi. Hapo awali ilikuwa ni nchi mbili tu duniani ambazo hazikuwa na Corona, N.Korea kwa Kim Jong Un na Tz kwa Jiwe. Sasa hivi imebakia tu Tz, hongereni sanaaa majirani. Afrika Mashariki hoyeee! 😎
Nipo sahihi katika nini?Uko sahihi kabisa.
Pandemic trends in 3 charts – DW – 06/09/2022
The majority of countries report falling COVID infection numbers. DW sums up the global data on the current pandemic situation in three charts.m.dw.com
Kusema kweli daima, fitina....Nipo sahihi katika nini?
Inahusiana vipi na link uliyoniwekea?Kusema kweli daima, fitina....
Inahusiana vipi na link uliyoniwekea?
Tanzania Corona ipo au haipo?Kama unapenda ukweli, basi hicho kiunganishi utakielewa sana. Lkn kweli isipokuwepo ndani yako ni waazi kabisa hicho kiunganishi hauta kielewa.
Tanzania Corona ipo au haipo?
Umetumia vigezo gani kujua/Umejuaje kuwa Tanzania tishio la Corona siyo kubwa kama ilivyo kwa nchi nyingine?Korona ipo dunia nzima.
Kwa upande wa Tanzania korona ipo, ila si kwa kiwango ambacho team roho mbaya ingependa iwe.
Pia, the pandemic is more about psychology, if the people's mind exaggerates the situation, then you will be in for it. It'll follow you wherever you go. The Tanzania's model is among the best Approach on can take it. People are taught to take the precautions out of panic. As a result the immunity system of the individuals is above average. A bit challenge is to the people who are living with pre existing health issues. But for the rest of the population, the pandemic is not a threat as other countries.
unatumia vigezo gani kujua ndani kwako kuna panya??,na hujawahi kumuona??Umetumia vigezo gani kujua/Umejuaje kuwa Tanzania tishio la Corona siyo kubwa kama ilivyo kwa nchi nyingine?
Unalinganisha uwepo wa panya ndani na uwepo wa Corona katika nchi?Upo serious?Kama hufuatilii,hufanyi vipimo,huweki record za watu wanaokufa katika mahospitali utajuaje kama Corona ipo?unatumia vigezo gani kujua ndani kwako kuna panya??,na hujawahi kumuona??
lengo langu utumie akili sawa sawa.Unalinganisha uwepo wa panya ndani na uwepo wa Corona katika nchi?Upo serious?Kama hufuatilii,hufanyi vipimo,huweki record za watu wanaokufa katika mahospitali utajuaje kama Corona ipo?
Kila ugonjwa unahitaji vipimo ili kujua upo kwa kiasi ganilengo langu utumie akili sawa sawa.
corona inahitaji vipimo kuijua!!!au hujiui sawa sawa!!!
Tanzania Corona ipo au haipo?
lengo la kipimo sio kujua idadi ya wagonjwa.ni kuona ugonjwa kwa aliyeonyesha dalili.Kila ugonjwa unahitaji vipimo ili kujua upo kwa kiasi gani
Umetumia vigezo gani kujua/Umejuaje kuwa Tanzania tishio la Corona siyo kubwa kama ilivyo kwa nchi nyingine?
Unaelewa kuwa mtu anaweza kuwa na virusi vya Corona na wala asionyeshe dalili yoyote ile hadi anapona?Unaelewa kuwa mtu kama huyu anaweza kuambukiza watu maelfu na mamia kati yao wakafa?Unaelewa kuwa ni muhimu kupima kila mtu ili kugundua watu kama hawa ambao wana virusi vya Corona lakini hawaonyeshi dalili yoyote ile ili watu wa namna hii wachukue hatua wasiambukize watu wengine?lengo la kipimo sio kujua idadi ya wagonjwa.ni kuona ugonjwa kwa aliyeonyesha dalili.
lengo la kipimo sio kujua idadi ya wagonjwa.ni kuona ugonjwa kwa aliyeonyesha dalili.
nyinyi na wahuni wengine mmejikita kuhesabu wagonjwa wa corona.