Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI.

Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu.

Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter Madeleka kupitia mazungumzo ya Mtandao wa Clubhouse amewataja kwa majina Vijana waliomteka kwa majina yao na kusema ya kwamba anawajua mpaka sura zao. Ndugu Madeleka ambaye ni wakili wa kujitegemea wa ameyataja majina ya Commando,Jimmy Jones na Ado ambaye alikua mwanasheria wa shirikisho la wasanii nchi kua ni watu waliomteka, Wakili amethibisha kwa kusema ya kwamba walipomteka walikua wakimwekea Audio Clips zenye sauti za watu wakilia wakiliwalawitiwa,wengine wakipigiwa misumari, wengine waking'olewa meno,wengine wakipigwa short ya umeme ili aweze kutishika, amesema aliwatambua kwa majina hayo kwa sababu kwenye sauti hizo za Audio wakiwa wanafanya unyama huo wanatajana kwa majina hayo hayo ya Commando,Jimmy Jones na Ado ambayo pia wanayatumia kwenye mtandao wa Clubhouse na sauti zao hizo hizo.

Jimmy Jones,Commando,Ado,Jordan Balindo na Wengine wanatajwa kujifanya kua ni waanzilishi wa mijadala mbali mbali katika mtandao wa Clubhouse kupitia chamber zao za PATRICEUMUMBA na COURT ROOM lengo lao likiwa ni kuhamisha mijadala ya kitaifa inayoendelea nchini, wanaweza kujifanya kua wako serious sana kuleta jambo lenye kuibua hisia na kujifanya wana uchungu sana kumbe lengo lako ni kuhamisha mijadala ya kitaifa.

Vijana hawa nao wanatajwa umri wao kua miaka 30-40 wapo katika mitandao yote ya kijamii ikiwa Tweeter, Makundi ya Watsap, Instagram,Facebook nk.Kazi yao ni kuilinda CCM na serikali yao.

Mungu anendlee kuwaomumba na wengine wapuuzi wenye tabia kama hizi. Isiwe tunahangaika na suala la maridhiano lakini hawa hawalali wanafanya kazi za kukwamisha juhudi Mheshimiwa Rais.
Kwa hiyo kina Jimmy, Komandoo, na Ado ni misukule ambayo tunatakiwa kuitafuta kuiteka kuifungia shimoni hadi itueleze ndugu zetu waliotoweshwa wako wapi?!! Mambo si mambo!
 
Kwa hiyo kina Jimmy, Komandoo, na Ado ni misukule ambayo tunatakiwa kuitafuta kuiteka kuifungia shimoni hadi itueleze ndugu zetu waliotoweshwa wako wapi?!! Mambo si mambo!
Hao ndo wakukamata hao hao !!
 
Na hii nayo ni Breaking News...!!
Ina maana wewe ulikuwa unafahamu tayari kwamba Commando amelawiti watu?
Sasa,hapa thinking siyo clear. Message siyo clear. Analaumiwa Commando au inalaumiwa TISS au wanalaumiwa wote TISS na Commando?
Mimi napinga sana TISS kufanya mambo ya ovyo. Nafikiria Ile passage katika kitabu cha Ayubu ambapo Mungu anamwambia Shetani:"Kamtese Ayubu mwili wake,lakini usiidhuru roho yake."
Na huyu Madeleka ni nani? Ndiyo yule wakili wa Arusha aliyekuwa na matatizo sisku za karibuni?
Na Club house ni nini? Na Courtroom?
 
..kuna mamlaka ndani ya vyombo vya dola ziliwezesha kundi la wasiojulikana kuteka, kutesa, kuua, etc.

..kundi la wasiojulikana lisingweza kutamba kwa kiasi kile kama lisingekuwa na baraka na msaada wa mamlaka zinazoweza kuchunguza, kukamata, na kushtaki, wahalifu nchini.

NB:

..Mdude Nyagali amewatambua na kuwataja waliomteka na kumtesa lakini hajatendewa haki leo. Ametaja hata mahali / nyumba aliyopelekwa kuteswa na kituo cha polisi alichotolewa.
 
Back
Top Bottom