Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Hawa watu wanabadilisha watu neutral kwenda nao against...

Why kutumia nguvu Kiasi hiki

Mimi kama mtanzania naona ifike wakati sasa sio tuangalie tu huu Mkataba bali kuhakikisha kwamba mikataba yote kuanzia huu wa sasa na ijayo yote inakuwa wazi (Transparency)
 
Hakuna jipya. Hata wakili Nshala mwenyewe alipotamka maoni yake yale kwa uchungu alikuwa akijua fika itaishia hivi. Hapa nyumbani maisha ya kutishana yalishakuwa sehemu ya maisha yetu. Ukweli kwa wakubwa hautakiwi kusikika maana unauma.
 
Hakatazwi mtu kukosoa lakini namna ya kukosoa watu imefikia mpaka kuandaa maandamano na mikutano na kutoa manano machafu kwa Rais na kileta ubaguzi, lazima aitwe ajieleze nini hasa lengo lake.
 
Anza wewe toka barabarani na family yako
 
Hii safi sana, maana kuna watu wanasambaza uongo, inatakiwa upelelezi chunguze namba zote wanazowasiliana nazo kwa simu na kwa messgaes. Vyanzo vitajulikana tu.

Hii ni vita ya kiuchumi kwa nchi yetu. Aidha watangazie waende wenyewe kwenye vyombo vya uchunguzi au waitwe nanmna hii.


Nashauri watazamwe ma group yao yote ya wharsapp, telegram, twitter, facebook na jadhalika. Ili vyanzo vijulikane.

Mimi nakisia. vyanzo vya haraka haraka:

1) Anna Tibaijuka.
2) karamagi
3) Adani
4) AD Ports
5) DP World
6) Wakurugenzi waliovunjiwa bodi yao bandarini.
9) Wakurugenzi wa shirika la meli lilitojajwa namba moja.
10) Taasisi za kidini.
 
Samia hana lolote.

Hana tofauti yoyote na waliomtangulia.

Ni empty suit kabisa.

Hoja kaishiwa na sasa anatumia mabavu tu.

Watu waachwe waseme. Waachwe waandamane. Ni haki yao.

Kama huo mkataba hauna dosari yoyote kwa nini wanatumia nguvu kunyamazisha na kutisha watu?

That woman is wholly incompetent.
 
Nidhamu ya uwoga ilitengenezwa back in the day na Nyerere himself , hata alipoondoka madarakani alitoa kauli za kukemea hiki kitu.
Miaka ya hapa kati imekuwa branded, inaitwa uzalendo na wanasiasa.

Hii kitu ndio imetengeneza kizazi cha hovyo
Kale kamzimu ndiyo kansa ya taifa lilipofikia. Sijawahi kumpa heshima.
 
Anzaxkujitokeza wewe,utajua hujui.
 
Kosa gani la jinai ambalo DCI anamtuhumu huyu wakili? Mbona hajalitaja kwenye hiyo summon yake? Kwa mjibu wa Police Standing Orders, polisi wanapaswa kumjulisha mtuhumiwa kosa la jinai analotuhumiwa.
 
Ukikosea usikosolewe kisa Mwanamke,la!
 
Hii safi sana, maana kuna watu wanasambaza uongo, inatakiwa upelelezi chunguze namba zote wanazowasiliana nazo kwa simu na kwa messgaes. Vyanzo vitajulikana tu.

Hii ni vita ya kiuchumi kwa nchi yetu. Aidha watangazie waende wenyewe kwenye vyombo vya uchunguzi au waitwe namna hii.

Nashauri watazamwe ma group yao yote ya wharsapp, telegram, twitter, facebook na jadhalika. Ili vyanzo vijulikane.

Mimi nakisia. vyanzo vya haraka haraka:

1) Anna Tibaijuka.
2) karamagi
3) Adani
4) AD Ports
5) DP World
6) Wakurugenzi waliovunjiwa bodi yao bandarini.
9) Wakurugenzi wa shirika la meli lilitojajwa namba moja.
10) Taasisi za kidini.
11) Sukuma gang
12) Vyama vya siasa ikiwemo CCM yenyewe.

Naamini wengi humu JF ni makondoo tu yaliyokosa mchungaji. Vyanzo vitajulikana tu.

nawapa pongezi sana serikali kwa kuanza kuchukuwa hatua. Maana uongo ukizidi utaonekana ni ukweli.
 
Huu ndio ukweli.
 
UDCI wenyewe aliupata kama zawadi baada ya kumnyanyapaa Mwamba Abubakhari Mbowe kwa kumbambikia makosa ya ugaidi PUMBAFU! Onyesha hapo alipovuka mpaka
 
Waandishi wa habari huru, wenye youtube channels zao.

Waitwe mmoja mmoja na kujieleza ni nani anawalipa.

Simu na mawasiliano yao yachunguzwe kwa kina. Naamini serikali inaweza kufanya uchunguzi mzuri na wa haraka na unaofata sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…