Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
this is among the reason that makes me less attracted to kenyan women/girls

embu tazameni huo uchafu waliofunga kichwani hawa mabinti wa kikenya.smh
 
i agree with you comrade... spot on.
 
[emoji23] [emoji23] Jamani, jamani, jamani, kwahiyo hata hawa Nancy, Flavian wananyodo?, vipi maoni yako juu ya Lulu?
Kiukweli Flavy hana nyodo i know her ila Nancy sijui..... kuhusu Lulu i pray for her everyday, she is too young to suffer like that.
 
Yap alikuwa namba 1.
Sio mrefu kama wakina Nancy, alifanikiwa nyumbani lakini huko mbele sidhani angefika mbali kwa urefu wake.
Oooh ndio akaona bora atakatishe fedha zetu sasa.... hahahaha acha yamkute.
 
Hollywood sio kama bongo movie kutwa kucha waigizaji wale wale... halafu kupata tuzo hawaangalii umecheza movie ngapi au ni mkongwe wa kiasi gani ila wanaangalia ile movie husika umeichezaje na imepokelewaje ndio maana kuna vipengele vingi.
 
Kiukweli Flavy hana nyodo i know her ila Nancy sijui..... kuhusu Lulu i pray for her everyday, she is too young to suffer like that.
Vipi kuhusu nyodo, Lulu anazo ama hana?, Lulu ni mtoto ki umri ila mambo yake ni zaidi ya mtu mzima, humjui Lulu vizuri nini?
 
Sikatai kuwa inawezekana kuna hizo elements za racism and sexism in Hollywood, lakini pia tutambue kuwa movie awards are somehow unpredictable. Maana hata hao weupe wenyewe wakati mwingine hulalamika.
True, mfano kama Leonardo Dicaprio kacheza movie ngapi maarufu na hakuwahi kupata tuzo ya Oscar mpaka mwaka juzi anakuja kupewa tena kwenye ile REVENANT lol.... ujana wote umempita wima anakuja kutunzwa uzeenim
 
Hua nachukia ukiangalia movie ya whites tupu kama kuna Black lazima afe au lazima apewe character ya ukatili mpaka watu walipoanza kulalamika siku hizi ndio kidooogo imepungua naona hata wachina wanawekwa.

Ila Blacks na wenyewe umeona movies zao?? hawa waweki whites na kama wapo wanakua wapo wapo tu kama wasindikizaji....

Ubaguzi wa rangi hauwezi kuisha milele.
 
hongera kenya , hongera afrika mashariki jirani akipata na wewe umepata
 
Ahahahahaaa kumamae walai acha ntukane tyu si kwa ushindi huo...sura imekaa kibabe zaid
 
Vipi kuhusu nyodo, Lulu anazo ama hana?, Lulu ni mtoto ki umri ila mambo yake ni zaidi ya mtu mzima, humjui Lulu vizuri nini?
Namjua Lulu tangu anatangaza ITV watoto wetu,
nilikua nasema this girl has something maana alikua anapenda kubinua kiuno kama Nyigu (Lol)

Lulu hana Nyodo my dear, she is so humble, charming and Comedian too, kama ungepata nusu saa ya kukaa na Lulu ungeelewa what i mean halafu anapenda sana kucheka (just like me)

Kuhusu kua na mambo makubwa sio makosa yake ni mazingira yalimfanya awe hivyo, that gal ana akili huwezi elewa, ametokea maisha ya dhiki lakini alikataa kuishi kwa dhiki alifata msemo wa Bilionea Bill Gates aliposema "Kuzaliwa Maskini sio kosa lako lakini Kufa maskini ni Kosa lako"

Mpaka sasa Lulu ndio muongoza familia, ana nyumba kadhaa at that age wakati ana dada zake na kaka zake wapo wote kwenye sanaa lakini hakuna wa kumfikia.


joto la jiwe
 

Kama kuna ukweli vile nikiwaangalia Harmonize , Masoud Kipanya na Harmorapa wote wafupi round face
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…