Wakili Getrude LHRC: Kutembea bila Nguo sio kosa Kisheria

Udindaji una tofautiana, zingine zina dinda kwa kupinda kwenda kushoto au kulia,zingine kwenda juu,kazi kwako mtaalamu wa vipimo!!
Hata ikijipinda kama inataka kutengeneza nusu duara inapimika
 
Kama sio nyoka ungekuta tunatembea zetu uchi fresh kabisa. Ukipata mchumba kabla haujasema Yes or no unapima ni inch ngapi kabisa.
Ingeleta shida sana, wanawake wangejaa kwa inch 12 wengine wangekosa!
 
Mavazi ni kipimo cha maadili ya mtu,huwezi vaa nusu uchi kama hauna pepo la ngono
 
No wonder Mawakili wetu ni wa 'hapahapa', ima maana huyo hajui kwamna kuna sheria zinazolinda maadili? Anawezaje kusema kuvunja maadili siyo kosa kisheria?
 
Sasa hilo kosa kimaadili linashughulikiwa wapi?
Kwa kuzingatia kifungu cha 30(2)(b) cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria itungwe, kama haipo, kulinda maadili ya jamii kwa sababu naona mpango wa baadhi ya wanawake kuanza kutembea bila nguo unakaribia kutekelezwa; hapa tunaandaliwa tu kisaikolojia.
Ila yeye atoke tu bila nguo, lazima tutapata sheria ya kumbania, mfano, kuleta tahaluki kwa jamii au kuwa-abuse minors!
 
Ungekuwa ulizaliwa kando ya ziwa usingeuliza swali hilo, huko wanaume na wanawake huwa uchi japo kutofautisha maeneo.
Hao ujinga na kutoishi na jamii nyingine ndiyo vinavyowavuruga hakuna mila ya kijinga kama hiyo kwa kabila lolote.
 
Kutembea uchi mwanangu hajawahi. Mimi sikuzaliwa na nguo ila pia sijawahi kutembea uchi
Acha utani wa majivuno, watoto wote duniani walitembea na wanatbea uchi, ungewahi kuishi kando ya ziwa usingekuwa unabisha pia kumjibu mwanasheria huyu mtajie kifungu cha sheria ambacho huenda yeye hakijui.
 
Anazungumzia mahakamani si barazani.
 
Mliozaliwa mjini mnajiona mmeendelea sana kuliko huko ulaya ambako nao baharini huwa uchi.
Kama kweli wanaheshimu mila zao kwanini basi wakitoka huko wakienda mijini wanaacha hizo mila na tamaduni zao? Ndiyo maana nakwambia ni ujinga tu au hata kushindwa kununua hizo nguo zenyewe lakini wanajificha kwenye mila.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…