Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi clubhouse NI wapi huko mbona Mimi siujui huo mtandao nasikia sikia tu
Hao ndo wakukamata hao hao !!
🤣🤣Lumumba buku 7 wote tunajulikana.
Aisee..kuna mamlaka ndani ya vyombo vya dola ziliwezesha kundi la wasiojulikana kuteka, kutesa, kuua, etc.
..kundi la wasiojulikana lisingweza kutamba kwa kiasi kile kama lisingekuwa na baraka na msaada wa mamlaka zinazoweza kuchunguza, kukamata, na kushtaki, wahalifu nchini.
NB:
..Mdude Nyagali amewatambua na kuwataja waliomteka na kumtesa lakini hajatendewa haki leo. Ametaja hata mahali / nyumba aliyopelekwa kuteswa na kituo cha polisi alichotolewa.
WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI.
Kweli dunia ni eneo dogo sana nimeamini ya kwamba unaweza kutembea na uovu lakini usifikie nao mbali. Huyu Mungu ni wa ajabu sana pale anapoamua kushughulika na fedhuli na wenye roho chafu.
Katika hali isiyokua ya kawaida, Wakili Msomi nchini ndugu Petter Madeleka kupitia mazungumzo ya Mtandao wa Clubhouse amewataja kwa majina Vijana waliomteka kwa majina yao na kusema ya kwamba anawajua mpaka sura zao. Ndugu Madeleka ambaye ni wakili wa kujitegemea wa ameyataja majina ya Commando, Jimmy Jones na Ado ambaye alikua mwanasheria wa shirikisho la wasanii nchi kua ni watu waliomteka, Wakili amethibisha kwa kusema ya kwamba walipomteka walikua wakimwekea Audio Clips zenye sauti za watu wakilia wakiliwalawitiwa, wengine wakipigiwa misumari, wengine waking'olewa meno, wengine wakipigwa short ya umeme ili aweze kutishika, amesema aliwatambua kwa majina hayo kwa sababu kwenye sauti hizo za Audio wakiwa wanafanya unyama huo wanatajana kwa majina hayo hayo ya Commando, Jimmy Jones na Ado ambayo pia wanayatumia kwenye mtandao wa Clubhouse na sauti zao hizo hizo.
Jimmy Jones, Commando, Ado, Jordan Balindo na Wengine wanatajwa kujifanya kua ni waanzilishi wa mijadala mbali mbali katika mtandao wa Clubhouse kupitia chamber zao za PATRICEUMUMBA na COURT ROOM lengo lao likiwa ni kuhamisha mijadala ya kitaifa inayoendelea nchini, wanaweza kujifanya kua wako serious sana kuleta jambo lenye kuibua hisia na kujifanya wana uchungu sana kumbe lengo lako ni kuhamisha mijadala ya kitaifa.
Vijana hawa nao wanatajwa umri wao kua miaka 30-40 wapo katika mitandao yote ya kijamii ikiwa Tweeter, Makundi ya Watsap, Instagram, Facebook nk.Kazi yao ni kuilinda CCM na serikali yao.
Mungu anendlee kuwaomumba na wengine wapuuzi wenye tabia kama hizi. Isiwe tunahangaika na suala la maridhiano lakini hawa hawalali wanafanya kazi za kukwamisha juhudi Mheshimiwa Rais.
Anamzungumzia ado November? Was shirikisho la mziki au?WASIOJULIKANA WAANIKWA HADHARANI.

Aende mahakamani kuwashitakiHizo ni allegations. Alete sasa uthibitisho pasi na shaka.
Siku hizi huwa nashindwa kabisa kutofautisha kati ya Uvccm na hiyo tiss!Kwa Yule jamaa anayejiita commando ni sahihi kabisaa hata kule clubhouse anajulikana na mtu hatari..
hawa akina Jimmy ni vijana wa tiss
Kule tiss sikuhizi wanaingia wanaccm TuSiku hizi huwa nashindwa kabisa kutofautisha kati ya Uvccm na hiyo tiss!
Sijui ni huu uzee wangu ndiyo unao nisumbua!!!
Sasa sisi tuende ofisi za Tiss tunaendaje ndugu? tunazijua!? hata huko polisi tutaenda kuulizaje kwamba namtafuta Ado , au huyo Jimmy ? Mbona mnatupa sisi common wananchi kazi ya ziada.Hawa mbona wanajulikana, nenda Ofisi za TISS au Polisi kanda ya Dar mbona majina yao ni maarufu kwenye ofisi zao? Wote hao Jimmy,Comando, na huyo Ado wanajulikana na hata Baa wanashinda sana twawajua wengine majina yao ni Fake mitandaoni kasoro la Ado. Muulize nduguyo aliyeko ofisi za TISS kanda ya Dar atakupa hadi sura zao
Hili ni tatizo la kimaaidili kwa hao walawiti, unapomlawiti mtu inakuwa umeamua kumpa adhabu? Unajuaje hiyo ni adhabu kwake na si starehe?Lazima imuume sana, sio swala la mchezo kulawitiwa na masela alafu unawaona wanatamba kitaani. Kwamba yule wakili nilimlawiti balaaa
Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app