Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

Lione jioga! Ukiona kitu kinakuchekesha unafanyaje?
Mkuu ushujaa mwingine wa kijinga, sasa anachekea akiwa ameshikiliwa ndani ya mahabusi.
Wewe unawatia upepo wengine upo kwako unakula na kulala pazuri.
 
Kiukweli inakera sana inamaana alikosa kitu cha kuchekesha mpaka achukue picha ya raisi?

Vijana wanakosa adabu anasahau kuwa magufuli ukiachana na ukuu Wa nchi pia ni baba Wa watoto wakubwa tu, ni babu ni mjomba..
Leo hii unaikuta picha ya baba yako wanaidhihaki. Kiukweli hata mm nisingekubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
This is very sad. This is a wrong attitude and will end up
It is sad and unfortunate to intimidate people. The effect is a reaction towards the establishment
 
This is very sad. This is a wrong attitude and will end up
It is sad and unfortunate to intimidate people. The effect is a reaction towards the establishment
 
Kusema kweli inachekesha lakini si unajua tena mkubwa hachekwi? Wengine tulicheka kimyakimya yakaisha, ila yeye kiherehere ndio kinamponza.


Sent from my iPhone using JamiiForums
Cha ajabu siku ya kwanza kuiona nilicheka kidogo tofauti na nilipoona clip ya Idris,hapo ndio cheko lilitoka hadi machozi.
 
Aaah, jomba wacha hizo, miaka ya '90 mbona suti za maana zilikuwapo!!

Kama ulikuwa mkubwa miaka hiyo utakumbuka hili, kuna picha za ‘Nkapa’ pia kipindi hicho majanga tupu.... sema huyu Mzee wetu hadi leo pigo zake za kijima tu.

Namhala wing’we alemugoola atadebile kuzwala chiza. [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Cha ajabu siku ya kwanza kuiona nilicheka kidogo tofauti na nilipoona clip ya Idris,hapo ndio cheko lilitoka hadi machozi.

Basi mpelekee tende akapate kufutari Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Basi mpelekee tende akapate kufutari Mkuu [emoji28][emoji28][emoji28]


Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu sie kazi yetu ni hashtag tu huku tumejificha nyuma ya keyboard.

#FreeIdrisSultan 😂 😂
 
huyu nae anastahili kukamatwa au yupo sawa?
 
Biology kuna kitu nilisoma kinaitwa automatic reflex action...aisee iyo pichwa sema ukioona biology huwa inaaply hapo fasta...kosa la dogo ni kujirekodi na kusambaza ila sio kucheka...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kusambaza picha ukicheka Ni kosa?.
Labda tuseme mtu umezidiwa furaha,utalia au utacheka,as a reflex action?
 
Tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…