Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Kwa hiyo kina Jimmy, Komandoo, na Ado ni misukule ambayo tunatakiwa kuitafuta kuiteka kuifungia shimoni hadi itueleze ndugu zetu waliotoweshwa wako wapi?!! Mambo si mambo!
 
Kwa hiyo kina Jimmy, Komandoo, na Ado ni misukule ambayo tunatakiwa kuitafuta kuiteka kuifungia shimoni hadi itueleze ndugu zetu waliotoweshwa wako wapi?!! Mambo si mambo!
Hao ndo wakukamata hao hao !!
 
Na hii nayo ni Breaking News...!!
Ina maana wewe ulikuwa unafahamu tayari kwamba Commando amelawiti watu?
Sasa,hapa thinking siyo clear. Message siyo clear. Analaumiwa Commando au inalaumiwa TISS au wanalaumiwa wote TISS na Commando?
Mimi napinga sana TISS kufanya mambo ya ovyo. Nafikiria Ile passage katika kitabu cha Ayubu ambapo Mungu anamwambia Shetani:"Kamtese Ayubu mwili wake,lakini usiidhuru roho yake."
Na huyu Madeleka ni nani? Ndiyo yule wakili wa Arusha aliyekuwa na matatizo sisku za karibuni?
Na Club house ni nini? Na Courtroom?
 
..kuna mamlaka ndani ya vyombo vya dola ziliwezesha kundi la wasiojulikana kuteka, kutesa, kuua, etc.

..kundi la wasiojulikana lisingweza kutamba kwa kiasi kile kama lisingekuwa na baraka na msaada wa mamlaka zinazoweza kuchunguza, kukamata, na kushtaki, wahalifu nchini.

NB:

..Mdude Nyagali amewatambua na kuwataja waliomteka na kumtesa lakini hajatendewa haki leo. Ametaja hata mahali / nyumba aliyopelekwa kuteswa na kituo cha polisi alichotolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…