Wakenya waiuliza Google kuhusu Corona Tanzania

mgonjwa wa corona anapitia hatua zipi kabla ya kufariki???

au unamaanisha watu kufa wakiwa na corona?
Wewe ndiye umesema ya kwamba watu wanaambukizana lakini hawafi kwa Corona,ndiyo nikakuuliza umejuaje ya kwamba hakuna wanaokufa kwa Corona?
 
Mambo ya kupima ni kutaka kukuza mambo.
Unafanyia kazi kitu ambacho kimefikia kuwa hatua ya kuwa changamoto. Kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla wake, Covid 19 siyo serious clinical issue ambayo utatakiwa ku deploy a lot of resources to get rid of it. Hata tukisema tupime na kutangaza, hakuna kitu kitakachobadirika. Hata research zikifanyika, itakuwa you are researching on obvious. Nothing tangible will be unveiled.
Nimeona kwenye TV nyingi za Tanzania wanatoa mafunzo kwa njia nzuri ambayo siyo ya kuogopesha.
 
Kwa nchi makini kwa nini usubiri hadi mzee ambae tunajua ni vigumu kupona aambukizwe corona?Kwa nini tusizuie kwenye chanzo kimojawapo ambacho ni hawa wenye corona bila dalili ambao ndiyo wanaambukiza hawa wazee?
kama umesahau corona ni ugonjwa wa mlipuko labda nikukumbushe.

hizo hatua unazozungumzia hazina maana tena kwa sasa.
 
Wewe ndiye umesema ya kwamba watu wanaambukizana lakini hawafi kwa Corona,ndiyo nikakuuliza umejuaje ya kwamba hakuna wanaokufa kwa Corona?
ndio sababu namimi nikakuuliza,hatua zipi mgonjwa wa corona hupitia kabla ya kufariki kabisa,hujajibu.

inawezekana unadhani corona inaua kama pressure.
corona inaua kwa mateso kijana,wala usingesubiri jiwe aje akwambie ndipo ujue kuna watu wanakufa kwayo.
 
kama umesahau corona ni ugonjwa wa mlipuko labda nikukumbushe.

hizo hatua unazozungumzia hazina maana tena kwa sasa.
Kama hatua ninazozizungumzia hazina maana tena kwa sasa,Je Tanzania tunachukua hatua zilizo za maana kwa sasa?
 
Kama hatua ninazozizungumzia hazina maana tena kwa sasa,Je Tanzania tunachukua hatua zilizo za maana kwa sasa?
hakuna hatua yoyote,haivaliwi barakoa wala sanitizer hazipakwi tena,gari zinajaza,na mikusanyiko inaendelea mwezi wa 3 huu sasa.

corona imelala inaishi vichakani siku hizi!!!
 
Kwani hakuna mogonjwa mengine yanayoua kwa mateso?Ina maana kila anaekufa kwa mateso kwenye hayo magonjwa mengine nina taarifa zao!
 
hakuna hatua yoyote,haivaliwi barakoa wala sanitizer hazipakwi tena,gari zinajaza,na mikusanyiko inaendelea mwezi wa 3 huu sasa.

corona imelala inaishi vichakani siku hizi!!!
Swali langu bado ni lile lile,kama Corona haipo kama unavyojinadi ya kwamba ipo vichakani ni kigezo gani umetumia ukajua haipo?
 
Kwani hakuna mogonjwa mengine yanayoua kwa mateso?Ina maana kila anaekufa kwa mateso kwenye hayo magonjwa mengine nina taarifa zao!
hata anayekufa kwa kuumwa kichaa anateseka pia.

ila corona ni apecial case kama hujui,mgonjwa nakohoa kwa tabu akihangaika,kitu ambacho huhitaji kuambiwa huyu anaumwa corona hasa msimu huu wa uvamizi wa gonjwa lenyewe.
 
Swali langu bado ni lile lile,kama Corona haipo kama unavyojinadi ya kwamba ipo vichakani ni kigezo gani umetumia ukajua haipo?
ni kwamba hutaki jibu,na una jibu lako kwenye kimemo mfukoni.

corona haipo,maana corona si mzimu ni ugonjwa ule,tena wa uvamizi.
 
ni kwamba hutaki jibu,na una jibu lako kwenye kimemo mfukoni.

corona haipo,maana corona si mzimu ni ugonjwa ule,tena wa uvamizi.
Kwa hiyo ungepata nafasi ya kuhutubia pale UN kuwa toa hoja ya kwamba Tanzania hakuna Corona, hilo ndiyo jibu ungewapa?
 
Kwa hiyo ungepata nafasi ya kuhutubia pale UN kuwa toa hoja ya kwamba Tanzania hakuna Corona, hilo ndiyo jibu ungewapa?
swala sio wao kuelewa,bali wawe na habari kwamba corona haipo hapa.
 
Wao au mimi kuwa na habari kuwa Corona haipo Tanzania inahitaji ushahidi wa kitaalam.Huo ushahidi wa kitaalam upo?
wewe na wao nyinyi ni nani mpaka mshinikize ushahidi wa kitaalamu??mna undugu na corona!!
 
Mbona hakuna nchi inayopima watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi ili wasiambukize wengine kwa kutojua kwamba wana Ukimwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…