KondaGet well Soon SATIVA.
Kama lengo lilikua kumpeleka Katavi, njia rahisi ingekua kupita Mbeya au Tabora. Kwanini wazungukie Arusha? Walienda kumfuata nani Arusha?
Je aliyeorganize unyama huo yupo Arusha? Ni nani anaishi Arusha mwenye uzoefu wa kuteka, kutesa na kuua?
Dr Ulimboka aliokotwa Msitu wa PANDE tar 27-June-2012 na SATIVA aliokotwa PORI la KATAVI 27-June-2024.Kwahiyo mambo ni yale yale tu ?!!
Kwahiyo Ngosha alikuwa anasingiziwa tu. 😳🙄
Ya Dokta Ulimboka yalikuwa awamu ya Nne 🙄
Sasa Ngosha atapumzika kwa Amani !
😳😳😳😳
Naipenda UWT sababu ya mama ako.Endelea kuipenda UWT inakutosha
Ataepuka vipi kuwa shetani wakati akiongoza kundi zima la mashetani? Atake asitake, itamlazimu yeye ndiye awe shetani mkuu..Samia usikubali kuwa shetani wa kike.
Ataweza tu.asiige tabia za mwendazake yule alikuwa nusi binadamu nusu shetaniAtaepuka vipi kuwa shetani wakati akiongoza kundi zima la mashetani? Atake asitake, itamlazimu yeye ndiye awe shetani mkuu..
Kama anategemea kufaidika na matokeo ya ushetani, ataukataa vipi ushetani?
Huyu kisha shikiliwa na shetani, kamwe hawezi kujinasua tena.
Mauaji tena 😂 au umelewa chibuku hapo mbalizi?MUaji yake yamesababishwa na wanasiasa Wajinga walioshindwa hoja
Kwahy tumekubaliana JPM hauhusiki na mambo ya utekaji?Dr Ulimboka aliokotwa Msitu wa PANDE tar 27-June-2012 na SATIVA aliokotwa PORI la KATAVI 27-June-2024.
Kipindi cha mwendazake DAB ndiye aliyekuwa anaratibu UTEKAJI ,na still DAB yupo kwahiyo matukio yataendelea even JIWE hayupo.
Bongo ukiwa mpinzani wa serikali hata ukiwa jeshi la mtu mmoja lazima wanachadema walazimishe uwe wao kwa kukuunga mkono unayosemawell done,
ni mwanachama wao kumbe, au kibinadamu tu 🐒
Nakukumbusha tu muogope MunguNaamni wangetaka kumuua bhc angeshakwisha mda mrefu kabla ajafika chuga au katavi
Huyo wamefanya kumtesa kama Roma au yule doctor ulimboka
Siyo kuiga, sasa anawaingiza hao hao mashetani wamfanyie kazi. Ataepuka vipi kuwa shetani!Ataweza tu.asiige tabia za mwendazake yule alikuwa nusi binadamu nusu shetani
Anao uwezo wa kukemea bado hajachelewa.Siyo kuiga, sasa anawaingiza hao hao mashetani wamfanyie kazi. Ataepuka vipi kuwa shetani!
Cheap popularity!Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Magharibi Wakili msomi Dickson Matata amesema uongozi wa Chadema Kanda na mkoa ukiongozwa na makamu mwenyekiti mh Masanja uko hospitali ya Rufaa Katavi kufuatilia hali ya afya ya Mwakalebela au Sativa ambaye yuko ICU
Matata ametoa Taarifa ukurasani X
Kwani hao chadema ndo walinzi au wao ndo madoctor? Mtu wa muhimu kwake saivi ni wazaz wake na ndugu zake sio watu wasiasaAsikubali nini sasa unaambiwa yuko ICU na anahitaji msaada kwani hao watesi wake lazima watakuja kummalizia.
Sasa haya ya Katavi yamekujaje tena zama hizi ???Ataweza tu.asiige tabia za mwendazake yule alikuwa nusi binadamu nusu shetani
Kwani Chadema wakimsaidia nyie CCM mnapata hasara gani?Kwani hao chadema ndo walinzi au wao ndo madoctor? Mtu wa muhimu kwake saivi ni wazaz wake na ndugu zake sio watu wasiasa
Kwahy tumekubaliana JPM hauhusiki na mambo ya utekaji?
Sahihi kabisa."Tulivyotrepu simu zake tukaona mara anamwambia Manyika leta document hii mara leta ducoment ile ,hauwezi kuwa msaliti ukaendelea kusurvive ,jeshini wanajua msaliti wanamfanyaje" -JPM -7-Sept-2017
Kuna watu wachache wanataka kumuharibiaSasa haya ya Katavi yamekujaje tena zama hizi ???
Mbona mnatuchanganya !!