Wakili Madeleka awaanika 'wasiojulikana' kwa majina

Huyu kama vile ana ugonjwa wa kichaa, ntashangaa kama Kuna watu wanampa kesi awawakilishe mahakamani.

Audio clip inaonyeshaje mtu anangolewa jino? Analawitiwa? Audio?
 
Huyu anaenda kuomba habeas corpus kisutu? Really? Hiyo ni exclusive jurisdiction ya High Court
 
Huyu ni wakili ati? Anajua kabisa taratibu za kisheria. Anaacha kwenda Polisi badala yake anakwenda Club ya walevi wa uhuru wa maoni! Ni kama kuchafua watu tu. Huu si utaratibu mzuri na unahatarisha maisha ya watu. Wakili kakosea sana! πŸ™πŸ™πŸ™
 
Inawezekana upo ukweli lkn pia nimestuka kuwa aliwekewa audio halafu anaona watu wakilawitiwa. Audio halafu unaona. Duh!
 
Halafu ukute baadhi ya watumaji wa hao watekaji bado wapo maofisini wakitafuna Kodi za wananchi πŸ™„
 
Huyu ni wakili ati? Anajua kabisa taratibu za kisheria. Anaacha kwenda Polisi badala yake anakwenda Club ya walevi wa uhuru wa maoni!
Polisi gani?
Hao hao ambao nao ni watuhumiwa?!!!
 
Nakazia ✍️✍️
Maana ukienda kuwaulizia huko utaishia kutekwa tu!
 
Wote wapelekwe Mahakamani ili wahukumiwe kwa matendo yao maovu kwa jamii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…