milele amina
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 6,045
- 8,080
Swali halijibu swali!Wewe unadhani anaishi wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali halijibu swali!Wewe unadhani anaishi wapi
Haahaa Kuna siku chadema itawahitaji hao mawakili, chadema wachague maneno, wanamuhitaji Kila mtuMawakili niwakumbushe! Uchaguzi ujao sio wa kumchagua Rais wa TLS,bali ni uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chadema Taifa!
Nani kakwambia hatashinda? Mbowe akiwa mwenyekiti, samia atashinda parefuHata Saa100, uvhaguzi ujso,hatashida,ila ataongoza nchi
Sidhanianapiga kura?
Muone nini? huwa una coment za ajabu sana wewe, ni lazima ku coment kila post?
amesema anagombea Uraisi?Ni kweli, mbowe anaweza kushinda kijanja huko chadema, lakini kwa umma itakuwa ni shughuli nzito kuungwa mkono
raia wanabadilika? wanaweza yale ya Msumbiji au Kenya? Kama hatuwezi movement basi twende na Mbowe tu,Kama tunataka kweli mabadiliko ya kweli kwenye chadema na taifa letu, lissu ndo mtu pekee. Kuendelea na mbowe ni kuendelea yaleyale
AKisema tutoke Barabarani tutatoka? shida yangu iko hapo tu basi, Siasa za Kiharakati ni za Barabarani na wabongo sisi ni ma Keybord worrior tu.Ni wakati wa Lissu
Ni kweli, mbowe anaweza kushinda kijanja huko chadema, lakini kwa umma itakuwa ni shughuli nzito kuungwa mkono
Tanganyika kwani bado ipo!?Lissu anaishi wapi? Ili tusije kumchagua mwenyekiti asiye na makazi Tanganyika!
Nchi hii imejaa watu wajinga na wapumbavu.Mawakili niwakumbushe! Uchaguzi ujao sio wa kumchagua Rais wa TLS,bali ni uchaguzi wa kumchagua Mwenyekiti wa chadema Taifa!
Nikisema Tanzania bara utaelewa.Tanganyika kwani bado ipo!?