Wakenya wameogopa kuhusu Modern Security ya JPM katika ufunguzi wa Namanga - From *********

.jwtz sasa hivi wamejikita kubangua koroshooo!... mtwara kumedamshi hehe
 
Hii ndiyo inawatoa povu wakenya. Ndio maana wanahaha kweli. Inaitwa Mobile Jamming System.
 

Sasa Askari kama huyu hata upepo waweza sukuma!!! hata bunduki wanyang'anya bila taabu.
 
Lakini nchi inayo ongoza kwa mordern security ni Rwanda.. wanatumia wanajeshi wachache na hawavai magwanda.

Tanzania mlidhani wakenya wataanzisha vita? Kwa nini kupeleka jeshi lote namanga?
 
Compare na hao ndio ujue special force hafai kua mnene kama mhudumu wa hoteli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 954715View attachment 954716
Sasa wewe mbona huyo si Army special force, utalinganishaje na Special force. Huyo ni kikosi maalum cha kumlinda rais si Afisa wa TPDF.
Special force wa jeshi la Tanzania hawavai hivyo, huyo ni special force ila hatoki ndani ya jeshi. Usilinganishe


Ukubwa wa mwili si kipimo cha wepesi wa mtu, usikariri. Ungetaka kujua wepesi wake, ungejaribu kuvamia. Ndiyo utuletee majibu
 
Lakini nchi inayo ongoza kwa mordern security ni Rwanda.. wanatumia wanajeshi wachache na hawavai magwanda.

Tanzania mlidhani wakenya wataanzisha vita? Kwa nini kupeleka jeshi lote namanga?
Walidhani Uhuru ataliamsha vifaranga vya kuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…