Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i agree with you comrade... spot on.Mabinti wengi wa Kenya hurithi sura za Babu zao.
Pale Nairobi unaitaji kuvaa binoculars kuona walau sura angavu.
Waache ukabila na wahamasishe intertribal marriages walau wapunguze inbreeding.
Interbreeding promotes genetic variability and diversity.
bado haindoi ukweli kwamba wakenya wengi (wadada kwa wakaka) wana sura mbaya.Apparently, miss World Africa 2017 is a Kalenjinian beauty from Kenya.
View attachment 635276
View attachment 635277
View attachment 635278
View attachment 635279
View attachment 635280
15 photos of Kalenjin beauty who was crowned African queen
Hakuna kitu ,naona mtu wa kawaida sanamiss world mzuri sana jaman !
nah nothing.. never knew u play for both sides or are u only a player for the home team mh?She is beautiful and she is my type....
is something wrong???
Kiukweli Flavy hana nyodo i know her ila Nancy sijui..... kuhusu Lulu i pray for her everyday, she is too young to suffer like that.[emoji23] [emoji23] Jamani, jamani, jamani, kwahiyo hata hawa Nancy, Flavian wananyodo?, vipi maoni yako juu ya Lulu?
kwann umecheka??? toa maoni yako tafadhaliUmefanya nimuangalie huyu dada wa Kikenya hapa nikaishia kucheka tu
Hapana mimi siwezi kufurukwann umecheka??? toa maoni yako tafadhali
Oooh ndio akaona bora atakatishe fedha zetu sasa.... hahahaha acha yamkute.Yap alikuwa namba 1.
Sio mrefu kama wakina Nancy, alifanikiwa nyumbani lakini huko mbele sidhani angefika mbali kwa urefu wake.
Hollywood sio kama bongo movie kutwa kucha waigizaji wale wale... halafu kupata tuzo hawaangalii umecheza movie ngapi au ni mkongwe wa kiasi gani ila wanaangalia ile movie husika umeichezaje na imepokelewaje ndio maana kuna vipengele vingi.Haya mambo ni symbolic, ni zaidi ya umahiri wa uchezaji kama wengi wanavyofikiria.
kwa mfano, unafikiri ni kwanini walimchagua Lupita (kutoka Kenya) kucheza ile sinema ya '12' badala ya kuchukua wachezaji wazoefu wa Hollywood kama Sanaa Lathan. Halafu wakaja kumpa na Oscar kabisa tena sinema ya kwanza. Huku wakina Denzel walicheza Hollywood kwa karibu miaka ishirini kabla ya kupata na hata hivyo ilibidi Denzel alalamike ndiyo akapewa.
Vipi kuhusu nyodo, Lulu anazo ama hana?, Lulu ni mtoto ki umri ila mambo yake ni zaidi ya mtu mzima, humjui Lulu vizuri nini?Kiukweli Flavy hana nyodo i know her ila Nancy sijui..... kuhusu Lulu i pray for her everyday, she is too young to suffer like that.
True, mfano kama Leonardo Dicaprio kacheza movie ngapi maarufu na hakuwahi kupata tuzo ya Oscar mpaka mwaka juzi anakuja kupewa tena kwenye ile REVENANT lol.... ujana wote umempita wima anakuja kutunzwa uzeenimSikatai kuwa inawezekana kuna hizo elements za racism and sexism in Hollywood, lakini pia tutambue kuwa movie awards are somehow unpredictable. Maana hata hao weupe wenyewe wakati mwingine hulalamika.
Hua nachukia ukiangalia movie ya whites tupu kama kuna Black lazima afe au lazima apewe character ya ukatili mpaka watu walipoanza kulalamika siku hizi ndio kidooogo imepungua naona hata wachina wanawekwa.Siku tukitengeneza tuzo zetu.. Kujipima kwa vigezo vyetu ndio nitaanza kuwaheshimu washindi.. Nazi ya haya matuzo ni kupromote racial surpemacy agenda..
All bilion dolar grossing movies until recently zilikuwa lazima zichezwe na wazungu.. Kina Denzel wanafanya makubwa hawaonwi.. Black actors wanapewa degrading au parts which contradicts with their values.. Wanawachukua from nowhere na kuwaahidi fame wanalaghaika.. I just don't like it
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]Hapana mimi siwezi kufuru
Labda ukoo wenu ndio mtashindaYakitokea mashindano ya wajinga, lazima TZ ichukue kombe la ushindi.
Hahaha Nimeishia kuchekaKama wewe ni mtanzania basi sio riziki
Namjua Lulu tangu anatangaza ITV watoto wetu,Vipi kuhusu nyodo, Lulu anazo ama hana?, Lulu ni mtoto ki umri ila mambo yake ni zaidi ya mtu mzima, humjui Lulu vizuri nini?
impact ya ukabila iyo wanyarwanda nao kuoana ndugu. ( hujui kaka na shemeji ni yupi wanafanana)
back home Tz wamakonde wahamishiwe msumbiji au makumbusho ya taifa pia coz wamebaki kuoana wao kwa wao tu hawajichanganyi jamii mzima ni wafupi round face, similar nose oooh boaring