Wakenya wanaongoza kwa umiliki wa magari Afrika mashariki

Huyu sijui hii picha aliipigia sehemu gani ya Dar es Salaam maana hata kwa macho ya kawaida tu hapo hakuna kituo cha mwendo kasi na wala vituo vyao haviko hivyo, labda kama ni nje kabisa ya mji naweza kuelewa au ni kule Mbezi Mwisho ambako kunajengwa kituo kikubwa cha mabasi ya mikoani, maana huwa kuna msongamano mkubwa wa abiria wanaotaka kwenda mjini. Kwanza hapo naona Toyota Hiace ambazo Dar es Salaam hazitumiki kusafirisha abiria mjini, labda nje ya mji...
 
Magari yenyewe ndio hizo Nissan Datsun - pick ups? We mkenya hebu hurumia mbavu zangu 😀😀😀
 
Waambie kabisa maana naona wanashupalia kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23] yaani kuna watu wana chuki na serikali yaani wapo radhi wadanganye chochote.
 
Atleast kwa vile hujawahi kufika Dsm na hata hujui BRT ipoje ngoja nikuwekee picha moja na ulingnishe na hizo za kwako
 
Waambie kabisa maana naona wanashupalia kweli kweli [emoji23][emoji23][emoji23] yaani kuna watu wana chuki na serikali yaani wapo radhi wadanganye chochote.
Halafu kwenye picha yake kuna Toyota Hiace, usafiri ambao Dar es Salaam ilishaacha kuutumia miaka ya mwanzoni wa 2000. Pia sisi huwa hatukai foleni kama Kenya...
 
Yeah kabisa nimeona zile hiace ndogo.
Halafu kwenye picha yake kuna Toyota Hiace, usafiri ambao Dar es Salaam ilishaacha kuutumia miaka ya mwanzoni wa 2000. Pia sisi huwa hatukai foleni kama Kenya...
 
Yaani kenya kuilinganisha na TZ ni ujuha..kenya kuna raia wana maisha magumu sijawahi ona..kenya walio wengi wanashindia mkate na juice tena hapo nairobi vijijni ndo usiseme mpka nywele zimenyonyoka..wezi ndo usiseme wakora kibao wamejazana..
 
Atleast kwa vile hujawahi kufika Dsm na hata hujui BRT ipoje ngoja nikuwekee picha moja na ulingnishe na hizo za kwakoView attachment 1185858
Ngoja tusikize maoni ya ripota wetu Jackal, kutoka upande wa pili wa studio.
 
Hapo sio stand ya brt we nugu
 
Hakuna siku mnaweza kutuzidi kwa wingi wa magari, hata mkiwa wengi kiasi gani, kwa taarifa yako Kenyan population ni 49,000,000
Hiyo ina maana tuna magari zaidi ya 1,400,000.
Hakuna siku? Mtasanda
 
Ngoja tusikize maoni ya ripota wetu Jackal, kutoka upande wa pili wa studio.
Mimi naishi Dar es Salaam, hakuna usafiri wa Toyota Hiace mjini, hatuna utaratibu wa kupanga foleni kama Kenya (ndiyo maana basi likija ni full kugombea) na wala hakuna vituo vya 'mwendeokasi' vya aina hiyo, haya unayotaka kulazimisha hapa wewe ni stamina ya ubishi...
 
Huamini picha, haya basi video itakufaa, yaani watu wanasubiri mabaasi masaa zaidi ya matatu...

Mkuu mwenzangu MK254 naona sasa unataka kuharibu heshima yako. Kwani mlazimishe vitu, hebu linganisha video hii uliyoweka na zile picha zenu za watu wamesimama juani wakiwa wamepanga foleni kusubiri usafiri, utaona tofauti. Kwanza hatutumii Hiace, hatupangi foleni kama Kenya (ndiyo maana likija gari tunagombea) na vituo vya mwendo kasi kwenye video hii havifanani kabisa na vile vya kwenye picha... Suala la watu kusubiri muda mrefu lipo, na hata huko Nairobi lipo, tena kwa kiwango kikubwa sana kuliko Dar es Salaam...

Kwa kuwa wewe umefika Dar es Salaam labda uniambie hapo (kwenye zile picha za mnato) ni sehemu gani ya jiji la Dar es Salaam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…