Wakili Mgongolwa: Katiba inamruhusu Rais kumuongezea muda Jaji Mkuu

Uko sahihi, afadhali kidogo wewe umejishughulisha ktk kusumbua akili yako na kutafiti kidogo juu ya suala hili.
Wakili Mgongolwa AMEPOTOKA kuhusu suala hili, na bado anataka kuwapotosha watu wengine kuhusu upotofu wake.
 
Wakili Mtangazaji,kweli?
 
Noted.
 
[emoji2956]
 
wabishane mawakili na majaji sababu ni fani zenu.mara zote huwa nasema shida ya masomo ya art huwa hayana uhalisia kama hesabu ndo maana kuna kona kona nyingi.ingekuwa hesabu tungeenda na facts.
Pamoja na umuhimu wa hesabu ze ye FACTS ila maisha ya mwanadamu hayakomei tu kuhitaji HESABU......
 
Naamini alikuwa hajasoma wasilisho la Jaji.Jaji amechambua na kutoa hata historia na jinsi ambavyo MaJaji wakuu wengine ilibidi watii.
Tena Jaji kafanya utafiti wa Katiba kwa miaka 28, yeye Mgongolwa kafanya utafiti wa dkk ngapi? No research No right to speak.

Perception ya jamii ni kuwa Majaji ni wafawidhi (senior) kwa Mawakili.

Sitaki kuamini kuwa Jaji analilia mwanamke kuteuliwa CJ given magnetism ya rais kwa wanawake.

Sitaki kuamini kuwa Mgongolwa amenunuliwa na system kuachilia matapishi aliyoachilia.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
So Rais anaijua vyema katiba ya Nchi hii kuliko wanasheria wenyewe? Kuna wapumbavu na vyeo vyao wanafanya ubumbavu kuliko ule upambavu aliyofanyiwa kwa imani ya ki kristu na Yuda .
 
Kwa Sisi tuliokimbia shule tumeelewa hivi ,huyu jaji atakaa ofisini lakini majukumu yake yameshapita kifupi Hana kazi za kufanya ,utashi wake umwambie hivi Mimi nitamwapisha Nani wakati sina kazi!!!Tafsiri ya haraka ilikuondoa mgongano wa muhimili wake ni vizuri aondoke Kwa busara ,ibara zote zina mkataa angalia haya maneno(ATALAZIMIKA) Mzee Juma achia ngazi ukalee wajukuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…