Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

Do you see any special forces soldiers running around ?
Hio ndo security I can respect, real security ni Ile ambayo haionekani .

Security ya Rais inafaa kua na 3-4 rings....
4th ring ni undercover wanachanganyika na raia...
3rd na 2nd ring, inakua ni polisi wa kawaida, pamoja na crowd control..

1st ring ni personal bodyguards ambao wamevaa masuti......

Alafu Counter assault team wanafaa kujificha lakini wawe tayari kutokelezea kupigana incase Rais amevamiwa.....

lakini ukinionyesha special forces wanafukuzana na gari la Rais, hapo ninachoona ni mtu anaependa kuonekana (kama vile Kim Jon Un) au security ambao wako na vifaa lakini hawajui kazi yao
 
Do you see any special forces soldiers running around ?
Hii dada ndo security I can respect, real security ni Ile ambayo haionekani .

Security ya Rais inafaa kua na 3-4 rings....
4th ring ni undercover wanachanganyika na raia...
3rd na 2nd ring, inakua ni polisi wa kawaida, pamoja na crowd control..

1st ring ni personal bodyguards ambao wamevaa masuti......

Alafu Counter assault team wanafaa kujificha lakini wawe tayari kutokelezea kupigana incase Rais amevamiwa.....

lakini ukinionyesha special forces wanafukuzana na gari la Rais, hapo ninachoona ni mtu anaependa kuonekana (kama vile Kim Jon Un) au security ambao wako na vifaa lakini hawajui kazi yao
Pwahaaaa maneno meeeeeengi kama unatumbuliwa chipu. Show us uhunye security.
 
Kwa wale wa Senge ambao ilikua ndo mara yao ya kwanza kuona Frequency jammer kwa mortocade ya rais wao....

Hizi gari mbili hua utaziona kwa motorcade ya Uhuru, mara kwa mara..... Hapa hua zimezibwa ili usianze kuuliza maswali mengi

View attachment 955505

Angalia vizuri, Utaona Counter assault team hapo ndani ya hilo gari la Kwanza, Tofauti na hao wa Tz, hawa jamaa hua hawatoki ndani ya hilo gari kihlela, mara nyingi hata hutajua kama wako..

View attachment 955510

View attachment 955515

Hapo nimeweka mshale mwekundu angalia signal jammer ikiwa haijafunikwa

View attachment 955521

View attachment 955523

White ni gari la Rais, Red ni signal jammer
View attachment 955525

View attachment 955536

Hapa unaiona ikiwa karibu kabisa
View attachment 955542

View attachment 955544

Funzo la siku ni kwamba watu waache ushamba na vitu vya kawaida!!!!!
Umewaeleza safi sana. Wanadhani ile yao ndo jammer pekee. 😅😅 hawajui kuwa huwa inafunikwa tu
 
Pwhaahahahaha. Miwani ya kuogelea kwenye maji. Ushamba huo bro. Admit it, kenya is primitive.
Who's this fucking guy. Huyu jamaa huwa na akili. Alidhani hatuna jammers akaletewa, tens si moja, ameanza upuzi mwingine tens. Usidhani nyinyi ndo wa kwanza kuwa nayo. Tunayo ila haionyeshwi kama yenu kila mtu anaonyeshwa ati hii no jammer
 
[emoji23][emoji23]nasikia et police wetu wanao linda bank .nikama special forces yenu et ni kweli
advocate_jebra-20181204-0001.jpeg

Sent from my samsung galaxy j7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23] hivo huyo ni polisi anayelinda bank. Anabeba hadi feya ama naona nini. Na bank ina threat gani kubwa huko Tanzania saaana. Kujionyesha tu ndo zenu
Iyo niya kuonesha umekufa kiume [emoji23][emoji23]bullets zikiisha una tumia iyo .atutaki mchezo sisi
 
Pwahaaaa maneno meeeeeengi kama unatumbuliwa chipu. Show us uhunye security.

Security ya rais ambayo nitaiamini ni ile ambayo Rais mwenyewe hataona bunduki kando yake....
Hata ukiangalia security ya rais wa marekani, hua wako na special forces tena wengi sana, lakini hakuna hata siku moja utawaona wamesongelea karibu na yeye. Lakini hizi 3rd world security unazotuonyesha hapa ni upuzi mtupu..... Enda utafute Motorcade ya M7 uangalia vile mko gora moja....
 
Inamsaidia nini mtanzania au mkenya ...kila mtu ako na shuhuli yake
 
Hehehe mabaunsa wamejianika vifua nje, nani aliwaambia mtu mwenye nia ya kumpiga rais atakuja kiulevi ulevi. Asante Kafrican kwa kuwaonyesha jinsi jammers za Kenya hufichwa, sio ubabaishaji kwa wanavijiji
Halafu mapolisi wa Kibongo hupenda show za kiajabu ajabu, hebu ona hii picha polisi amejihami kwa manati/feya, sasa eti huyu ndiye commando

img_20181130_111819-jpeg.951258
Acha upuuzi huyo ni askari wa magereza ya wafungwa na hayo manati kajiwekea tu hayapo kwenye silaha zinazotumika na askari wa jeshi lolote
 
Back
Top Bottom