Which Means Tanzania Got More Cars than the Rest of East African countries
Najua unaishi kwa slum Mombasa inaitwa sijui Nyalendwa slum ,ila kwanini nikiuliza ili swali uwa sipatiwi majibu hivi naii kunaslum ngapi wajameni ?????????? Ili swali alina jibu au ni dharau ndiyo inafanya amjibu ina maana hata wanafunzi wa Shule zenu kwenye mitihani wanajibu jibu gani wanapo ulizwa ili swali? The number of slum in Nairobi?Waulize Rose muhando, machozi, mobetto, diamond ,ryvanny na harmonize watakwambia. Wanapenda kuzuru kibera sana. Wanapapenda kuliko Tanzania.
MIMI SIISHI NAIROBI
Kwa hesabu zipi, mtoto wa chekechea hapa Kenya anaweza akakusaidia kutafsiri kama inakushinda.
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000
Kuna magari 21 kwa kila Watanzania 1,000
Kuna magari 13 kwa kila Waganda 1,000
Ok basi nikufindishe ile grade I Maths,
Tz population ni 60mil
60,000,000/1000people = 60,000
60,000 * 21cars = 1,260,000 Cars,
Kenya population 40,000,000
40,000,000/1000 = 40,000
40,000* 30cars = 1,200,000 Cars
Acha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???Ok basi nikufindishe ile grade I Maths,
Tz population ni 60mil
60,000,000/1000people = 60,000
60,000 * 21cars = 1,260,000 Cars,
Kenya population 40,000,000
40,000,000/1000 = 40,000
40,000* 30cars = 1,200,000 Cars
Nairobi napakubali sana sana kwa kua na Magari mengi ya maana(kitajiri) kuliko mji wowote E/Africa na hata dealership za magari ya Kimilionea pale zipo.
Kuna magari 30 kwa kila Wakenya 1,000, ilhali majirani Tanzania na Uganda ni 21 na 13 mtawalia.
Which African Countries Have the Most Cars on the Road?
The used car import market in Africa is growing, leading to more cars on the road. Which countries have the most? Let's take a look.blog.beforward.jp
Acha umbea wewe ni mtu mzima na akili zako...mikebe yenu 97% Ni used. ..wanaoweza miliki zero km cars ni wale mtajiri wakuhesabika usitake kuona kila mtu Ni mjingaKwenu mnaruhusiwa hata kuagiza magari mitumba iliyozeeka na bado mpo mbali sana kukaribia umiliki wa magari wa Kenya, wakati sisi haturuhusiwi, lazima tununue yakiwa mbichi.
Acha kujitutumua na vya wenzio kijana, hata ninyi mko nyuma sana watu 1000 magari 30 sio kitu ya kutamba kama kwel akili zako zinafanya kazi sawasawa...Ni sign kwamba Tz wako nyuma sana kimaendeleo kama shamba ndio mali huko.In Kenya we invest in education ,innovation,intellectual properties ,real estate na kujenga makampuni makubwa ukanda huu.Hiyo ndio mali yetu -and its well diversified.
Walau yangekua 4.9M kwa iyo pop yenu ya watu 49M kumbe bado kuna wakenya wanapanda punda uko vijijiniHakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.
Mko million 51 mnazaliana sana kanchi kadogo watu wengiAcha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???
Tanzania pop. 58M
Kenya 48M
TZ. 21 ------1000
??---------58000000=1,218,000 cars
KE. 30---------1000
??----------48000000=1,440,000 cars
Hakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.
Rudia mara kumi maana ya neno PLUS kwenye hii sentensi "With a bursting population of 40 million plus"Hivi unaelewa mahesabu kwelii??
Calculation iliyotumika kwenye hiyo source yako ndio imetumia population ya 40mn, Hakuna Kitu kinatakiwa kubadilishwa,
Ukitaka tutumie 49M kama unavuotaka maana yake haigakuwa 30 per 1000 tena, Itashuka zaidi
Acha wehu wewe, nani kakwambia pop ya Kenya ni 40M???
Tanzania pop. 58M
Kenya 48M
TZ. 21 ------1000
??---------58000000=1,218,000 cars
KE. 30---------1000
??----------48000000=1,440,000 cars
Rudia mara kumi maana ya neno PLUS kwenye hii sentensi "With a bursting population of 40 million plus"
Kumbe pia sio lazima wote tumiliki gari Mkuu?Hehehe!! Sizitaki mbichi....
Halafu hivi unajua sio lazima kila mtu amiliki shamba, kunao wachakarikaji mjini ambao maisha yao yote hawajawahi kukamata jembe, na wanaingiza kipato mara mia ya wewe na hako kashamba kako kijijini. Sio lazima tulime sote, kuna wale tunachangia kwenye uchumi kwa njia zingine mbadala.
Cha msingi ni kuhakikisha malengo yako yamekaa sawa, unatimiza majukumu yako kwa familia kwa kuwapa nyumba nzuri, elimu, chakula, usafiri, mawasiliano n.k.
Sio TZ barabara za mwendo kasi Dar hazipo hivi wala haya mazingira hayafanani na DarHapa sio Tz ni Burundi.
Hata hizo foleni ni za wapiga kura Nchi Kama Central African Republic au hata Burundi ama Malawi Nchi za masikini kutupwa. Nakubaliana nawe.Sio TZ barabara za mwendo kasi Dar hazipo hivi wala haya mazingira hayafanani na Dar