Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Huyo wakili aanze kutembea yeye Uchi aoneshe mfano

Ova
 
Kwanini katolea mfano hilo la kutembea uchi?
Anataka waelewesha wanajisumbua juu ya mavazi ya wanawake et sio maadili ya kiafrica .au hajui mabibizetu wazaa babu walikuwa wanatembea makalio na matiti wazi
 
Ukiiona ona sana unaizoea inakuwa haisisimui tena ndio maana. Ila ikifichwa fichwa halafu paap ukaoneshwa lazima mapigo ya moyo yabadilike
ila kweli ndo maana watu huchepuka,,,,unakaa weee unaiona ya mke/demu wako kila siku hadi unakua huna msisimuko ila ukitoka nje ukiona mpya hamu inakuja kama una upwiru wa miaka
 
Getrude Dyabene nguo nawe unazovaaga sijajua ulilelewa wapi na akina nani! Kwa bahati sura Yako Haina mvuti kivile
 
Kama sio nyoka ungekuta tunatembea zetu uchi fresh kabisa. Ukipata mchumba kabla haujasema Yes or no unapima ni inch ngapi kabisa.
Zipo nchi nyingi tu pamoja na Tanzania watu wanatembea uchi, tatizo ni kutoyafikia maeneo hayo ya katikati ya Tanzania.
 
Tatizo lako umejichimbia Kinondoni na kudhani dunia yote iko kama Kinondoni, tembelea Gugo uone nchi ambazo zina watu hawajui kuvaa nguo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…