TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

TANZIA Wakili Alute Lissu Mughwai (kaka wa Tundu Lissu) afariki Dunia

Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.

Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose ametueleza kuwa kwa sasa hawezi kuzungumza lolote huku akitueleza kuwa msiba upo jijini Arusha.

"Ni taarifa za kweli msiba upo Arusha na mimi naelekea huko" alisema Rose kwa ufupi.
Inawezaka vipi afariki mara baada ya kufanya Interview ile? tutahitaji kujua aliongea na Kiongozi gani mkuu serikalini ambaye hakutaka ajulikane, CCM mnahusika na kifo hiki kwa 100%
 
View attachment 3702462

Picha hii ilichukukiwa siku tano zilizopita alipohojiwa na ThatBoyKhalifa wa The Chanzo. Je ni kweli kafariki ? Nini chaweza kuwa chanzo cha kifo? Michezo mibaya ya kisiasa? Au stress ya mdogo wake kusubiri hukumu ya kifo dhidi ya kesi ya uhaini huku akina Heche na Maria na Mange wakikataa maridhiano
Kuna watu mwisho wao utakuwa mbaya sana kwa haya wanayowafanyia wenzao.
 
Back
Top Bottom