Ndio maana nimesema Kenyans are primitive. Hivi kwa ulimwengu huu wa technology unataka uwe na physical bullet proof!?Bullet proof itafanya raia waogope?....kichwa bure wewe
Bullet detector devices.... pwahahahahahahahahha.... niokoteni jameni nafa... pwakahahahahhaNdio maana nimesema Kenyans are primitive. Hivi kwa ulimwengu huu wa technology unataka uwe na physical bullet proof!?
Our security is more digitized siyo securities zenu za kishamba.
Hivi unajua bullet detector devices. Unajua kazi zake!?
Kenya is a primitive country.
Hakuna lolote unalojua, ushamba mwingi ndo unakusumbua,Hivi we jamaa unaakili kweli.
Hivi maana ya mobile ni nini!? Acha ushamba wewe. car always called automobile.
Usituletee ushamba wa kikenya hapa.
Wakenya watajulia wapi haya,kazi ya ni wivu na ubishi,ile gari imewauma sana walivyoiona kule namangahttp://www.atchuup.com/badass-elite-fighting-units/
Hii list wakinionesha Kenya special forces nitag kiongozi.... Waulize ubora wao wamepiga mission gani
PwaaahAccording to them, wameshinda Germany
Anaongelea kuhusu gunshot detection system .... Ambayo kazi yake ni kudetect direction ambako first shot was fired.... Hii hutumika especially Kwa sniper fire.....Lol. Sensors or?
pwahahahaha, are those armies from UNITED NATIONS unaitwa special forcesSasa ile Tanzanian Special forces ya Congo imeshika namba 27 duniani, miongoni mwa Special forces nyingi. Ilikuwa juu ya German KSKView attachment 955287
Naona unajitekenya mwenyewe, Special forces iliwahi kutumwa Congo mbali na hao wanajeshi unaowajua wa UN. Ndiyo baada ya operesheni yao wakapewa Namba 27 miongoni mwa special forces bora duniani. Walipomaliza kazi yao waliondoka.pwahahahaha, are those armies from UNITED NATIONS unaitwa special forces
Hata mi naeza kuandika ripoti kwa blog yangu na nikaeka Kenya number moja manake nimeona special force wa Kenya!!!!!! mnachojulikana kule congo ni ubakaji wa watotoNaona unajitekenya mwenyewe, Special forces iliwahi kutumwa Congo mbali na hao wanajeshi unaowajua wa UN. Ndiyo baada ya operesheni yao wakapewa Namba 27 miongoni mwa special forces bora duniani. Walipomaliza kazi yao waliondoka.
Hebu tutajieni wenu hao wanaovaa kama wazibua vyoo, walifanya operesheni gani ya hatari. Au ya kuchukua biskuti
hahahaha huyu msee ananijazz bana so ur special force is better than german??, I knw kenya we have 2 groups of special forces, 1 that trains in US and another one in Israel but bado hawajafikia germany hata kidogoNaona unajitekenya mwenyewe, Special forces iliwahi kutumwa Congo mbali na hao wanajeshi unaowajua wa UN. Ndiyo baada ya operesheni yao wakapewa Namba 27 miongoni mwa special forces bora duniani. Walipomaliza kazi yao waliondoka.
Hebu tutajieni wenu hao wanaovaa kama wazibua vyoo, walifanya operesheni gani ya hatari. Au ya kuchukua biskuti
Sasa wataona unawapatia sifa,what kind of side shows are this ?wenzenu ndo hao
3rd world dictators have one of the most fancy motorcades and security..... The only thing is that they have never been tested in a real security threat cause 1. no one dares 2. there are no sophisticated criminals in these 3rd world countriesSasa wataona unawapatia sifa,what kind of side shows are this ?
Huyo jamaa ni kilaza kweli kweliBullet detector devices.... pwahahahahahahahahha.... niokoteni jameni nafa... pwakahahahahha