Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Jamii Forums kweli imepoteza hadhi. Ingekuwa zamani zile ikijulikana kama where we dare, mpaka sasa si majina tu bali hata picha za hawa wanyama (kwa kweli hawa si binadamu!) zingetapakaa kila moja azione.

Fikiria eti kwa tofauti za kisiasa tu, Mtanzania anamteka Mtanzania mwenzake na kumfanyia unyama kama unavyosimuliwa. Halafu bado wengiine wako humu humu wakibeza ujasiri wa Wakili Madeleka kuwataja hadharani.

Inashangaza, inasikitisha, inaudhi na inakasirisha...
 
Tunahitaji jamii na taifa lenye ustaarabu unaoendana na wakati. Kama kuna watu wanaotenda uhalifu kwa mujibu wa sheria, taratibu, mila na hata ubinadamu kwa akili ya kawaida, ni muhimu wakemewe na kurekebishwa kwa utaratibu unaostahili.
Kwa hoja zinazochangiwa hapa, ni kipimo tosha cha kustaarabika kwa wachangiaji wenyewe, jamii na taifa kwa ujumla.
 
Aisee
 

Watu wasio julikana
 
Ana
Anamzungumzia ado November? Was shirikisho la mziki au?
 
..Peter Madeleka akitoa ushuhuda wake.
 

Attachments

  • HAYA HAPA MAJINA WATEKAJI NA WAPIGA MARISASI TANZANIA. WAKILI PETER MADELEKA LEO KAJITOA KAFAR...mp4
    19.6 MB
Sasa sisi tuende ofisi za Tiss tunaendaje ndugu? tunazijua!? hata huko polisi tutaenda kuulizaje kwamba namtafuta Ado , au huyo Jimmy ? Mbona mnatupa sisi common wananchi kazi ya ziada.

Kikubwa tuwajue, au tuwaepuke au tuwindane for street justice! Mtaa haujawahi kushindwa ukiamua!
 
Lazima imuume sana, sio swala la mchezo kulawitiwa na masela alafu unawaona wanatamba kitaani. Kwamba yule wakili nilimlawiti balaaa

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
Hili ni tatizo la kimaaidili kwa hao walawiti, unapomlawiti mtu inakuwa umeamua kumpa adhabu? Unajuaje hiyo ni adhabu kwake na si starehe?

Unapotaka victim ajisikie vibaya kwa kulawitiwa, au achekwe wewe kama mlawiti unakua katika position ipi? Ya kupongezwa? Huoni umejichafua na kujitia najisi mwisho utoke hapo na migonjwa!?

Kuna watu mmepewa dhamana huko maofisini lakini kimsingi mlitakiwa kuwa mirembe mkitibiwa magonjwa ya akili, pathetic and shame!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…