Wakenya wanajua kuitumia ardhi kwa manufaa zaidi kuwazidi Watanzania?

Uko sahihi
 
Wewe ni mpumbavu thus why huwezi elewa mantiki ya hoja zangu. Kama unalima kilimo cha kutegemea uvune gunia 7 uuze gunia 5 mbili uweke chakula basi tuko dunia tofauti kimawazo.
Kaka umeua sisimizi kwa tofali πŸ˜‚,ila sana hizi stori nyingi za kucompare sisi na kenya zinakua chai zinakuja kutuamsha kwa kuona as jamaa wanatumia fursa flan ambayo sisi pia tunaweza,ni jambo zuri japo ni chai,eka 1.5 kuingiza m 16 per year kwa kilimo cha matunda πŸ˜‚ kila mkenya angekimbilia kwenye fursa
 
Siyo eka 1.5, ni 0.25 ndiyo inayoingiza hicho kiasi. Kwa eka moja tu ni zaidi ya milioni sitini kwa mwaka.

Kusema Wakenya wangekimbilia huko si rahisi. Ardhi ni adimu sana Kenya. Si rahisi kwa mtu wa kipato cha kawaida kumudu kununua shamba Kenya.
 
Siyo eka 1.5, ni 0.25 ndiyo inayoongoza hicho kiasi. Kwa eka moja tu ni zaidi ya milioni sitini in kwa mwaka.

Kusema Wakenya wangekumbilia huko si rahisi. Ardhi ni adimu sana Kenya. Si rahisi kwa mtu wa kipato cha kawaida kumudu kununua shamba huko.
πŸ™
 
Sidhani kama ni lazima uamini
 
Hata ww usingeacha hio fursa aisee
 
Kuna kabinti kanalima nyanya pale Malawi kapo vizuri sana. Mwingine Mkenya anafuga kuku. Nilichokigundua kwao kikubwa ni kwamba wanajiamini halafu wanapenda kulima
Kwamba binamu yako na dada zako hawajiamini wao wakawa kama hao wakenya 🀣
 
Hizo hela za kulima for fun zinapatikana wapi mkuu? πŸ˜€ Hebu naomba nipe connection mkuu.
 
wakulima Tz wanapiga hela sawa na wa kenya na maeneo mengine tumewazidi mi mkulima wengi mnaaocommeent hapa hata shamba huna
βœ…πŸ™πŸ™πŸ™

Mkuu, kama hutojali niruhusu nikutembelee shambani kwako. Napenda kujifunza.
 
Hiyo yote ni kazi bure kama hamna soko , soko kama ni la uhakika na purchasing power ipo ,hutaona mtu anaambiwa kalime , watu watakimbilia kumiliki ardhi bila kuambiwa wala kushinikizwa na watalima na kuzalisha mara dufu .
Tanzania soko la agricultural products ni bovu , wakulima wanakula loss Tu na sera mbovu za serikali zinazoharibu mfumo wa soko na ukiritimba hata kwenye kusafirisha nje ya nchi ,tumeona kwenye korosho ,mbaazi ,kahawa ,list ni ndefu mno
 
Kenya serikali haiingilii soko na kuharibu bei na soko lipo stable + wanafanya export ya mboga ,nyama , matunda ,maua nk ,na mali nyingi hizo wanalangua Tanzania na sera za nchi yao zinaruhusu ,so soko ni la uhakika na sera bora thus ni tofauti na Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…