joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupima watu wote ndio ujue kwamba ugonjwa upo au haupo, kinachofanyika ni kuchukua "random sampling" toka katika makundi ya watu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa na kuangalia ni asilimia ngapi wameambukizwa, hiyo taarifa inatumiwa na serikali kutangaza hali ya ugonjwa nchini.Wao au mimi kuwa na habari kuwa Corona haipo Tanzania inahitaji ushahidi wa kitaalam.Huo ushahidi wa kitaalam upo?
Wapi nimepiga debe kwamba wapimwe watu wote?Mimi napiga debe kwamba guideline za WHO zifuatwe.Point yangu ni kwamba Tanzania haifuati taratibu za WHO katika kupambana na Corona.Hakuna nchi yoyote duniani inayoweza kupima watu wote ndio ujue kwamba ugonjwa upo au haupo, kinachofanyika ni kuchukua "random sampling" toka katika makundi ya watu wenye hatari kubwa ya kuambukizwa na kuangalia ni asilimia ngapi wameambukizwa, hiyo taarifa inatumiwa na serikali kutangaza hali ya ugonjwa nchini.
Kwa nini unalinganisha ukimwi na Corona wakati ni magonjwa mawili tofauti kuanzia jinsi ya kuambukiza,athari zake,dalili,jinsi ya kuzuia,etc?Mbona hakuna nchi inayopima watu wote wenye maambukizi ya Ukimwi ili wasiambukize wengine kwa kutojua kwamba wana Ukimwi?
Kwanza hakuna guidlines za WHO kuhusu kupambana na Corona, kama unazo tuwekee tuzione, WHO imetoa mwongozo kuhusu kukabiliana na kuenea kwa Corona, huo mwongozo unazihusu nchi zilizoathirika pakubwa na huo ugonjwa, yaani "positivity rate is above 5%".Wapi nimepiga debe kwamba wapimwe watu wote?Mimi napiga debe kwamba guideline za WHO zifuatwe.Point yangu ni kwamba Tanzania haifuati taratibu za WHO katika kupambana na Corona.
Haya yote ni "infectious diseases" principle za "management yake " ni sawa kabisa.Kwa nini unalinganisha ukimwi na Corona wakati ni magonjwa mawili tofauti kuanzia jinsi ya kuambukiza,athari zake,dalili,jinsi ya kuzuia,etc?
Umeanza ubishi usiyo na maana sasa,ulifuatilia ule mkutano wa EU uliokuwa unajadili fedha ambazo Tanzania ilichukua za kupambana na Corona?Ulimsikia yule mwenyekiti wa kikao alivyokuwa analalamika ya kwamba Tanzania imechukua fedha za kupambana na Corona kutoka EU lakini haifuati miongozo ya WHO ya kupambana na Corona kama vile kufanya mass testing regularly na kutangaza/kuchapisha matokeo hayo katika public mass media?Kwanza hakuna guidlines za WHO kuhusu kupambana na Corona, kama unazo tuwekee tuzione, WHO imetoa mwongozo kuhusu kukabiliana na kuenea kwa Corona, huo mwongozo unazihusu nchi zilizoathirika pakubwa na huo ugonjwa, yaani "positivity rate is above 5%".
Sasa jinsi ya kupata hiyo 5% kinachotumika sio Guidelines za WHO, bali ni kufanya utafiti kwa kutumia njia za kawaida za" research". random sampling kutoka katika makundi mbalimbali na kuyapima, hilo ndilo linalofanyika hapa nchini. Matokeo ndiyo hayo yanayopa nguvu viongozi wetu kusema hatuna Corona.
Ni magonjwa mawili tofauti kabisa kwa sababu Corona ni pandemic wakati ukimwi ni epidemic,kwa hiyo njia za management yake ni tofauti kabisa!Haya yote ni "infectious diseases" principle za "management yake " ni sawa kabisa.
Unachekesha sana, yule ni Mbunge wa bunge la EU, sio mwenyekiti kama unavyosema, ni mbunge wa kawaida kama walivyo wabunge wengine, aliuliza swali, hiyo haina maana kwamba kila alichokisema ni sahihi, ndio sababu aliuliza swali kutaka kujua, usiogope kwasababu ni mzungu ukadhani kila alichokisema ni sahihi:Umeanza ubishi usiyo na maana sasa,ulifuatilia ule mkutano wa EU uliokuwa unajadili fedha ambazo Tanzania ilichukua za kupambana na Corona?Ulimsikia yule mwenyekiti wa kikao alivyokuwa analalamika ya kwamba Tanzania imechukua fedha za kupambana na Corona kutoka EU lakini haifuati miongozo ya WHO ya kupambana na Corona kama vile kufanya mass testing regularly na kutangaza/kuchapisha matokeo hayo katika public mass media?
Principle za kuzuia ugonjwa kutokuenea ni sawa, lazima ziwe localized, hakuna kuzuia kuenea kwa Ukimwi "Epidemically" au Cirona " Pandemically", principle inahusu mtu mmoja mmoja, iwe ni Pandemic au Epidemic, lakini principle ni moja tu, ambayo ni "Kuzuia maambuki toka kwa mtu mmoja hadi mtu mwengine".Ni magonjwa mawili tofauti kabisa kwa sababu Corona ni pandemic wakati ukimwi ni epidemic,kwa hiyo njia za management yake ni tofauti kabisa!
