Wakili Edward Heche atangaza kumuunga mkono Tundu Lissu aseme ni mtu pekee anayechukia rushwa kwa moyo na roho yake yote

Kama tunataka kweli mabadiliko ya kweli kwenye chadema na taifa letu, lissu ndo mtu pekee. Kuendelea na mbowe ni kuendelea yaleyale
raia wanabadilika? wanaweza yale ya Msumbiji au Kenya? Kama hatuwezi movement basi twende na Mbowe tu,
 
Ni kweli, mbowe anaweza kushinda kijanja huko chadema, lakini kwa umma itakuwa ni shughuli nzito kuungwa mkono

Watanzania wengi ni waandamanaji na wapiga porojo tu mitandaoni. Bora ubaki na wachache unaowaamini kuliko kujipa matumaini kuwa kuna nguvu ya umma itakusapoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…