Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Hili ni tatizo la kimaaidili kwa hao walawiti, unapomlawiti mtu inakuwa umeamua kumpa adhabu? Unajuaje hiyo ni adhabu kwake na si starehe?

Unapotaka victim ajisikie vibaya kwa kulawitiwa, au achekwe wewe kama mlawiti unakua katika position ipi? Ya kupongezwa? Huoni umejichafua na kujitia najisi mwisho utoke hapo na migonjwa!?

Kuna watu mmepewa dhamana huko maofisini lakini kimsingi mlitakiwa kuwa mirembe mkitibiwa magonjwa ya akili, pathetic and shame!
Ndio maana siku hizi unakuta kijana mdogo tu anapigwa na Stroke. Kumbe ni laana wanazojitakia
 
The National Secret Service (TISS) has been turned into a killing machine. Innocent civilians have disappeared, people being tortured only because they have different thoughts from the tyrant.

All is in shambles, we are heading towards no man's land.

"Fnck the world, the government too"- Ace Hood.
 
Mtu ametekwa na kufungwa jela kwa kikhanithi unataka asiseme,akisema anataka umaarufu,akisema anatafuta umaarufu seriously!
Acheni watu waseme ya moyoni.
Huyo wakili kuna uwezekano mkubwa akawa hayupo sawa kisaikolojia anahitaji msaada.

Anaumwa ugonjwa wa kutafuta umaarufu.
 
Back
Top Bottom