Barcelona hawakuridhia ila Neymar akaforce kwa kuweka mzigo na kutimka, kama unakumbuka issue ilikuwa kubwa sana.Yalifanyika makubaliano kati ya Neymar na Barcelona hakuvunja tu kabla hawaja kaa mezani
Hujui kitu , Neymar hakulipa pesa yeye kihuni bali PSG waliwalipa Barca hiyo pesa na akawa mchezaji wa PSG .Neymar alienda PSG bila makubaliano kati ya psg na barca.
Alichofanya neymar ni kuvunja mkataba 250 million euro. Then akawa free agent akaenda zake PSG. Yaani hata FFP haikuwa na nguvu yoyote hapa..
Awali ilikuwa point 8Gap ni point 6
Hujui unachoandika, unadandia dandia maneno ya wanasheria uchwara wa vijiwe vya kahawa...hebu tufafanulie hiyo signing fee na release clause then tuambie ina apply vp kwa Fei. Tatizo la Fei ni udhaifu wa mkatabaHi I unajua kuna tofauti ya signing fee na release clause? Neymar aliwalipa Barca signing fee au release clause?
Mikataba ipi hiyo ya football isiyoweza kuvunjika?Mikataba ya football haipo hivyo inafuata msimu hauvunji tu kama taraka ya ndoa
Bro ayo ni maoni yako, lakini kwani huonagi wachezaji wengi wakivunja mkataba na timu zao na kubaki wachezaji huru. Klabu inabidi iwe na ustadi wa kumbana mchezaji kwa kutokumpa uwezo wa kuuvunja mkataba kitu ambacho yanga wameshindwa kufanya. Mbona Dejan kavunja mkataba na simba akawa free agent saiv yuko tim nyngne. Ndomana yanga wanaitwa utopolo, hawana hata ustadi wa kutengeneza vizuri mikataba. Lakini shida hio sio kwa yanga tu hata tim nyngne bongo. Shida ni Elimuu!!!Hapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka,umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Ishu ya Neymar ni tofauti ile iliwekwa kama Dau kama timu ikitaka kumsajili na sio yeye akitaka kuvunjwa mkataba kumbuka mkataba mpk kuvunjwa lazima kuwa na sababu za msingi .Neymar yeye hakulipa PSG bali PSG ndio waliilipa BarcaRejea ya Neymar utanielewa, mlijichanganya kuweka kipengele cha kuvunja mkataba endapo mchezaji ataweka dau (kununua mkataba wake) Fei kaweka mzigo now yuko free.
Kama mkataba unaruhusu hivyo inawezekana. Rejea sakata la Neymar na barcelona wakati anaenda PSGHapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka,umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Kuvunja mkataba mtu haamui tu from no where ingekuwa hivyo ingekuwa rahisi sana ,hata Dejan yeye aliweka sababu .Bro ayo ni maoni yako, lakini kwani huonagi wachezaji wengi wakivunja mkataba na timu zao na kubaki wachezaji huru. Klabu inabidi iwe na ustadi wa kumbana mchezaji kwa kutokumpa uwezo wa kuuvunja mkataba kitu ambacho yanga wameshindwa kufanya. Mbona Dejan kavunja mkataba na simba akawa free agent saiv yuko tim nyngne. Ndomana yanga wanaitwa utopolo, hawana hata ustadi wa kutengeneza vizuri mikataba.
Uto ni hamnazo wanakimbilia CAS wataenda kupigwa za usoWakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini, watapoteza muda zaidi.”
.
“Ninachokiona Yanga walimpa mkataba Fei ambao hauna faida kwao. Unawekaje kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba wake wakati unaona kabisa kiwango cha mchezaji kilivyo. mchezaji hawezi kuacha pesa hasa kama mkataba wake unaruhusu kuununua ama kuuvunja.”
.
“Sioni kama Azam wamekosea na ni timu ambayo inazingatia sana masuala ya kisheria katika kuvunja mikataba ya wachezaji wao ama wanaposajili mchezaji. Azam siyo wajinga kiasi hicho wakurupuke tu kumsajili Fei Toto pasipo kuzingatia taratibu za kimkataba.
