Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Hivi na wewe kweli unaamini hizo soga za sadiki na chitemo?Wewe hata sikujibu maana sio believer wa hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi na wewe kweli unaamini hizo soga za sadiki na chitemo?Wewe hata sikujibu maana sio believer wa hiyo
Ukitembea uchi naamini hamna atakayekutamaniUkitembea uchi una chance kubwa sana ya kutamaniwa
Udindaji una tofautiana, zingine zina dinda kwa kupinda kwenda kushoto au kulia,zingine kwenda juu,kazi kwako mtaalamu wa vipimo!!Inapimwa vizuri tu. Unaongeza za kudinda.
Kutembea uchi mwanangu hajawahi. Mimi sikuzaliwa na nguo ila pia sijawahi kutembea uchiKwani huyo mwanao mdogo ni nyani? Au wewe ulizaliwa ukiwa umevaa nguo?
Sana. Mimi kuhusu Biblia na huyu Yesu huyu huniambii kituHivi na wewe kweli unaamini hizo soga za sadiki na chitemo?
We ujuiUkitembea uchi naamini hamna atakayekutamani
Hata ikijipinda kama inataka kutengeneza nusu duara inapimikaUdindaji una tofautiana, zingine zina dinda kwa kupinda kwenda kushoto au kulia,zingine kwenda juu,kazi kwako mtaalamu wa vipimo!!
Ingeleta shida sana, wanawake wangejaa kwa inch 12 wengine wangekosa!Kama sio nyoka ungekuta tunatembea zetu uchi fresh kabisa. Ukipata mchumba kabla haujasema Yes or no unapima ni inch ngapi kabisa.
No wonder Mawakili wetu ni wa 'hapahapa', ima maana huyo hajui kwamna kuna sheria zinazolinda maadili? Anawezaje kusema kuvunja maadili siyo kosa kisheria?
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.
Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.
Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Shepu vp anayoGetrude Dyabene nguo nawe unazovaaga sijajua ulilelewa wapi na akina nani! Kwa bahati sura Yako Haina mvuti kivile
Sasa hilo kosa kimaadili linashughulikiwa wapi?
"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.
Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.
Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Hapo ukute za/ ya ndani hana!Inaonekana anapenda sana kukaa uchi.
Hao ujinga na kutoishi na jamii nyingine ndiyo vinavyowavuruga hakuna mila ya kijinga kama hiyo kwa kabila lolote.Ungekuwa ulizaliwa kando ya ziwa usingeuliza swali hilo, huko wanaume na wanawake huwa uchi japo kutofautisha maeneo.
Acha utani wa majivuno, watoto wote duniani walitembea na wanatbea uchi, ungewahi kuishi kando ya ziwa usingekuwa unabisha pia kumjibu mwanasheria huyu mtajie kifungu cha sheria ambacho huenda yeye hakijui.Kutembea uchi mwanangu hajawahi. Mimi sikuzaliwa na nguo ila pia sijawahi kutembea uchi
Kila wakati anauwaza mkuyenge tu ndiyo maana muda wote anafikiria kukaa uchi tu,atakuwa na udugu na shetani sio bure.Hapo ukute za/ ya ndani hana!
Lazima upstairs patakuwa pamepata short circuit (pamepigwa short kubwa).Ukitembea uchi naamini hamna atakayekutamani
Mliozaliwa mjini mnajiona mmeendelea sana kuliko huko ulaya ambako nao baharini huwa uchi.Hao ujinga na kutoishi na jamii nyingine ndiyo vinavyowavuruga hakuna mila ya kijinga kama hiyo kwa kabila lolote.
Anazungumzia mahakamani si barazani.Sasa hilo kosa kimaadili linashughulikiwa wapi?
Kwa kuzingatia kifungu cha 30(2)(b) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria itungwe, kama haipo, kulinda maadili ya jamii kwa sababu naona mpango wa baadhi ya wanawake kuanza kutembea bila nguo unakaribia kutekelezwa; hapa tunaandaliwa tu kisaikolojia.
Ila yeye atoke tu bila nguo, lazima tutapata sheria ya kumbania, mfano, kuleta tahaluki kwa jamii au kuwa-abuse minors!
Kama kweli wanaheshimu mila zao kwanini basi wakitoka huko wakienda mijini wanaacha hizo mila na tamaduni zao? Ndiyo maana nakwambia ni ujinga tu au hata kushindwa kununua hizo nguo zenyewe lakini wanajificha kwenye mila.Mliozaliwa mjini mnajiona mmeendelea sana kuliko huko ulaya ambako nao baharini huwa uchi.