DuuhAdo ni mafia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuuhAdo ni mafia
Wewe ni miongoni mwa watekaji?Huyo wakili kuna uwezekano mkubwa akawa hayupo sawa kisaikolojia anahitaji msaada.
Anaumwa ugonjwa wa kutafuta umaarufu.
Kuna nini mbona kama unaanza ku panicHuyu anaenda kuomba habeas corpus kisutu? Really? Hiyo ni exclusive jurisdiction ya High Court
Kwa madeleka hapo Kuna boga tu, hakuna wakili, kichwani amejaa pumbaKuna nini mbona kama unaanza ku panic
🤣🤣Hivi clubhouse NI wapi huko mbona Mimi siujui huo mtandao nasikia sikia tu
Tuwekee piacha yake boss tumjue huyo shwainKwa Yule jamaa anayejiita commando ni sahihi kabisaa hata kule clubhouse anajulikana na mtu hatari..
hawa akina Jimmy ni vijana wa tiss
We ni mmoja wao bila shakaHuyo wakili kuna uwezekano mkubwa akawa hayupo sawa kisaikolojia anahitaji msaada.
Anaumwa ugonjwa wa kutafuta umaarufu.
Huyu ni wakili ati? Anajua kabisa taratibu za kisheria. Anaacha kwenda Polisi badala yake anakwenda Club ya walevi wa uhuru wa maoni! Ni kama kuchafua watu tu. Huu si utaratibu mzuri na unahatarisha maisha ya watu. Wakili kakosea sana! 🙏🙏🙏WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI.
Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu.
Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter Madeleka kupitia mazungumzo ya Mtandao wa Clubhouse amewataja kwa majina Vijana waliomteka kwa majina yao na kusema ya kwamba anawajua mpaka sura zao.
Ndugu Madeleka ambaye ni wakili wa kujitegemea wa ameyataja majina ya Commando, Jimmy Jones na Ado ambaye alikua mwanasheria wa shirikisho la wasanii nchi kua ni watu waliomteka, Wakili amethibisha kwa kusema ya kwamba walipomteka walikua wakimwekea Audio Clips zenye sauti za watu wakilia wakiliwalawitiwa, wengine wakipigiwa misumari, wengine waking'olewa meno, wengine wakipigwa short ya umeme ili aweze kutishika, amesema aliwatambua kwa majina hayo kwa sababu kwenye sauti hizo za Audio wakiwa wanafanya unyama huo wanatajana kwa majina hayo hayo ya Commando, Jimmy Jones na Ado ambayo pia wanayatumia kwenye mtandao wa Clubhouse na sauti zao hizo hizo.
Jimmy Jones, Commando, Ado, Jordan Balindo na Wengine wanatajwa kujifanya kua ni waanzilishi wa mijadala mbali mbali katika mtandao wa Clubhouse kupitia chamber zao za PATRICEUMUMBA na COURT ROOM lengo lao likiwa ni kuhamisha mijadala ya kitaifa inayoendelea nchini, wanaweza kujifanya kua wako serious sana kuleta jambo lenye kuibua hisia na kujifanya wana uchungu sana kumbe lengo lako ni kuhamisha mijadala ya kitaifa.
Vijana hawa nao wanatajwa umri wao kua miaka 30-40 wapo katika mitandao yote ya kijamii ikiwa Tweeter, Makundi ya Watsap, Instagram, Facebook nk.Kazi yao ni kuilinda CCM na serikali yao.
Mungu anendlee kuwaomumba na wengine wapuuzi wenye tabia kama hizi. Isiwe tunahangaika na suala la maridhiano lakini hawa hawalali wanafanya kazi za kukwamisha juhudi Mheshimiwa Rais.
View attachment 2325327
Halafu ukute baadhi ya watumaji wa hao watekaji bado wapo maofisini wakitafuna Kodi za wananchi 🙄Jamii Forums kweli imepoteza hadhi. Ingekuwa zamani zile ikijulikana kama where we dare, mpaka sasa si majina tu bali hata picha za hawa wanyama (kwa kweli hawa si binadamu!) zingetapakaa kila moja azione.
Fikiria eti kwa tofauti za kisiasa tu, Mtanzania anamteka Mtanzania mwenzake na kumfanyia unyama kama unavyosimuliwa. Halafu bado wengiine wako humu humu wakibeza ujasiri wa Wakili Madeleka kuwataja hadharani.
Inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha...
Polisi gani?Huyu ni wakili ati? Anajua kabisa taratibu za kisheria. Anaacha kwenda Polisi badala yake anakwenda Club ya walevi wa uhuru wa maoni!
Nakazia ✍️✍️Sasa sisi tuende ofisi za Tiss tunaendaje ndugu? tunazijua!? hata huko polisi tutaenda kuulizaje kwamba namtafuta Ado , au huyo Jimmy ? Mbona mnatupa sisi common wananchi kazi ya ziada.
Kikubwa tuwajue, au tuwaepuke au tuwindane for street justice! Mtaa haujawahi kushindwa ukiamua!
Wekeni picha yake hapa vinginevyo ni umbea!Ado ni mafia
Huyu wakilimwanasiasa huwa simwelewi kabisaHizo ni allegations. Alete sasa uthibitisho pasi na shaka.