Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Kama si TEETH kuhamisha goli na kutuondoa kwenye FOCUS basi Poleni ndugu ,jamaa na marafiki.View attachment 3702462 Picha hii ilichukukiwa siku tano zilizopita alipohojiwa na ThatBoyKhalifa wa The Chanzo. Je ni kweli kafariki ? Nini chaweza kuwa chanzo cha kifo? Michezo mibaya ya kisiasa? Au stress ya mdogo wake kusubiri hukumu ya kifo dhidi ya kesi ya uhaini huku akina Heche na Maria na Mange wakikataa maridhiano
Aiseee ,inauma sana.Taarifa hii itamuumiza sana TL ooh💔
Nadhani kila mtu anaumizwa na kifo cha ndugu yake lakini kwa TL itakua double kutokana na situation aliyonayoAiseee ,inauma sana.