Fedha zilizotolewa na EU hazikuwa kwa ajili ya kupambana na athari za kiuchumi za Corona,labda uniwekee ushahidi hapa.Hiyo propaganda dhaifu ya watu waovu wenye nia ya kupindisha ukweli!Unachekesha sana, yule ni Mbunge wa bunge la EU, sio mwenyekiti kama unavyosema, ni mbunge wa kawaida kama walivyo wabunge wengine, aliuliza swali, hiyo haina maana kwamba kila alichokisema ni sahihi, ndio sababu aliuliza swali kutaka kujua, usiogope kwasababu ni mzungu ukadhani kila alichokisema ni sahihi:
Pesa zilizotolewa hazikuwa za kupambana na kuenea maambukizi ya Corona, bali zilikua ni kusaidi Tanzania katika kukabiliana na athari za kiuchumi zilizosababishwa na tatizo la Corona duniani, Je unapinga kwamba Tanzania pamoja na kutoathirika sana kiafya lakini uchumi wake umeathiriwa na Corona?.
Tafuta taarifa kuhusu dhumuni la kutolewa kwa zile pesa kabla ya kumsikiliza yule mlevi, hakuna uhusiano wowote wa zile pesa na kuzuia maambukizi, au kuwepo/kutokuwepo kwa Corona, nchi zote duniani zimeathirika kiuchumi hata zile ambazo hadi leo hazijaripoti kisa hata kimoja cha Corona.
Pornhub ni namba tatu baada ya jamii forum na millard ayoBongo hapa tutaaibika, maana xvideos isije ikashika namba moja tu
Mbinu,nguvu,etc za Kuzuia maambukizi toka kwa mtu mmoja hadi mtu mwengine kwa ugonjwa ambao ni pandemic ni tofauti na mbinu pamoja na nguvu za kuzuia ugonjwa ambao ni epidemic kwa sababu athari za mogonjwa haya ni tofauti,na njia za maambukizi ni tofauti piaPrinciple za kuzuia ugonjwa kutokuenea ni sawa, lazima ziwe localized, hakuna kuzuia kuenea kwa Ukimwi "Epidemically" au Cirona " Pandemically", principle inahusu mtu mmoja mmoja, iwe ni Pandemic au Epidemic, lakini principle ni moja tu, ambayo ni "Kuzuia maambuki toka kwa mtu mmoja hadi mtu mwengine".
Ndio sababu nikakuambia tafuta taarifa kwanza kabla ya kuunga mkono au kupinga mzungumzaji yeyote, nimefuatilia kwa makini "post" zako nikagundua kwamba tatizo ulilonalo ni kutokua na taarifa sahihi. Rudi kasome dhumuni la kutolewa zile pesa, utapata taarifa sahihi, wacha kubishabisha mambo usiyoyajua.Fedha zilizotolewa na EU hazikuwa kwa ajili ya kupambana na athari za kiuchumi za Corona,labda uniwekee ushahidi hapa.Hiyo propaganda dhaifu ya watu waovu wenye nia ya kupindisha ukweli!
Wewe wacha maneno yako, Actually tunatumia nguvu nyingi sana kuzuia Malaria, Ukimwi na TB kuliko zinazotumika kuzuia Corona. Pamoja na kwamba Malaria sio Pandemic bali ni Endemic.Mbinu,nguvu,etc za Kuzuia maambukizi toka kwa mtu mmoja hadi mtu mwengine kwa ugonjwa ambao ni pandemic ni tofauti na mbinu pamoja na nguvu za kuzuia ugonjwa ambao ni epidemic kwa sababu athari za mogonjwa haya ni tofauti,na njia za maambukizi ni tofauti pia
Unaelewa kuwa mwenye jukumu la kuthibitisha ya kwamba pesa zile zilitolewa kwa ajili ya kupambana na athari za kiuchumi za Corona ni wewe kwa sababu wewe ndiyo umeleta hoja hiyo?Ndio sababu nikakuambia tafuta taarifa kwanza kabla ya kuunga mkono au kupinga mzungumzaji yeyote, nimefuatilia kwa makini "post" zako nikagundua kwamba tatizo ulilonalo ni kutokua na taarifa sahihi. Rudi kasome dhumuni la kutolewa zile pesa, utapata taarifa sahihi, wacha kubishabisha mambo usiyoyajua.
Wewe ndiye unasema kwamba Tanzania tulipaswa kujibu kwanini hatutumii Guidelines za WHO wakati tulipewa pesa na EU ili tufuate Guidelines za WHO, thibitisha kwamba malengo ya zile pesa yalikua ni kuzuia Corona hivyo tulipaswa kufuata Miongozo ya kiafya.Unaelewa kuwa mwenye jukumu la kuthibitisha ya kwamba pesa zile zilitolewa kwa ajili ya kupambana na athari za kiuchumi za Corona ni wewe kwa sababu wewe ndiyo umeleta hoja hiyo?
Ndio kitu nahisi tukiangalia kwa upande wako ulichotafuta zaidi 2020 ni hiyo xvideosBongo hapa tutaaibika, maana xvideos isije ikashika namba moja tu
Kwa hiyo umeshindwa kuthibitisha hoja yako ya kwamba fedha zile zilikuwa ni za kupambana na athari za kiuchumi za Corona?Wewe ndiye unasema kwamba Tanzania tulipaswa kujibu kwanini hatutumii Guidelines za WHO wakati tulipewa pesa na EU ili tufuate Guidelines za WHO, thibitisha kwamba malengo ya zile pesa yalikua ni kuzuia Corona hivyo tulipaswa kufuata Miongozo ya kiafya.
Tanzania ilipokea zile pesa kwasababu tulijua hazikinzani na njia yetu tulitoichagua ya kupambana na Corona, wewe unapaswa kuthibitisha kwamba tulikwenda kinyume na masharti ya zile pesa.[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe ni mtu mzima, ninajua umeelewa mapungufu yako, yafanyie kazi mkuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo umeshindwa kuthibitisha hoja yako ya kwamba fedha zile zilikuwa ni za kupambana na athari za kiuchumi za Corona?