Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Huyo wakili aanze kutembea yeye Uchi aoneshe mfano

Ova
 
Kwanini katolea mfano hilo la kutembea uchi?
Anataka waelewesha wanajisumbua juu ya mavazi ya wanawake et sio maadili ya kiafrica .au hajui mabibizetu wazaa babu walikuwa wanatembea makalio na matiti wazi
 
Ukiiona ona sana unaizoea inakuwa haisisimui tena ndio maana. Ila ikifichwa fichwa halafu paap ukaoneshwa lazima mapigo ya moyo yabadilike
ila kweli ndo maana watu huchepuka,,,,unakaa weee unaiona ya mke/demu wako kila siku hadi unakua huna msisimuko ila ukitoka nje ukiona mpya hamu inakuja kama una upwiru wa miaka
 

"Tuna masuala ya kisheria na masuala ya kimaadili. Mfano nikitoka hapa kwenye kipindi nikasaula nguo zangu, nikashuka chini nikaanza kutembea sina chochote sio kosa la kisheria lakini ni kosa la kimaadili.

Na hamtoniamini kunileta kwenye kipindi kwa sababu kimaadili sio kitu sahihi lakini sio kosa kisheria kwamba huyu mtu ametembea uchi, sio kosa.

Kwahiyo inapofikia hatua mtu anasema nguo wanazovaa wanawake zinawashawishi wanaume wawabake sio kweli" - Wakili Getrude Dyabene, Kutoka Kituo Cha sheria na haki za Binadamu (LHRC)
Getrude Dyabene nguo nawe unazovaaga sijajua ulilelewa wapi na akina nani! Kwa bahati sura Yako Haina mvuti kivile
 
Aisee, Sasa Kwa maelezo yake hayo mazuri ni ipi Sasa tufuate.

Je tuseme maadili Yana nguvu kuliko Sheria!🤔.
Ipi Bora, tufuate Sheria au tufuate maadili.

Wazungu na Wachina hawanaga mvuto, ndio maana kesi za ubakaji ni chache.
Ila ngozi nyeusi, kialabu, kihindi zinamvuto.

Atupie kapicha basi ambako aliwahi piga akiwa akiwa naked au basi hata amevaa chupi au bikin ili kizazi Cha Leo kimwelewe haraka msomi wetu wa haki za binadamu.

Usomi Raha Sana.
Tatizo lako umejichimbia Kinondoni na kudhani dunia yote iko kama Kinondoni, tembelea Gugo uone nchi ambazo zina watu hawajui kuvaa nguo.
 
Back
Top Bottom