.
“Wanachotakiwa kukifanya Yanga ni kuulezea umma ama wanachama na mashabiki juu ya hilo, lakini mengine ni kuleta siasa tu kwenye mpira.”
My Take
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo
Ndugu umeisoma hiyo sheria ya Fifa vizuri na kuilewa?Utaratibu wa kuvunja mkataba haupo upande mmoja pia sheria za FIFA zinaruhusu kuvunja msimu ukiwa umeisha sio kati kati ya msimu hii kitu wasipo kaa kuongea Feisal hatacheza mpaka mwisho wa msimu
Sakata la Neymar ni tofauti wabongo jifunze kufuatilia mambo Psg walitoa mpunga kwa Barca na Barca kipengele chao lilikuwa kinasema ikiwa club itamtaka basi dau lake ni kiasi hiki na sio player mwenyewe kujiamulia .Kama mkataba unaruhusu hivyo inawezekana. Rejea sakata la Neymar na barcelona wakati anaenda PSG
Na pia imewapa wakati mgumu sana viongozi wa Yanga. Hawaamini kama kweli dogo amesepaHii issue ya Feisal imewapa viongozi wa Simba mda wa kupumzika maana mashabiki wote mmekua busy mmesahau timu yenu ina matatizo lukuki
Nakuambia hapa hapa JF, kuvunja mkataba unaweza kuamua 'from no where' na ukavunja vizuri tu, tena kisheria. Suala sio sababu unayotumia kuvunjia mkataba, suala ni kulipa gharama unayotakiwa kuilipa kama fidia ya kuuvunja huo mkataba.Kuvunja mkataba mtu haamui tu from no where ingekuwa hivyo ingekuwa rahisi sana ,hata Dejan yeye aliweka sababu .
Hujawahi sikia kitu kinaitwa buy out clause na unadhani mikataba yao ni miepesi kama huu wa kuvunjwa kwa dola 48K? Hakuna sheria yoyote ya soka inazuia mchezaji kuvunja mkataba na clubHapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka,umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Thomas Partey alinyakuliwa AM kwa style hiyo, this is not new young boyHapo sijui Sheria is kuna raia ni vilaza sana kwenye soka,umeona wapi mchezaji mwenye mkataba na timu anasajiliwa na timu nyingine bila hizo timu kukubaliana? Yaani Leo Jude Bellingham apokee pesa kutoka Man City akailipe Dortmund then awe mchezaji wa Man City bila City na Dortmund kukubaliana?
Basi wachezaji wengi sana wangesepa Kwa namna hiyo.
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo[emoji818][emoji817]Wakili na mwanamichezo mzoefu nchini, Aloyce Komba ametoa ufafanuzi juu ya dili la Fei Toto kutua Azam akisema:
.
“Yanga wamefanya uzembe wenyewe na wasije wakathubutu kukimbilia Fifa kama walivyofanya kwa Bernard Morrison itakula kwao. Waangalie vizuri mkataba wa mchezaji unaeleza nini, watapoteza muda zaidi.”
.
“Ninachokiona Yanga walimpa mkataba Fei ambao hauna faida kwao. Unawekaje kiasi hicho cha pesa kuvunja mkataba wake wakati unaona kabisa kiwango cha mchezaji kilivyo. mchezaji hawezi kuacha pesa hasa kama mkataba wake unaruhusu kuununua ama kuuvunja.”
.
“Sioni kama Azam wamekosea na ni timu ambayo inazingatia sana masuala ya kisheria katika kuvunja mikataba ya wachezaji wao ama wanaposajili mchezaji. Azam siyo wajinga kiasi hicho wakurupuke tu kumsajili Fei Toto pasipo kuzingatia taratibu za kimkataba.
.
“Wanachotakiwa kukifanya Yanga ni kuulezea umma ama wanachama na mashabiki juu ya hilo, lakini mengine ni kuleta siasa tu kwenye mpira.”
My Take
Nawakumbusha tu Yanga kuitwa Utopolo ni maono ya ndani sana. Hii ndio maana halisi ya Utopolo