Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Kama sio nyoka ungekuta tunatembea zetu uchi fresh kabisa. Ukipata mchumba kabla haujasema Yes or no unapima ni inch ngapi kabisa.
nyoka kwa wazungu huko, huku sie nguo zimeanza kuvaliwa kipindi cha mkoloni, na sielewi mbona kabla walikua hawabakani, unajipitisha mbele ya wajomba vitako wazi
 
Sasa inch si inakua tofauti kutokana na mazingira? Au kama mtu hajavaa nguo inakua kudumu Chama Cha Mapinduzi muda wote?

Au wewe unataaluma ya kuangalia tu unajua kukadiria?
Kuna namna ukiiona unajua hii ni inch kadhaa ikisimama lazima zifike inch kadhaa
 
Tunatamani tumuone uchi wa mnyama tone anakuwaje wakili tafadhali.
 
nyoka kwa wazungu huko, huku sie nguo zimeanza kuvaliwa kipindi cha mkoloni, na sielewi mbona kabla walikua hawabakani, unajipitisha mbele ya wajomba vitako wazi
Ukiiona ona sana unaizoea inakuwa haisisimui tena ndio maana. Ila ikifichwa fichwa halafu paap ukaoneshwa lazima mapigo ya moyo yabadilike
 
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.

Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.

Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Getrude anza wewe,alaf katiza mitaa ya mwembe yanga pale tandika,uone wahuni wa tandika watachokufanya,then wakishakufanyie uone kama sheria haitafuata mkondo wake!!
 
Aisee, Sasa Kwa maelezo yake hayo mazuri ni ipi Sasa tufuate.

Je tuseme maadili Yana nguvu kuliko Sheria!🤔.
Ipi Bora, tufuate Sheria au tufuate maadili.

Wazungu na Wachina hawanaga mvuto, ndio maana kesi za ubakaji ni chache.
Ila ngozi nyeusi, kialabu, kihindi zinamvuto.

Atupie kapicha basi ambako aliwahi piga akiwa akiwa naked au basi hata amevaa chupi au bikin ili kizazi Cha Leo kimwelewe haraka msomi wetu wa haki za binadamu.

Usomi Raha Sana.
 
Back
Top Bottom