Wakili Dkt. Rugemeleza Nshala(PhD) aitwa Polisi kutokana na maoni yake kuhusu bandari

Wewe ni hewa kabisa 🤣 unasikitisha.
 
Dr, Nashala anatakiwa aende saa tisa alfajiri (asubuhi) kama alivyo ambiwa ktk barua ya wito. Atakuta ofisi ya DCI imefungwa anarudi zake nyumbani kulala.
Hakuna kesi tena alishatii wito.
Hahahah saa 9 asubuhi🤣
 
Ebu iweke hiyo mipaka na utuambie sheria inayoweka hiyo mipaka.

Kama wanaona ana jinai,wampeleke mahakamani ili ujinga wao umaonekane wazi, siyo kumtishia.
Hahahah sahizi uhuru wa maoni ni wa kusifu na kumtukuza kiongozi. Ukionekana unatoa maoni yanayokuwa kinyume na kusifu maana yake unapewa kesi ya jinai. 🤣
 
Haya mambo haya ila jamaa alikuwa anapoint nzuri kuhusu huo mkataba ila kauli hasi na zakebehi zinaaribu lengo la maoni yake Mungu amjalie awe na mwisho mwema.
 
Tusingefika huku kama Bunge lingefanya wajibu wake inavyopaswa.
 
Waandishi wa habari huru, wenye youtube channels zao.

Waitwe mmoja mmoja na kujieleza ni nani anawalipa.

Simu na mawasiliano yao yachunguzwe kwa kina. Naamini serikali inaweza kufanya uchunguzi mzuri na wa haraka na unaofata sheria.
Wewe nani anakulipa waanze na wewe
 
Nguvu yote hii ni kwa ajili ya kunyamazisha watu wasiukatae mkataba ambao hauko sawa tu ama kuna jingine.
 
Haya sasa mliokuwa mkimshangilia wakati anamtukana Rais, kama mna upendo nae huu ndio wakati wa kuongozana nae mpaka kwa DCI ili mkamtetee.
 
Waliozoea kula nyama ya mbwa wameanza,punde tutaanza kusikia fulani katekwa na watu wasiyojulikana na viroba vilivyosheheni raia wema vitafufuka tena.
 
Ofisi gani inaanza kuandika na namba 2 badala ya 1? Na ofisi gani hiyo ambayo ina saa 09:00 asubuhi? Saa 09:00 (saa 9), ni alasiri siyo asubuhi!

Wahusika wa ofisi wakajifunze kuhesabu, kuandika na kusoma saa za Kiswahili na Kiingereza.
 
Kwa sasa bado ni malalamiko tu siku mkijitambua hamtotawaliwa.
Mbona mumetuletea majeshi , kambi kila mtaa , usalama wa taifa mpaka wengine wanavaa kimasai, hujaingiza askari kutoka Burundi mliowakodi wakati wa uchaguzi kuja kupiga watu

Yaani watu milioni 2 tupigane na watu milioni 60 , ??

Yaani mtu mmoja apigane na watu 30

Dawa ni kuwala chini kwa chini kama mchwa , endeleeni kulia na bandari kwanza
 
Kwani kuna ubaya gani wakati ndio serikali yako unayoipenda.
 
Ni FUTUHU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…