Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Do you see any special forces soldiers running around ?
Hio ndo security I can respect, real security ni Ile ambayo haionekani .

Security ya Rais inafaa kua na 3-4 rings....
4th ring ni undercover wanachanganyika na raia...
3rd na 2nd ring, inakua ni polisi wa kawaida, pamoja na crowd control..

1st ring ni personal bodyguards ambao wamevaa masuti......


Alafu Counter assault team wanafaa kujificha lakini wawe tayari kutokelezea kupigana incase Rais amevamiwa.....

lakini ukinionyesha special forces wanafukuzana na gari la Rais, hapo ninachoona ni mtu anaependa kuonekana (kama vile Kim Jon Un) au security ambao wako na vifaa lakini hawajui kazi yao
 
Pwahaaaa maneno meeeeeengi kama unatumbuliwa chipu. Show us uhunye security.
 
Umewaeleza safi sana. Wanadhani ile yao ndo jammer pekee. 😅😅 hawajui kuwa huwa inafunikwa tu
 
Pwhaahahahaha. Miwani ya kuogelea kwenye maji. Ushamba huo bro. Admit it, kenya is primitive.
Who's this fucking guy. Huyu jamaa huwa na akili. Alidhani hatuna jammers akaletewa, tens si moja, ameanza upuzi mwingine tens. Usidhani nyinyi ndo wa kwanza kuwa nayo. Tunayo ila haionyeshwi kama yenu kila mtu anaonyeshwa ati hii no jammer
 
Who's this fucking guy. Huyu jamaa huwa na akili. Alidhani hatuna jammers akaletewa, tens si moja, ameanza upuzi mwingine tens. Usidhani nyinyi ndo wa kwanza kuwa nayo. Tunayo ila haionyeshwi kama yenu kila mtu anaonyeshwa ati hii no jammer
[emoji23][emoji23]nasikia et police wetu wanao linda bank .nikama special forces yenu et ni kweli

Sent from my samsung galaxy j7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] hivo huyo ni polisi anayelinda bank. Anabeba hadi feya ama naona nini. Na bank ina threat gani kubwa huko Tanzania saaana. Kujionyesha tu ndo zenu
Iyo niya kuonesha umekufa kiume [emoji23][emoji23]bullets zikiisha una tumia iyo .atutaki mchezo sisi
 
Pwahaaaa maneno meeeeeengi kama unatumbuliwa chipu. Show us uhunye security.


Security ya rais ambayo nitaiamini ni ile ambayo Rais mwenyewe hataona bunduki kando yake....
Hata ukiangalia security ya rais wa marekani, hua wako na special forces tena wengi sana, lakini hakuna hata siku moja utawaona wamesongelea karibu na yeye. Lakini hizi 3rd world security unazotuonyesha hapa ni upuzi mtupu..... Enda utafute Motorcade ya M7 uangalia vile mko gora moja....
 
Inamsaidia nini mtanzania au mkenya ...kila mtu ako na shuhuli yake
 
Acha upuuzi huyo ni askari wa magereza ya wafungwa na hayo manati kajiwekea tu hayapo kwenye silaha zinazotumika na askari wa jeshi lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…